Na Jopo la Championi, D’SALAAM WAKATI tayari aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mserbia Milutin Sredojevic ‘Micho’ ameshaipa Klabu ya Yanga talaka tatu, kwa sasa timu hiyo inahaha kumtafuta mrithi wake.....
Alipokuwa anachomoka kunako sanaa ya muziki wa Bongo Flava mwanzoni mwa 2000, ilikuwa kama masihara, ‘Ingekuwa Vipi’ ndio kazi iliyomtambulisha.
Hayo yote leo hii yanabaki kuwa historia na utakapomkumbusha alipotoka anaweza akasikia uchungu kwa sababu alifanya kazi ngumu mpaka akafanikiwa kulisimamisha jina lake, japo hivi sasa yamezaliwa mengine zaidi....
Kumtukuza Mungu sitoacha, yeye ni mkubwa anaweza kila kitu chini ya jua, pilika pilika zote za walimwengu, zinafanyika kwa sababu ya kudura zake, bila yeye hata moja lisingewezekana.
Hivyo basi tumshukuru kwa hisani anazozielekeza kwetu na tujiapize kutokukufuru hata mara moja, kwani kwa kufanya hivyo kutufanya tuendelee kuwa wasafi mbele yake....