arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 21.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» ZITO LAIBUKA
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» SISI MWEZI BADO HATUJAU ...
» Mbunge CCM afanya madud ...
» SIRI NI HII!
» Usikubali mapenzi yakus ...
» Sura ya mtu, roho ya sh ...
» Julio amgeukia Bezinski
» NILIMUUA MUME WANGU NIO ...

 

Yanga moto chini

champion ijumaa  
Yanga moto chiniITC ya Kabanda, Lukunku zawasili kuongoza mauaji kesho, Mwalala arejeshwa kundini, Tegete atemwa
Christina Mafuru

WAKATI kesho Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuanza kutimua vumbi, Klabu ya Yanga imeanza kutoa vitisho kwa timu watakazokutana nazo msimu huu kuwa kikosi chao ni moto........
    (21 September 2007)
Views: 764 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Rihana ajianika Jamaica

champion ijumaa  
Rihana ajianika JamaicaMiami, Marekani

Msanii wa muziki nchini Marekani, Rihana amewaacha watu midomo wazi baada ya kujianika ufukweni alipokuwa mjini Kingstone nchini Jamaica........
    (21 September 2007)
Views: 1621 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Helga gabriel tarimo-Richa Adhia alituzidi kwa mambo mengi

champion ijumaa  
Helga gabriel tarimo-Richa Adhia alituzidi kwa mambo mengiKAMA ilivyo ada ya Face 2 Face, kutuliza ‘mtima’ wa wasomaji wetu, Mwandishi FATMA AMRI wiki hii amejibu maombi ya wadau wetu waliyoomba kujua machache kutoka kwa Mrembo wa Vodacom, Miss Popularity 2007, Helga Gabriel Tarimo ambaye pia ni Mlimbwende wa Shinyanga na Kanda ya Ziwa.....
    (21 September 2007)
Views: 1616 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Nguzo 4-madhubuti katika kudumisha penzi la siri - 2

Mahaba  
Nguzo 4-madhubuti katika kudumisha penzi la siri - 2Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani leo ni siku ya tisa, twende sambamba ndugu yangu katika kipindi hiki cha ibada kuu kwa Waislamu, tuombeane kwa Maulana ili kumaliza salama siku 29 ama 30 za swaumu.

Bado tunaendelea na mada yetu ya Nguzo nne madhubuti katika kudumisha penzi la siri, tunalazimika kukumbushana hili, kwakuwa staili hii ya mapenzi ipo, kama siyo wewe basi pengine rafiki ama jirani yako.....
    (21 September 2007)
Views: 614 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Njia za kumfanya mumeo asitoe harufu!

Mahaba  
Ni wiki nyingine tunakutana ndani ya kona yetu maridhawa ya Dondoo za mwanamke, bila shaka hamjambo mungu anasaidia, kwa upande wangu mimi ni mzima namshukuru muweza wa yote.

Leo nitawaletea mada nyepesi lakini inaweza kuwa ngumu kuifuata, msijali sana kwa wale wanaompenda waume zao hakika mtapenda wawe smati ili mwisho wa siku mjivunie kuwa na wanaume wazuri na mwenye kuvutia pindi anapokuwa mbele ya jamii.

Mada ya leo tutazungumzia kitu cha kutumia pale mume wako anapokuwa na harufu katika miguu yake na sehemu mbalimbali za mwili, wanaume wengi wamekuwa na ‘vijiharufu’ harufu fulani vya mwili, hayo yote yanatokana na maumbile ya mwanaume mwenyewe na haipendezi kumnyanyapaa mwenzako eti kwasababu ana harufu ya kwapa au ya miguu nk...
    (21 September 2007)
Views: 2000 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Happy at last (Hatimae furaha-75

hadithi za Shigongo  
Dk. Othman alifanikiwa kutoroka polisi, kwa msaada wa Dk. Ringo. Mipango ikafanyika safari ya Uingereza ikakamilika, ingawa walipata matatizo walipokuwa safarini kuelekea Uwanja wa Ndege lakini Dk. Othman alifika salama Uingereza ambapo alipokelewa na Dk. Immanuel, rafiki mkubwa wa Dk. Ringo.....
    (21 September 2007)
Views: 574 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

Dogo wa miaka 17, anayetambulika na ulimwengu kwa kazi moja tu ya Beautiful Girls! -Sean Kingston

champion ijumaa  
Dogo wa miaka 17, anayetambulika na ulimwengu kwa kazi moja tu ya Beautiful Girls! -Sean KingstonKila mwaka ndani na nje ya Bongo, vinaibuka vichwa vipya katika sanaa ya muziki na kufanya maajabu huku vikiwaacha mashabiki wakijiuliza ni wapi walipokuwa. Je, kabla ya hapo waliwahi kuingia studio siku za nyuma? Na maswali mengine kibao ya dizaini hiyo....
    (21 September 2007)
Views: 1331 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

KIFO CHA SHENAZI

ijumaa  
KIFO CHA SHENAZINa Mwandishi Wetu
Kifo cha mnenguaji maarufu wa nyimbo za miduara na mipasho nchini, Shenazi Salum kilichotokea hivi karibuni kwa ajali ya basi la SABCO, kilitawaliwa na vitendo vya kinyama, Ijumaa limegundua.....
    (21 September 2007)
Views: 2370 | Maoni (2) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com