arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 23.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» ZITO LAIBUKA
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» BONANZA LA WAANDISHI LI ...
» JOTI AMLIZA
» Niligeuka mwanamke nika ...
» Vunja mbavu
» DAYANA CADEAU
» JAPO UMELIPA KIINGILIO ...
» Siri zilizozunguka kifo ...

 

SONGOMBINGO!

ijumaa wikienda  
SONGOMBINGO!Richard Bukos na Christopher Lissa
Kundi la vijana 10, limedaiwa kuibuka eneo la Manzese, Dar es Salaam na kuendesha ‘songombingo’ la kikatili kwa kuwateka mabinti kisha kuwabaka kwa zamu.

Vyanzo mbalimbali vya Ijumaa Wikienda, vilieleza kwamba vijana hao, hutumia gia ya kuwateka mabinti na kwenda kuwabaka kwa kujitambulisha kama askari wa jadi ‘sungusungu'....
    (23 September 2007)
Views: 1761 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Ni mauzauza Sea Cliff

ijumaa wikienda  
Ni mauzauza Sea CliffNa Mwandishi Wetu
Hali ya mauzauza, ilitawala kwenye tukio la kuungua hadi kuteketea kwa Hoteli ya Kitalii ya Sea Cliff, iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam. Hoteli hiyo ilianza kuungua juzi (Jumamosi), saa 12 jioni na moto kuzimwa saa 4 usiku, ajali ambayo inadaiwa kusababishwa na ‘shoti’ ya umeme.....
    (23 September 2007)
Views: 1290 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Ndoa ya Richard kuvunjika?

ijumaa wikienda  
Ndoa ya Richard kuvunjika?Wiki hii, kupitia 'Street Version' tunapata maoni kutoka kwa baadhi ya Watanzania ambao wamekuwa wakifuatilia kwa karibu Shindano la Big Brother Afrika (BBA) linaloendelea hivi sasa huko Afrika ya Kusini.....
    (23 September 2007)
Views: 1550 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

Mzungu aua watu 62

ijumaa wikienda  
Kutoka Moscow
Mzungu raia wa Urusi, Alexander Pichushkin, amefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kuua watu 62, makosa ambayo anadaiwa kuyafanya ndani ya kipindi cha miaka kumi na tano iliyopita....
    (23 September 2007)
Views: 513 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Mpakanjia

ijumaa wikienda  
Na Mwandishi Wetu
Mfanyabiashara maarufu chini,, Mohammed Mpakanjia ‘Meddy’ ambaye alikuwa hajulikani alipo, sasa amefichuliwa.
Habari za kuaminika kutoka chanzo chetu cha habari zilizolifikia gazeti hili wiki hii, zinasema kuwa Mpakanjia yupo Kimara jijini Dar es Salaam anapumzika....
    (23 September 2007)
Views: 996 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Dozi kamili ya kutambua penzi la dhati!-2

Mahaba  
Dozi kamili ya kutambua penzi la dhati!-2Nainua mikono yangu juu, kwa heshima zote, nikimrudishia Mungu wangu, sifa heshima na utukufu. Yeye ni kila kitu katika maisha yangu, bila msaada wake, hakika siwezi kuwa kama nilivyo leo! Nakusihi nawe msomaji wangu mpenzi, jenga utaratibu wa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.....
    (23 September 2007)
Views: 1104 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

For my wife, i will die!(Nitakufa kwa ajili ya mke wangu 21

hadithi za Shigongo  
Laibon anakamatwa ndani ya meli waliyozamia na kutupwa majini, akimwacha Tina, Bibi Khadija pamoja na mtoto aliyemwokota Hope wakiendelea na safari bila kugundulika lakini mwendo mfupi tu mbele anashuhudia ndege zikishuka na kuilipua meli hiyo.

Hii inamaanisha mpenzi wake Tina na watu wote waliokuwemo ndani ya meli hiyo wamekufa, Laibon analia lakini machozi yake yanamezwa na maji....
    (23 September 2007)
Views: 789 | Maoni (4) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Author: admin


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com