Na Christopher Lissa Mkazi mmoja wa Temeke jijini Dar es Salaam, Bw. Juma Muyobya amefumaniwa akiwa gesti na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la mama Maua au mama mkwe.
Tukio hilo la aibu limetokea Agosti 31,mwaka huu katika gesti inayofahamika kwa jina la Siku iliyopo maeneo ya Mivinjeni,Temeke jijini Dar es Salaam.
Imedaiwa kuwa siku ya tukio, wakware hao walifika katika gesti hiyo majira ya asubuhi na kuomba chumba ambapo walipewa chumba Namba 5. inaendelea......
Namshukuru Mungu kwa kila jambo.Ndugu zangu, Wiki iliyopita Kampuni yetu imepoteza mmoja wa wafanyakazi wake mahiri, Whitney Mkali. Binti huyu ambaye mimi namwita shujaa alifariki katika hospitali ya Muhimbili wakati wa kujifungua....
Kijana wa Kimarekani, Dan Davidson anajikuta katika mapenzi mazito na mwanamke wa kwenye ndoto. Amekuwa akimwota msichana huyu tangu utotoni mwake, ingawa hajawahi kumwona hata mara moja....
Najisikia furaha sana kukutana nanyi tena siku ya leo tukiwa wenye afya njema na furaha. Nina imani baadhi ya wasomaji wangu watakuwa wametimiza baadhi ya ahadi zao kwa wapenzi wao, kama ndivyo, na wewe unayesoma mada hii umefanya hivyo, hongereni!....
Msichana wa Kimarekani mwenye asili ya Afrika, Tina na kijana wa Kihadzabe, kabila la watu waishio Maporini, Laibon, wanajikutana katika mapenzi mazito nchini Tanzania na wote wawili wanaamua kusafiri kwa njia ya nchi kavu, wakivuka mpaka hadi mpaka kuelekea Marekani ambako kwa muda mrefu Laibon amesikia ni pazuri kama Paradiso, hakuna shida hata kidogo kila mtu katika nchi hiyo ni tajiri....
Uwezo wa Mungu hakika unaonekana katika kila hatua ninayopiga katika maisha yangu! Nina kila sababu ya kumwambia Mungu wangu ahsante! Yeye ndiye kila kitu katika maisha yangu....