arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 01.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» ZITO LAIBUKA
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» SHEREHE ZA MIAKA 47 YA ...
» K-Lyin: anatingisha ndo ...
» (Ni mdogo mno kufa) -17
» WERRASON AFANYA UFUSKA ...
» Yanga imenipa namba-Ser ...
» MATAYARISHO YA TAMASHA ...
» Jua Kali Katika Mahaba ...

 

Roots Communications Birthday Party

photos  
On Thursday, 30 September 2007, Roots Marketing Communications, the advertising agent for Zantel and others, celebrated its first Birthday at its offices in Masaki, Dar es salaam. Our Chief Photography, Abdallah Mrisho was there to capture the event........

Roots Communications Birthday Party
Roots Communications Birthday Party
Roots Communications Birthday Party
Roots Communications Birthday Party
Roots Communications Birthday Party
Roots Communications Birthday Party
Roots Communications Birthday Party
Roots Communications Birthday Party
    (1 September 2007)
Views: 492 | Maoni (0) |

 

Ze Comedy matatani

risasi jumamosi  
Ze Comedy matataniNa Mwandishi Wetu

Kikundi maarufu cha sanaa za uchekeshaji kijulikanacho kwa jina la Ze Comedy cha jijini Dar es Salaam kiko matatani baada ya kudhihaki maadiko takatifu ya dini ya kiislamu (kurani), hivyo kuwatibua waislamu nchini.

Aidha wasanii hao wametakiwa kuwaomba radhi waislamu kabla hawajachukuliwa hatua kali ambayo huenda ikawadhuru.

Onyo hilo limetolewa na Sheikh Hashim Ruseganya wa Msikiti wa Mtambani jijini Dar es Salaam wakati wa hotuba ya swala ya Ijumaa aliyoitoa msikini hapo hivi karibuni.
    (1 September 2007)
Views: 2534 | Maoni (10) | Soma Zaidi

 

Latifa Warioba aundiwa zengwe

risasi jumamosi  
Latifa Warioba aundiwa zengwe Na Luqman Maloto

Wakati Fainali ya Miss Tanzania 2007-08 ikitarajiwa kufanyika leo kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam, imebainika kuwa Miss Ilala, Latifa Warioba, ameundiwa zengwe ili abwagwe.

Latifa ameundiwa zengwe na baadhi ya warembo washiriki pamoja na waandaaji wa mashindano hayo katika ngazi ya vitongoji na kanda mbalimbali, kutokana na kubainika kuwa na sifa nyingi za kuibuka mshindi.

Habari zilizolifikia dawati gazeti hili, zinasema kuwa tayari kumeshazuka hali ya kumkatisha tamaa mrembo huyo kama vile kumtenga na warembo wenzake ili kumuathiri kisaikolojia na hatimaye ashindwe kushindana sawia.
    (1 September 2007)
Views: 1948 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

SIRI IMEFICHUKA kuhusu Ali Choki

risasi jumamosi  
SIRI IMEFICHUKA kuhusu Ali ChokiNa Mwandishi Wetu

Siri ya kuachwa nyumbani mwanamuziki maarufu wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga pepeta’, Kamarada Ally Choki huku wenzake wakipaa kwenda Uingereza, imefichuka.

Kuachwa huko kwa Choki kunatokana na kupigwa marufuku nguli huyo wa muziki wa kibongo kukanyaga ardhi ya Uingereza kutokana na madai ya kushitukiwa dili lake la kuingiza watu wasio wanamuziki nchini humo.
    (1 September 2007)
Views: 1871 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Ndoa na mabadiliko yake

Saikolojia na maisha  
Ndoa na mabadiliko yake
Habari za leo msomaji wangu mpendwa wa kona hii pendwa, nikukaribishe kwa wiki nyingine tuweze kulonga kama ‘kawa’ kuhusiana na mambo yanayotuhusu hususan katika suala zima la mapenzi, si unajua mambo yangu Anti Liz?
Jumamosi hii, nikiwa na ari, nguvu na kasi ya kutisha, kwa raha zangu nitachambua hii kama inavyojitambulisha hapo juu, napenda ufahamu kuwa nimeiteua baada ya kupata mapendekezo mengi kutoka kwa wasomaji.
    (1 September 2007)
Views: 605 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

THEThe hidden Truth (56)

risasi jumamosi  
The hidden Truth (56)

Wakati dalili za ushindi katika kesi ya mauaji inayomkabili Nyakutengwa zimeanza kuonekana, Wakili Dk. Ishengoma anayemtetea Nyakutengwa katika kesi hiyo ameingiwa na tamaa! Anampenda mke wa Nyakutengwa Samantha, mrithi wa utajiri mkubwa wa marehemu baba yake mzee Davis Mosha aliyeuawa na Nyakutengwa.

Ishengoma anaamini akimpata Samantha tayari atakuwa ameuweka utajiri wake wote mikononi mwake, mawazo hayo ndio yanamfanya abadilishe msimamo katika kumtetea Nyakutengwa! Hivi sasa anataka kijana huyo afungwe maisha au anyongwe ili yeye abaki na Samantha akiponda maisha.
    (1 September 2007)
Views: 652 | Maoni (0) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com