arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» A-Z sakata la Jerry Muro
» KIFO CHA FUNDIKIRA: BEN KIN ...
» Tuhuma za baba kuua watoto ...
» MONALISA APASUA JIPU
» MESEJI ZA MAPENZI ZA WABUNG ...
» 40 ZA WASALITI
» Mjane wa balozi aliyeuawa a ...
» Wito wa utulivu watolew ...
» Vunja mbavu
» Mashabiki Yanga wazuia ...
» Amuua mama yake ili apa ...
» Ubahili unapokuwa chanz ...
» SIKU WYCLEF ALIPOPAGAWI ...
» Rubeya, Dalali kandamiz ...

 

DUBAI: JENGO REFU ZAIDI DUNIANI LAFUNGWA

Habari mbalimbali  

DUBAI: JENGO REFU ZAIDI DUNIANI LAFUNGWA
Jengo refu zaidi duniani, Burj Khalifa.

JENGO refu zaidi duniani (ghorofa) ambalo lilifunguliwa kwa mbwembwe mwezi mmoja uliopita nchini Dubai, limefungwa ghafla, jambo ambalo limewafadhaisha watalii waliokuwa wanapenda kwenda kwenye sehemu yake ya juu zaidi na kuangalia mandhari iliyo chini. Vilevile kitendo hicho kimeleta mashaka iwapo wapangaji wa kudumu katika jengo hilo wanaweza kuwa wamehamia humo katika majuma kadhaa yajayo.

Matatizo ya umeme yanaweza kuwa baadhi ya sababu za kufungwa kwa sehemu hiyo ya juu ya jengo hilo linaloitwa Burj Khalifa ambalo urefu wake kwenda juu ni nusu maili, urefu ambao ni sawa na sehemu ya (0.8) ya kilomita. Kutokuweko kwa habari yoyote kutoka kwa mmiliki wa jengo hilo kumefanywa kufungwa kwake kuache mashaka mengi kuhusiana na jengo hilo ambalo sehemu kubwa haina wapangaji.
    (9 February 2010)
Views: 0 | Maoni (0) |

 

WABONGO WANATEGEMEA RADIO ZAIDI - UTAFITI

Habari mbalimbali  
WABONGO WANATEGEMEA RADIO ZAIDI - UTAFITI

Tanzania: Radio main source of news
A survey has revealed that 66 percent of Tanzanians rely on radio as their main source of news. The research which was in the form of SMS raffle was intended to establish the main source of news for members of the public and also popularize the Journalists of the Year Awards in Tanzania, which were held December 19, 2009. According to the government owned Daily News despite having over 650 registered publications, the survey showed that only 14 percent of respondents preferred newspapers as source of news. “The poll actually shocked us,
    (9 February 2010)
Views: 0 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

MATOKEO MABOVU KIDATO CHA NNE NANI WA KULAUMIWA?

Habari mbalimbali  
JE? KATI YA HAWA WAFUATAO NANI WA KULAUMIWA KUTOKANA NA MATOKEO MABAYA YA KIDATO CHA NNE:
WAZAZI, WANAFUNZI WENYEWE, WALIMU AU SERIKALI?

MATOKEO MABOVU KIDATO CHA NNE NANI WA KULAUMIWA?
    (9 February 2010)
Views: 0 | Maoni (0) |

 

IMMACULATE MOSHA: THE GENIUS GIRL!

Videos  

Kutana na Immaculate Mosha, msichana mwenye kipaji aliyeoongoza nchi nzima katika matokea ya mitihani ya kidato cha Nne 2009. Video kwa hisani ya Varsity College Tanzania.
IMMACULATE MOSHA: THE GENIUS GIRL!
    (9 February 2010)
Views: 0 | Maoni (0) |

 

BIASHARA YA WATOTO YASHAMIRI HAITI!

Habari mbalimbali  

BIASHARA YA WATOTO YASHAMIRI HAITI!
Kichwa cha habari cha News Of The World, gazeti lillofichua kashfa hii

BIASHARA YA WATOTO YASHAMIRI HAITI!
Watoto watano wakiuzwa wote kwa dola 30,000.

BIASHARA YA WATOTO YASHAMIRI HAITI!

Guerson, mtumishi wa kituo cha kulelea watoto aliyefichuliwa na waandishi akiuza watoto.

YATIMA mdogo aitwaye, Roudy, aliyejikuta katika hali hiyo kutokana na kupoteza wazazi wake katika tetemeko la ardhi lililoikumba nchi ya Haiti, anaitazama kamera ya waandishi wa habari bila wasiwasi wakati akiuzwa kwa wageni kwa bei ya Paundi 65. Anauzwa na mtu mmoja mwenye tamaa ya fedha ambaye ni kiongozi wa chama kinachotakiwa kuwasaidia watoto wa Haiti waliokumbwa na tatizo hilo na kubakia yatima...
    (9 February 2010)
Views: 27 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

JIMMY CARTER AWASILI NCHINI SUDAN

Habari mbalimbali  

JIMMY CARTER AWASILI NCHINI SUDAN
Jimmy Carter.

Aliyekuwa rais wa Marekani Jimmy Carter amewasili nchini Sudan kwa mashauriano na rais wa nchi hiyo, Omar al-Bashir na maafisa wengine wakuu serikalini...

    (9 February 2010)
Views: 0 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

RAY, KANUMBA NANI MKALI ZAIDI 2009?

photos  
RAY, KANUMBA NANI MKALI ZAIDI 2009?

Na Joseph Shaluwa
Mwanzoni mwa mwaka jana, tuliwahi kutoa mpambano wa Nani Zaidi kati ya Vicent Kigosi a.k.a The Greatest na Steven Kanumba a.k.a The Great ambapo Kanumba aliibuka kidedea kwa tofauti ya asilimia chache, lakini leo tunataka kura yako ya jumla, utuambie nani alikuwa mkali zaidi mwaka 2009? Mwaka jana ulikuwa na changamoto za kila aina kwao, lakini pia wametoa sinema nyingi na pengine kali kuliko za kipindi kilichopita...
    (9 February 2010)
Views: 270 | Maoni (18) | Soma Zaidi

 

HUJUMA ZAIBUKA KIWANDA CHA PARETO MAFINGA

uwazi  
HUJUMA ZAIBUKA KIWANDA CHA PARETO MAFINGA
.chadaiwa kukwepa kodi mamilioni ya shilingi
.Vigogo wa serikali wahusishwa
(ONLINE VERSION)

HUJUMA ZAIBUKA KIWANDA CHA PARETO MAFINGA

HUJUMA ZAIBUKA KIWANDA CHA PARETO MAFINGA
Kiwanda cha Pareto Mafinga

Na Rashid Mkwinda, Mufindi
HUJUMA na ubadhirifu vimeibuka katika kiwanda cha kampuni ya Pareto (Pyrethrum Company of Tanzania (PCT) chenye makao yake makuu mjini Mafinga, Mufindi mkoani Iringa baada ya rasilimali za kiwanda hicho zenye thamani ya mamilioni ya fedha kuuzwa kiholela huku mwekezaji chini ya usimamizi wa Meneja Mkuu raia wa Uganda Bw. Martin Oweka, akidaiwa kuhusika. Taarifa zinaeleza kuwa, kiwanda hicho ambacho kiliwekwa jiwe la msingi na aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Sokoine Agosti 19, 1977, kilianza rasmi uzalishaji wake mwaka 1984 chini ya serikali ya Jamhuri ya Muungano kikisimamiwa na Bodi ya Pareto Tanzania ambapo hatimaye kilibinafsishwa mwaka 1998 kwa mwekezaji wa kigeni kampuni ya International Chemical Producers (ICP) ya nchini Afrika Kusini.

Inazidi kuelezwa kuwa kampuni ya ICP nayo iliuza hisa zake kwa kampuni ya....


HUJUMA ZAIBUKA KIWANDA CHA PARETO MAFINGA
Fundi wa kiwanda cha Pareto kilichopo Mafinga wilayani Mufindi akifungua moja ya mashine ya kusindika sumu ya pareto kwa ajili ya kuuzwa kama vyuma chakavu.
    (9 February 2010)
Views: 51 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

DAWA ZA MALARIA AFRIKA NI DHAIFU

Habari mbalimbali  

DAWA ZA MALARIA AFRIKA NI DHAIFU

Utafiti uliofanywa na wataalamu kutoka Marekani wamependekeza, Waafrika wanaougua malaria huenda wakawa wanapata matibabu ya kiwango cha chini.

Watafiti kutoka kundi la Pharmacopeia wamegundua kwamba baina ya asilimia 26 na 44 ya dawa za kupambana na malaria Uganda, Senegal na Madagasacr ni zenye uwezo mdogo.

Kundi hilo, ambalo linafanya utafiti kwa niaba ya shirika la afya duniani WHO, limesema dawa za viwango vya chini zinatumiwa na watabibu wa hospitali za umma pamoja na za binafsi.

WHO wameonyesha wasiwasi kwamba dawa hizo zenye udhaifu mkubwa zinaweza kusababisha mwili usiweze kupambana na vijidudu vya malaria.
    (9 February 2010)
Views: 2 | Maoni (0) |

 

RICHMOND YAPANGWA SIKU YA MWISHO BUNGENI

Habari mbalimbali  

RICHMOND YAPANGWA SIKU YA MWISHO BUNGENI
Spika wa Bunge la Tanzania, Samuel Sitta.

ULE mjadala moto wa sakata zito la utoaji zabuni ya ufuaji umeme wa dharura kwa kampuni ya Richmond Development LLC, utakuwa wa siku moja tu; siku ya mwisho ya Mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri....
    (9 February 2010)
Views: 0 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

JK AHOFIA ROBO TATU YA WANAFUNZI KUPATA MIMBA

Habari mbalimbali  

JK AHOFIA ROBO TATU YA WANAFUNZI KUPATA MIMBA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameuagiza uongozi wa mkoa wa Morogoro na wa wilaya ya Kilosa kujenga makazi ya muda katika shule wanazosomea wanafunzi walioathirika na mafuriko yaliyoikumba wilaya hiyo ili waishi hapo na kuwaepusha wasichana kupata mimba...

    (9 February 2010)
Views: 0 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

UTAPELI MKUBWA WAZIMWA UWANJA WA NDEGE DAR

uwazi  
UTAPELI MKUBWA WAZIMWA  UWANJA WA NDEGE DAR
UTAPELI MKUBWA WAZIMWA UWANJA WA NDEGE DAR
Mtego wa Polisi wanasa mmoja

(ONLINE VERSION)

UTAPELI MKUBWA WAZIMWA  UWANJA WA NDEGE DAR
Mtuhumiwa wa utapeli, Ashrafu Kingu,(kati) akiwa amedhibitiwa na askari kanzu wa uwanja wa ndege. Kulia nyuma ni Bi. Hilda.

Christopher Lissa na Richard Bukos.
Walinzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari kanzu , Februari 3, mwaka huu walifanikiwa kuzima jaribio la utapeli mkubwa wa mamilioni ya fedha uliokuwa ufanyike uwanjani hapo. Katika sekeseke hilo, Polisi walifanikiwa kumnasa mtu mmoja aitwaye Ashrafu Kingu ambaye inadaiwa ni tapeli mzoefu kutoka katika genge moja lenye mtandao mkubwa wa shughuli hiyo uliosambaa nchini kote na hata nje ya nchi. Inadaiwa kuwa, matapeli hao walisuka .......
UTAPELI MKUBWA WAZIMWA  UWANJA WA NDEGE DAR
...imeshakuwa soo...nitaficha wapi uso wangu...Ashrafu Kingu.
UTAPELI MKUBWA WAZIMWA  UWANJA WA NDEGE DAR
...dili limebumburuka...Ashrafu Kingu
    (9 February 2010)
Views: 511 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

DAKTARI WA MICHAEL JACKSON KIZIMBANI

Habari mbalimbali  
DAKTARI WA MICHAEL JACKSON KIZIMBANI
Daktari wa Michael Jackson, Conrad Murray (mwenye suti katikati) akifikishwa mahakamani mjini Los Angeles.

Daktari wa Michael Jackson,Conrad Murray alifikishwa katika mahakama mjini Los Angeles na kushtakiwa kwa kusababisha kifo cha mwanamuziki huyo miezi saba iliyopita...
    (9 February 2010)
Views: 109 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

UCHAGUZI UKRAINE ULIKUWA WA HAKI - WACHUNGUZI

Habari mbalimbali  
UCHAGUZI UKRAINE ULIKUWA WA HAKI - WACHUNGUZI
Viktor Yanukovych.

Kiev
Nchini Ukraine, kiongozi wa upinzani Viktor Yanukovych ameibuka kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais, akiendelea kuongoza kwa kiasi cha asilimia 3 wakati kiasi cha kura asilimia 99 zikiwa zimekwisha hesabiwa. Wachunguzi wa kimataifa wameusifu uchaguzi huo kuwa ni huru na wa uaminifu, na kuimarisha madai ya ushindi ya Yanukovych na kumuacha waziri mkuu Yulia Tymoshenko akiwa amefungika kimkakati. Hata hivyo , waziri mkuu Tymoshenko bado anaendelea kuwa na wabunge wengi katika bunge la Ukraine, hali ambayo inaonekana kuendeleza mzozo katika utawala wa nchi hiyo.
    (9 February 2010)
Views: 0 | Maoni (0) |

 

JERRY MURO ALAZWA!

uwazi  

JERRY MURO ALAZWA!

*Awekewa dripu, azuiwa kuongea, mchumba wake aongea na Uwazi, apatwa na hofu!
Elvan Stambul na Makongoro Oging'
Mtangazaji na mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji (TBC 1) Jerry Muro, ambaye wiki iliyopita alifikishwa mahakamani pamoja na watu wengine wawili kwa tuhuma za kuomba rushwa amelazwa hospitalini...

JERRY MURO ALAZWA!
    (9 February 2010)
Views: 106 | Maoni (0) |
Back  <<  1 2 3 ... 707 708 709  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

hit counter

 

2008 © globalpublisherstz.com