arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 20.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» MSHANGAO!
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» VALENTINE YA UFUSKA!
» Baba adaiwa kumbaka bin ...
» Mswahili asiyewahi kufi ...
» Pombe zawadhalilisha Ki ...
» Nilivyopendwa na Jini P ...
» Mpenzi wako analalamika ...
» Kukamatwa Jenerali Nkun ...
» Juma Mbizo naye aitosa ...

 

Ray, Kanumba watishiana uchawi!

ijumaa  
Ray, Kanumba watishiana uchawi!Na Joseph Shaluwa
Wahenga walinena, mafahari wawili hawakai zizi moja, usemi huo umeonekana kutimia baada ya wakali wa sanaa ya maigizo nchini, Vicent Kigosi 'Ray' na swahiba wake wa siku nyingi, Steven Kanumba 'Kanumba' kuwa na chuki 'bifu' za chini kwa chini kiasi cha kutishiana kurogana, Ijumaa limedolezwa....
    (20 September 2007)
Views: 1794 | Maoni (8) | Soma Zaidi

 

Nchimbi amgaragaza Mbogoro mara 3!

ijumaa  
Nchimbi amgaragaza Mbogoro mara 3!Na Salum Mnette
Naibu Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Dk. Emmanuel Nchimbi kwa mara ya tatu jana, alimgaragaza aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Songea mjini, Edson Mbogoro kupitia CHADEMA, baada ya kumshinda katika kesi ya kupinga ushindi wake iliyokuwa ikiunguruma katika Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam.....
    (20 September 2007)
Views: 1307 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Ray c naye afuata nyayo!

ijumaa  
Na Hamida Hassan
Msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila 'Ray C' amefuata nyayo za washiriki watano waliotangulia kutoka katika mpambano wa The Ijumaa Sexiest Girl baada ya kupata 9.1% ya kura zote zilizopigwa na mashabiki....
    (20 September 2007)
Views: 1398 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Jini Mahaba linanitesa -10

Mikasa ya kusisimua  
Tangu siku hiyo familia yetu na ya mpenzi wangu ziliingia kwenye vita vikali, hata hivyo mama alinifahamisha kwamba bibi yake alimueleza ukoo wetu haurogeki hivyo tusingedhuriwa na mtu yeyote.

Aliongeza kusema kuwa, ili tusirogwe tulipaswa kuishi kitakatifu (Tauwidi) ambapo tulitakiwa kuswali, kutoa zaka na kuwapenda watu wengine.....
    (20 September 2007)
Views: 1370 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Nitakufa kwa ajili ya mke wangu-20

hadithi za Shigongo  
Laibon ametoka kwenye chumba walimofungiwa na Mohamed, kiu ya maji ndiyo inayomsumbua, akiwa jikoni anakamatwa na Yuri, nahodha shoga asiye na huruma na kupelekwa juu kabisa ya meli kwenye chumba cha mateso ambako kwa siku kadhaa anateswa na baadaye kutupwa majini akiwa amevishwa boya na kufungukiwa chakula....
    (20 September 2007)
Views: 805 | Maoni (5) | Soma Zaidi

 

Mambo gani ‘humpagawisha’ boyfriend au girlfriend wako?

Mahaba  
 Mambo gani ‘humpagawisha’ boyfriend au girlfriend wako?Sina shaka mtakuwa wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku salama, mimi pia ni mzima na nina furaha ya ajabu moyoni mwangu! Unajua kwanini nina furaha? Kwa sababu naishi bila hofu, nikiwa chini ya uangalizi makini wa Mungu wangu ambaye ni muaminifu siku zote!....
    (20 September 2007)
Views: 1326 | Maoni (0) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com