Tembelea... |
 |
Kalenda |
 |

Marafiki wetu |
 |
Habari Zilizopita |
 |



  
| |
 |
|
|
 |
 |
|
 |
Na Fatma AmriSiku chache baada ya Juma Kassim ‘Nature’ kuoa imebainika kuwa yule demu aliyemuoa alikuwa ni mwanamke wa mwanamuziki mwenzake wa muziki wa kizazi kipya, Saidi Juma ‘Chege’. Akizungumza na mwandishi wetu katikati ya wiki hii, Chege alisema kuwa ameshangazwa na hatua ya Nature kumchukulia kimwana wake licha ya kufahamu kuwa alikuwa na uhusiano naye kimapenzi. “Nashangaa sana Nature kumuoa demu ambaye alikuwa wangu wakati kuna wanawake wengi ambao angeweza kuchagua mmoja na kumuoa,” alisema Chege. |
|
 |
 |
|
 |
Kijana Prosper ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tano katika shule ya sekondari Pugu anarejea nyumbani likizo akiwa amejawa na furaha pamoja na matumaini makubwa maishani mwake kwa sababu amefanya vizuri kwenye mitihani yake, furaha yake yote inafutika na kugeuka kuwa msiba kwani muda mfupi tu baada ya kuwasili nyumbani na kusalimiana na kaka zake kabla hajaingia ofisini kwa baba yake pia kumsalimia, kelele inasikika ndani ya ofisi hiyo iliyopo nyumbani kwao ambako baba yake anajishughulisha na biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi, msichana mdogo analia akidai amebakwa!
Muda mfupi baadae, majirani wanakusanyika na kufuatiwa na polisi! Hapo hapo mtoto anabadilisha maelezo yake na kudai amebakwa na familia nzima kwa zamu, hii inawafanya Prosper na ndugu zake pamoja na baba yao wakamatwe na kupelekwa polisi na hatimaye mahabusu! Mama yao ambaye ni mwalimu hakuwepo wakati hayo yanatokea, aliporejea nyumbani na kuambiwa alianguka chini na kufa hapo hapo.
Akiwa gerezani mzee Lufungulo ameamua kugoma kula ili afe, kwa siku nane mfululizo hajatia kitu mdomoni, mwisho ameanguka chini na kupoteza fahamu! Maaskari waliokuwa wakipuuza, wanambeba na kumpeleka Zahanati ya gereza.
Je, atapona au ndio mwisho wake?...... |
|
 |
 |
|
 |
 NA ISAAC KIJOTI BAADA ya timu za Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam kuanza msimu wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa vipigo huku zikiwa na makocha wasaidizi, imeelezwa kwa sasa zimeingia katika kinyang’anyiro cha kocha. Habari za ndani zilizolifikia gazeti hili kutoka katika vyanzo vyetu vilivyopo ndani ya uongozi wa Simba, zinasema viongozi wa Wekundu wa Msimbazi wameamua kumuwinda Sammy Timbe wa Uganda anayewaniwa na Yanga...... |
|
 |
|
|
 |
Kura Yako / Poll |
 |
Habari Katika Picha |
|
 |

Nani Yupo / Alikuwepo |
 |
|