arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 06.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» MSHANGAO!
» Rais Kabila aomba wakafungw ...
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» MAMA ALINITUMA NIMUUE B ...
» Torres aipa ushindi wa ...
» MPAMBANO WA TMK FUNIKA ...
» From china with true lo ...
» KIKWETE AMTIMUA BALALI
» NYOMI YA 50 CENT
» The Assassination -16

 

Miss Tanzania 2003 ambaye anahusudu uwanamitindo

champion ijumaa  
Miss Tanzania 2003 ambaye anahusudu uwanamitindo Na MC George
iaka minne sasa imepita tangu alipoingia katika sanaa ya urembo na kufanikiwa kuwa Miss Mwanza namba 2. Pamoja na yote hayo jina lake bado lipo vichwani mwa watu wengi, hasa wale wadau wa tasnia hiyo ya ulimbwende, kwa sababu hakuishia Kanda ya Ziwa tu, bali alivuka milima na mabonde mpaka akafanikiwa kushiriki fainali kubwa za kumtafuta Miss Tanzania wa 2003......
    (6 September 2007)
Views: 1664 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

HUJUMA MISS TANZANIA

photos  
HUJUMA MISS TANZANIAMiss Tanzania 2007, Richa
    (6 September 2007)
Views: 2237 | Maoni (14) |

 

Mdosi abambwa

ijumaa  
Na Catherine Kassally
Mdosi abambwaNjemba moja yenye asili ya Asia (Mdosi) ambaye alijulikana kwa jina moja la Sharif, alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuzidiwa na kilevi, hali iliyosababisha auchape usingizi barabarani akiwa hoi (nyapinyapi)....
    (6 September 2007)
Views: 1282 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Johari naye ‘OUT’ The Ijumaa Sexiest Girl!

ijumaa  
Na Hamida Hassan
Msanii wa maigizo, Blandina Chagula a.k.a Johari naye ameaga Shindano la The Ijumaa Sexiest Girl, baada ya kupata 11.6% ya kura zote zilizopigwa na wasomaji wetu kupitia mtandao unaoendesha shindano hilo....
    (6 September 2007)
Views: 1357 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Miss Utalii Ilala kujulikana kesho!

ijumaa  
Miss Utalii Ilala kujulikana kesho!Na Issa Mnally
Kesho usiku, wakazi wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, wanatarajia kumpata mrembo wao wa Utalii Kanda ya Magharibi baada ya warembo kumi wanaowania taji hilo kupanda jukwaani kumenyana vikali....
    (6 September 2007)
Views: 982 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

NITAKUFA KWA SABABU YA MKE WANGU-16

hadithi za Shigongo  
Baada ya kuhangaika sana nchini Sudan ambako walijikuta katika vita vya Darfur, hatimaye Laibon na Tina pamoja na watu wengine wawili walioungana nao; bibi Khadija na mtoto mdogo Hope wanawasili Mogadishu na kuiona bahari mbele yao, wanaamini ni kwa kutumia maji hayo watafika Marekani. Je, watafanikiwa? SONGA NAYO ....
    (6 September 2007)
Views: 1069 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

Jini Mahaba linanitesa -8

Mikasa ya kusisimua  
Kwa wasomaji wapya, kijana Nassor mkazi wa Mbagala jijin Dar es Salaam anasumbuliwa na jini mahaba wa Kihindi aitwaye Maimuna kwa muda mrefu sasa. Wiki iliyopita tuliona wapenzi hao walivyokwenda ujinini ambapo Maimuna alimwambia Nassor kwamba anaishi chini ya bahari na duniani yeye na majini wenzake huja kufanya shughuli maalum....
    (6 September 2007)
Views: 1405 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Unahitaji mke mwema? Hizi ndiyo sifa zake!

Mahaba  
Wakati fulani huwa najiuliza, kwanini mapenzi yakawepo? Kwanini kila mtu anazungumzia juu ya mapenzi? Kwanini watu wanajiua kwa ajili ya mapenzi? Kwanini wengine huamua kuwa walevi baada ya kuachwa na wapenzi wao? Kimsingi huwa napata majibu mengi sana, lakini jibu la msingi zaidi ni kwamba maisha yetu ni mapenzi!....
    (6 September 2007)
Views: 1399 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Dunia imekwisha!

Amani  
Dunia imekwisha!Na Mwandishi Wetu
Kweli dunia sasa imekwisha!Usemi huo umedhihirishwa katika mji mmoja wenye watu wapatao milioni 1.1 wa Adelaide uliopo kusini mwa Australia ambapo ilidaiwa kuwa wananchi walidiriki kuandamana wakiwa kama walivyozaliwa.

Vyanzo vyetu vya habari vilidai kuwa, watu hao wakiwemo wanawake, wanaume na watoto wa rika mbalimbali walifikia hatua ya kuandamama wakiwa watupu eti ili kuishinikiza serikali yao kupunguza kodi ya vitu mbalimbali katika bajeti yao.....
    (6 September 2007)
Views: 1667 | Maoni (4) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com