arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 11.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» MCHEZO MCHAFU
» MASIKINI MWENZANGU DITT ...
» WAKOLEA WATENGENEZA VIO ...
» VIPAJI VYA VIJANA
» Cheka: Ningemuua Japhet ...
» ALIYEMTUPIA BUSH KIATU ...
» NAFASI ZA KAZI NA ZABUN ...

 

Denti apiga picha za utupu

risasi mchanganyiko  
Denti apiga picha za utupuNa Makongoro Oging
Mwanafunzi ‘denti’ mmoja wa shule moja ya sekondari iliyopo jijini Dar es Salaam (jina lake na la shule vimehifadhiwa), amepiga picha za utupu na kuzisambaza mitaani kwa kile kinachodaiwa kusaka wanaume ‘mabuzi’......
    (11 September 2007)
Views: 9352 | Maoni (33) | Soma Zaidi

 

BBA kwawaka moto Richard, Max na Tatiana nani kuaga?

risasi mchanganyiko  
BBA kwawaka moto Richard, Max na Tatiana nani kuaga?Na Mwandishi Wetu
Mambo yanazidi kupamba moto ndani ya Jumba la BBA, wiki hii Max, Richard na Tatiana wamechaguliwa kupigiwa kula zakutoka.
Hivi ndivyo walivyoteuana:-

Richard alimchagua Max na Lerato ambapo alisema kuwa, alimteua Max kwa sababu alikuwa na hisia kwamba alimsaliti Meryl na hajui thamani ya urafiki huku akimpendekeza Lerato kwa kuwa alishindwa kumtazama usoni tangu Meryl atolewe....
    (11 September 2007)
Views: 782 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Banza, Choki wamfanyia kitu mbaya Asha

risasi mchanganyiko  
Banza, Choki wamfanyia kitu mbaya Asha Na Mwandishi Wetu
Wanamuziki mahiri wa Bendi ya African Revolutions ‘Twanga Chipolopolo’ Ramadhan Masanja, ‘Banza Stone’ na Ally Choki wa African Stars ‘Twanga Pepeta International’ wamemfanyia kitu mbaya Mkurugenzi wa bendi hizo Asha Baraka.

Wakati Banza amemfanyia kitu mbaya kwa kumwacha solemba Asha, Ally Choki anadaiwa kutoonesha dalili za kusaini mkataba mwingine wa kuitumikia bendi hiyo....
    (11 September 2007)
Views: 2375 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

I AM BACK FROM HELL (NIimerudi kutoka kuzimu (2)

hadithi za Shigongo  
Hii ni hadithi yangu mpya itakayoendelea baada ya The Hidden Truth kwisha. Katika hadithi hii kijana Prosper Lufungulo amewaua walinzi wa kaburi la marehemu Sebastian Masaniwa, aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini. Amelivunja kaburi na kuingia ndani yake ambako kwa kutumia koleo anautupa udongo nje mpaka kufikia mabaki ya mwili wa kiongozi huyo nayo kuanza kuyatupa nje.....
    (11 September 2007)
Views: 707 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

THE HIDDEN TRUTH (59)

hadithi za Shigongo  
Chakula kilichotumwa mahabusu na Dk. Ishengoma akimtumia mteja wa dawa za kulevya Chacha kwa lengo la kumuua Nyakutengwa, kinaishia kumuua rafiki yake mpendwa Thobias. Baadaye mke wa Nyakutengwa, Samantha ambaye anadaiwa ndiye aliyemtuma kijana huyo kupeleka chakula anakamatwa na kuhojiwa kwa mauaji. Je, nini kitaendelea? SONGA NAYO...
    (11 September 2007)
Views: 733 | Maoni (1) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com