arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 09.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» MSHANGAO!
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» VALENTINE YA UFUSKA!
» Wenye mabasi ya mikoani ...
» Kupoteza hisia za mapen ...
» Tiishii!
» Kanumba agombewa
» Fund Raising for the La ...
» Simba afadhali...
» Msanii apata ajali mbay ...

 

Mchezaji wa taifa stars na wa Msumbiji wakigombea mpira

photos  
Mchezaji wa taifa stars na wa Msumbiji wakigombea mpira
    (9 September 2007)
Views: 46 | Maoni (0) |

 

Mchezaji wa taifa stars na wa Msumbiji wakigombea mpira

photos  
Mchezaji wa taifa stars na wa Msumbiji wakigombea mpira
    (9 September 2007)
Views: 869 | Maoni (0) |

 

Franklii Roberto Lashley (Mwanajeshi anayetesa kwenye mieleka)

champion  
Franklii Roberto Lashley (Mwanajeshi anayetesa kwenye mieleka)FRANKLII Roberto Lashley (31), maarufu kama Bobby Lashley ni Mmarekani mweusi aliyefuzu kwenye ulimwengu wa mieleka, ambapo kwa sasa ni mwanachama wa chama cha mieleka duniani (WWE) akiwa chini ya lebo ya RAW....
    (9 September 2007)
Views: 886 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Kukosa mwenzi wa maisha, sababu na dawa

Mahaba  
Kukosa mwenzi wa maisha, sababu na dawaSifa zote njema anastahili Mungu muweza wa yote, ameamua mimi na wewe tuwepo mpaka nukta hii, hilo tu latosha kutufanya sisi tunyenyekee kwake na kumuhimidi.

Lazima tumnyenyekee, anafanya mengi kila kukicha kwa ajili yetu, kila sekunde au dakika unayopita, tambua miujiza yake imechukua nafasi kubwa mno, ninahakika huwezi kupinga, vinginevyo utakufuru....
    (9 September 2007)
Views: 821 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Happy at last (Hatimae furaha-72

hadithi za Shigongo  
Dk. Ringo hakuwa tayari kuona rafiki yake kipenzi Othman anafia jela! Hilo lingewezekana kama asingemfuatilia na kuhakikisha anatoka! Alichokifanya ni kwenda moja kwa moja kwa Mkuu wa Kituo mzee Mwakatego ambapo walipanga jinsi ya kumtorosha Dk. Othman!
Kila kitu kilienda sawa, wakapanga kutafuta maiti katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, kwa bahati nzuri kulitokea ajali ambapo Dk....
    (9 September 2007)
Views: 576 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Shenazi afa

ijumaa wikienda  
Shenazi afaIssa Mnally na Hamida Hassan
Malkia wa kunengua miondoko ya Taarab na Mduara nchini, Shenazi Salum ni miongoni mwa watu 27, waliokufa kwenye ajali ya basi, iliyotokea juzi kwenye Kijiji cha Majenje, Mbarali, Mbeya.

Kwa mujibu wa mdogo wa mwanamuziki huyo aitwaye Hanifa Salum, Shenazi alifariki dunia, muda mfupi baada ya kutokea ajali hiyo, iliyohusisha magari matatu....
    (9 September 2007)
Views: 2010 | Maoni (6) | Soma Zaidi

 

WEMA SEPETU HUYU!

ijumaa wikienda  
WEMA SEPETU HUYU!Na Mwandishi Wetu
Penzi la Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu, limedaiwa kuwagombanisha ‘mastaa’ wa maigizo nchini ambao walikuwa marafiki chanda na pete, Steven Charles Kanumba na Mohammed Mwikongi ‘Frank’....
    (9 September 2007)
Views: 4949 | Maoni (22) | Soma Zaidi

 

DSTV KUWAPA DILI ZA NJE WASANII WA BONGO

ijumaa wikienda  
DSTV KUWAPA DILI ZA NJE WASANII WA BONGOMeneja Uhusiano wa Kampuni ya MultChoice hapa nchini, Lucy Kihwele, ameiambia Abby Cool & MC George Over The Weekend kwamba kupitia mtandao wa DSTV kazi za wasanii na matukio mbalimbali ya burudani hapa Bongo yatakuwa yakirushwa nje ya nchi na kuonekana karibu ulimwengu mzima, inaletwa kwenu na Catherine Kassally....
    (9 September 2007)
Views: 874 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Unawezaje kufanya penzi lako liwe jipya?

Mahaba  
Unawezaje kufanya penzi lako  liwe jipya?Wewe unaishije? Unashirikiana na wenzako au kila kitu unafanya kivyakovyako? Unashiriki katika nyumba za Ibada? Haya ni baadhi ya maswali ambayo kama unataka kufanikiwa lazima ujiulize kila wakati! Sio kujiuliza tu, bali kupata majibu ya kuridhisha na kuyafanyia kazi....
    (9 September 2007)
Views: 1082 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

For my wife, i will die! (Nitakufa kwa sababu ya mke wangu -17

hadithi za Shigongo  
Kwa msaada wa kijana Mtanzania aitwaye Mohamed, Laibon, Tina, bibi Khadija na mtoto mdogo aliyemwokota Hope, wanafanikiwa kuingia ndani ya meli kubwa iitwayo St. Petersburg Royal Marine kwenye bandari ya Mogadishu. Meli hiyo inaelekea Urusi, ingawa Laibon na timu yake wanaelekea Marekani, hawana jinsi kwani wanachotaka ni kuondoka Afrika....
    (9 September 2007)
Views: 627 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

Taifa Stars yahuzunisha!

photos  
Taifa Stars yahuzunisha!
Benchi la ufundi la msumbiji wakimuenzi marehemu matola kwa kushika picha yake
    (9 September 2007)
Views: 90 | Maoni (0) |

 

Taifa Stars yahuzunisha!

photos  
Taifa Stars yahuzunisha!
Tico tico Mchezaji wa Msumbiji aliyeiua Taifa Stras
    (9 September 2007)
Views: 59 | Maoni (0) |

 

Taifa Stars yahuzunisha!

photos  
Taifa Stars yahuzunisha!

Mashabiki wa msumbiji
    (9 September 2007)
Views: 84 | Maoni (0) |

 

Taifa Stars yahuzunisha!

photos  
Maximo akiwa na kiongozi wa TFF
Taifa Stars yahuzunisha!
    (9 September 2007)
Views: 49 | Maoni (0) |

 

Taifa Stars yahuzunisha!

photos  
Taifa Stars yahuzunisha!

Ivo Mapunda alijitahidi sana, lakini wapi!
    (9 September 2007)
Views: 1455 | Maoni (4) |
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com