arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 19.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Niligeuka mwanamke, nik ...
» Wazungu wampa Kaniki za ...
» Sina uhusiano na mamiss ...
» Majibu ya ukimwi yamliz ...
» Wivu ni alama ya penzi ...
» (SIMULIZI LA CHUMBANI) ...
» POLISI WAZIDI KUUA RAIA ...

 

MKANDAMIZAJI

Amani  
Na Catherine Kassally
MKANDAMIZAJIMuigizaji machachari wa kipindi cha Ze Comedy kinachorushwa kupitia Televisheni ya EATV, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji, huenda asirudi tena katika kipindi hicho kufuatia afya yake kuwa ya mgogoro baada ya kupata ajali.....
    (19 September 2007)
Views: 512 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Manka Mushi katika pozi

photos  
Manka Mushi katika pozi
    (19 September 2007)
Views: 1498 | Maoni (5) |

 

Manka Mushi katika pozi

photos  
Manka Mushi katika pozi
    (19 September 2007)
Views: 5611 | Maoni (26) |

 

Mrembo atupa mtoto jalalani

Amani  
Dotto Mwaibale na
Issa Mnally

Mrembo atupa mtoto jalalaniMrembo mmoja ambaye hakufahamika jina lake hivi karibuni alijifungua mtoto wa kiume na kwenda kumtupa kwenye dampo la takataka lililopo Vigungunguti jijini Dar es Salaam, huku akiwa amemfunga kwenye mfuko wa plastiki maarufu kama Rambo....
    (19 September 2007)
Views: 1262 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

Askari wa Kandoro

Amani  
Christopher Lisa na Mariam Mndeme
Askari wa Kandoro Askari mmoja wa Jiji la Dar es Salaam ambaye jina lake halikuweza kufahamika, jana alipata kipigo kikali kutoka kwa mfanyabiashara ndogo ndogo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja kiasa cha kuchaniwa magwanda yake...
    (19 September 2007)
Views: 718 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Mtu mzima ovyoo!

Amani  
Na Mwandishi Wetu
Mtu mzima ovyoo!Katika hali inayodhihirisha kuwa baadhi ya watu hawazingatii maadili ya kitanzania, binti mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Zawadi alinaswa akicheza akiwa mtupu ‘kusasambua’ mchana kweupe....
    (19 September 2007)
Views: 2671 | Maoni (6) | Soma Zaidi

 

THE FAKE PASTORS - Wachungaji waongo (22)

hadithi za Shigongo  
Baada ya kuachana na Jack, mtoto wa mzee wa Kanisa Patrick anaanza uhusiano wa kimapenzi na mke wa muumini aitwaye mama Kasambale, ambaye amehama kabisa nyumbani kwake na kuanza kuishi na Patrick kwa siri huku mume wake akimtafuta.....
    (19 September 2007)
Views: 782 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Nilivyopendwa na Jini Part II - 3

Mikasa ya kusisimua  
Ndugu wasomaji, wiki iliyopita muliona jinsi kijana Mau alivyopuliziwa upepo na yule jini aliyejifanya msamaria kwake na kupoteza fahamu.
Alipozinduka alijikuta akiwa ndani ya gari maeneo ya VETA Chang’ombe jijini Dar es Salaam ambapo dereva aliendesha gari hadi kwenye Benki ya City iliyopo mita chache kushoto kutoka kijiji cha Makumbusho, wakiwa hapo mpenzi wake Husna aliteremka na kuingia katika benki hiyo.....
    (19 September 2007)
Views: 842 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Dondoo 10 za kumdatisha mpenzi wako!

Mahaba  
Dondoo 10 za kumdatisha mpenzi wako!Assalam alaikum mpenzi msomaji wangu. Ni wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii maridhawa ya uwanja wa mapenzi, safu ambayo pamoja na mambo mengine nakuletea mada mbalimbali zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi.

Wiki hii nitakuhabarisha juu ya mambo ambayo ukimfanyia mpenzi wako ni dhihiri utamdatisha na hatotamani kukuacha wala kuwa mbali na wewe.

Kimsingi kama utashindwa kuyafanyia kazi haya nitakayoyaeleza leo, unaweza kusababisha nyufa katika penzi lenu.....
    (19 September 2007)
Views: 2737 | Maoni (4) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com