arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » ijumaa » Waraka wa Shigongo kwa wasomaji wa gazeti la Ijumaa

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» A-Z sakata la Jerry Muro
» KIFO CHA FUNDIKIRA: BEN KIN ...
» Tuhuma za baba kuua watoto ...
» MONALISA APASUA JIPU
» MESEJI ZA MAPENZI ZA WABUNG ...
» 40 ZA WASALITI
» Mjane wa balozi aliyeuawa a ...
» Miss TZ 2009 kimeo
» Mrembo anaswa akiiba ng ...
» Mtoto anusurika kuchunw ...
» ANATISHA
» Nani anastahili kuumizw ...
» POLISI WALIOMALIZA MAFU ...
» Kha! Dida

Waraka wa Shigongo kwa wasomaji wa gazeti la Ijumaa

ijumaa

PICHA MABLI MBALI ZA KUKAMATWA KWA BW. MUGAHIMKAMU, KUANZIA CHUMBA CHA HABARI NA KUISHIA KITUO CHA POLISI
Waraka wa Shigongo kwa wasomaji wa gazeti la IjumaaWaraka wa Shigongo kwa wasomaji wa gazeti la Ijumaa
Waraka wa Shigongo kwa wasomaji wa gazeti la IjumaaWaraka wa Shigongo kwa wasomaji wa gazeti la Ijumaa
Majuto mjukuu... Anos (kulia) akiwa chini ya ulinzi wa afisa upelelezi wa jeshi la Polisi akipelekwa kituo cha Polisi Msimbazi. Pichani chini akilia kwa masikitiko baada ya kufikishwa kituoni.


 (Votes #: 6)
    (15 September 2007)
Soma Zaidi: 4382 | Maoni Yako (3)

Udaku Mwingine

ijumaa
 
  • Shigongo apongezwa na wateja
  • Global Publishers kuwapa wasomaji wa magazeti yake gari jipya
  • Droo ya kwanza bahati nasibu ya Benzi imewadia
  • Jishindie gari jipya la kisasa na magazeti ya Global Publishers
  • GAZETI LA UWAZI LAANZA KUMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE
  •    

    #1 Author: jomabe (17 September 2007 09:40)

    poleni sana hasa wewe shigongo na nawapongeza sana kwa juhudi zote mulizofanya hila mimi natoa comment kwamba mulichokifanya sio kizuri cha kumtoa picha yake na kuandika jina lake wakati ni mtu mdaku wenu wa karibu huyu jamaa sasa munaweza kusababisha madhala makubwa sana kwa jamii kwani watu wanaweza kumpiga na kumchukia kwa vitendo vyake hivyo kwakweli nawaombeni sana mumchunge huyu mtu wenu kwani jamii aipendi udaku wenu sasa munapomuweka hadharani huyu jamaa munamsababishia mazingarira magumu sana kwa jamii yake
     
    fast    

    #2 Author: keidi (20 September 2007 18:13)

    Poleni sana ila mulichokifanya kutoa picha adharani ni hatari kwani udaku uliotolewa haufundishi jamii ila unapotosha jamii na watu wanawacheka sana jaribu kuwapa somo aho wahariri wako wanapapukia mambo uho sio upaparazi kazi njema

    Jaribu kupima mawazo yenu kama habari ilitoka muda mrefu kwanini hamkufuatilia mpaka mtu awaletee na sio vizuri kumtoa sura yake mnahatarisha maisha yake nanyi pia hamna faida maana habari imepita tugange yajayo ila kuwa makini na kazi yenu naomba mutoe ile sura maana watu wataichukua na kesi itawageuka ni mawazo tu
     
    fast    

    #3 Author: zamoyoni ngede (14 June 2008 14:59)

    Habari zenu zote ni safi na bora,kinachotakiwa ni kukuza buti!
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi


    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com