arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 17.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» HIVYO NDIVYO NAVYOISHI
» Nilivyobakwa na baba ya ...
» I AM BACK FROM HELL (N ...
» KELLY ATINGA UWANJA WA ...
» Msitu wa pande -12
» TUZO ZA WANAMUZIKI ZABO ...
» HIZI NDIZO SABABU ZA PE ...

 

Simba, Yanga uwanjani Oktoba

champion  
Simba, Yanga uwanjani OktobaNa Adolph Balingilaki
WATANI wa jadi timu za Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam, zinatarajia kupambana Octoba 24 mwaka huu, katika mzungumko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Jumamosi wiki hii.

Katika mechi hiyo ambayo mabingwa wa Tanzania Bara, Simba watakuwa wageni wa Yanga, inatarajiwa kuchezwa katika Dimba la Jamhuri mjini Morogoro endapo Uwanja wa Taifa utakuwa haujakamilika......
    (17 September 2007)
Views: 759 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Happy at last (Hatimae furaha-74

hadithi za Shigongo  
Dk. Othman anaokoka katika mikono ya sheria, ni rafiki yake mpendwa Dk. Ringo ndiye aliyefanya mipango ya kumtoa Dk. Othman. Baada ya kujitundika katika chumba cha mahabusu, anaokolewa na Musa ambaye aliandaliwa na Mkuu wa Kituo Mwakatego. Hatimaye Musa anaachiwa huru baada ya kutimiza makubaliano aliyotakiwa kuyafanya!
Othman anapelekwa mochwari, akiwa humo mlango unagongwa, mambo yanaharika, Gebeshi anashauri aingie kwenye jeneza la kusafirishia maiti, hakubisha akafanya hivyo, lakini hatimaye wakagundua kuwa aliyekuwa akigonga mlango alikuwa ni Dk. Ringo.

Baada ya kutoka huko wakaondoka kwenda Masaki kwa Dk. Ringo, huko mipango ya safari ya Uingereza ikaendelea kupangwa! Siku iliyofuata magazeti yote yaliandika habari za kujinyongwa kwa Dk. Othman, kila gazeti liliandika kwa kichwa chake, ingawa picha iliyoonyesha akiwa amening’inia ilitumiwa na kila gazeti.

Wakiwa barabarani kuelekea Uwanja wa Ndege tayari kwa safari ya kwenda Uingereza, wakasimamishwa na maaskari waliokuwa katika taa za Karume. Dk. Ringo akachanganyikiwa!

Alijua kila kitu kilishaharibika! Nini kitaendelea? SONGA NAYO…...
    (17 September 2007)
Views: 558 | Maoni (0) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com