arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 25.09.2007

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» UNAVYOVAA NI CHACHANDU ...
» Yanga Malkia, Simba ma ...
» I will Die for my wife
» MB DOG: Nafanya mpango ...
» I WILL DIE FOR MY WIFE ...
» (SIMULIZI LA CHUMBANI) ...
» Lipumba aponda Bajeti y ...

 

Varangati

risasi mchanganyiko  
Mariam Mndeme na Catherine Kassally
Changudoa mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Munira na mwenzake ambaye ni shoga maarufu aliyejulikana kwa jina la Anti Said, hivi karibuni walitoa kichapo cha nguvu kwa kaka mmoja kwa kile kilichodaiwa kuwadhulumu pesa.

Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika eneo la Vingunguti, jijini Dar es Salaam katika chumba ambacho wawili hao wanaishi na kufanya biashara ya ukahaba.....
    (25 September 2007)
Views: 1032 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Waziri Kapuya apata ajali

risasi mchanganyiko  
Waziri Kapuya  apata ajali Na Dotto Mwaibale
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Athuman Kapuya amepata ajali mbaya baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu.....
    (25 September 2007)
Views: 1017 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Salama afanyiwa kitu mbaya

risasi mchanganyiko  
Salama afanyiwa kitu mbayaNa Mwandishi Wetu, Morogoro
Njemba mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja hivi karibuni alimfanyia kitu mbaya mtangazaji maarufu wa Kituo cha Televisheni cha Channel 5, Salama Jabir, habari za kuaminika kutoka mjini Morogoro zimesema.

Salama ambaye alikwenda mkoani humo kwa shughuli za kikazi alijikuta katika wakati mgumu baada ya kudhalilishwa mbele ya watu kwa matusi mfululizo na jamaa huyo aliyeonekana kukolea kilevi.....
    (25 September 2007)
Views: 2178 | Maoni (10) | Soma Zaidi

 

Wanafunzi wajazana mimba

risasi mchanganyiko  
Na Issa Samwel, Korogwe
Mwanafunzi mmoja wa Shule ya Sekondari ya Old Korogwe, Paulo Germia, Wilaya ya Korogwe ameshikiliwa na polisi baada ya kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha pili wa shule hiyo.....
    (25 September 2007)
Views: 1632 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

Mganga wa jadi jela kwa kuwabonyeza kizenji wateja

udaku  
Na Mwandishi Wetu Igunga,
Mganga wa tiba za asili, Nyindwa Kundiga (40) amehukumiwa kifungo cha miaka 90 jela, baada ya kukutwa na hatia ya kuwalaghai wateja wake watatu na kufanya nao mapenzi (kuwabonyeza kizenji), kinyume na sheria....
    (25 September 2007)
Views: 623 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

UKWELI ULIOFICHWA 61

hadithi za Shigongo  
Hatimaye Nyakutengwa kwa msaada wa Mawakili wawili wapya, anawekwa huru na kutoka mahabusu. Ni kama wamepishana na mke wake Samantha ambaye pia ameingia mahabusu kwa kesi ya mauaji ya Thobias, mfungwa aliyekula chakula chenye sumu ambacho Samantha anadaiwa kukipeleka mahabusu kwa ajili ya Nyakutengwa.....
    (25 September 2007)
Views: 577 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Nimerudi kutoka kuzimu -5

hadithi za Shigongo  
Kijana Prosper ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya Pugu, mwenye ndoto nyingi maishani mwake anarejea kutoka shuleni akiwa na furaha kubwa baada ya kufunga shule. Akiwa nyumbani analakiwa na kaka zake Saimon na John na kuambiwa baba yao mzee Lufungulo yupo ofisini kwake akiwa na mtoto yatima wa shule ya sekondari Mbezi akimsaidia......
    (25 September 2007)
Views: 770 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Ukimwi umeipukutisha familia yetu (16)

Mikasa ya kusisimua  
Kutokana na kuandamwa na maradhi, walipofanyiwa vipimo aligundulika alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa hatari wa Ukimwi.

Taarifa hiyo ilimshtua kila mmoja wetu, lakini kaka alikuwa katika wakati mgumu sana kwani baada ya kuelezwa hivyo na daktari alichanganyikiwa......
    (25 September 2007)
Views: 936 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Makundi ya watu na aina ya mapenzi

Mahaba  
Tushukuru Mungu kwa kutuwezesha kukutana siku ya leo, yeye ni mwema sana ndiyo maana akatuweka hai mpaka nukta hii. Siyo kwamba aliokwisha wachukua hakuwatendea uungwana la hasha! Isipokuwa ana sababu za msingi kufanya hivyo.

Tulio hai tujue dhima tuliyonayo mbele yake, waliotangulia tuwaombee salama mpaka siku ya mwisho, kikubwa zaidi ni kujifunga kikamilifu kutekeleza yale yote mema anayotaka na tuachane na dhambi anazokataza.......
    (25 September 2007)
Views: 524 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

My Sweet sex with H. Baba

The Bongo Sun  
My Sweet sex with H. BabaFormer 5th runner up in the 2006 Miss Tanzania Irene Uwoya has come to respond to a number of question asked by critics in regard to her attraction to Hip hop artist known as H baba or Hamisi Ramadhani.

The Bongo Sun had a little chat with Irene who said it was her personal decision as she was in charge of choosing a person she pleased.......
    (25 September 2007)
Views: 3552 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Besta Found her love match

The Bongo Sun  
Besta Found her love matchThe hippy and upcoming Bongo Fleva diva Bester says she is grateful because she has found a soul mate who would be her husband.

Speaking to The Bongo Sun Bester said she had been praying for quite sometimes for God to give her a man who would share the same interest with her saying her prayers had been answered......
    (25 September 2007)
Views: 1266 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

ARE YOU CONFUSED BECAUSE HE SAYS NO TO SEX?

Mahaba  
ARE YOU CONFUSED BECAUSE HE SAYS NO TO SEX?[b][/b]It’s very common for women to blame themselves when a partner appears to lose interest in sex. You may feel that there’s something wrong with your lovemaking technique or that he just doesn’t fancy you any more.

This is often not the case, usually there is something going on upstairs that’s freezing activities downstairs, your job is to find out what that something is, and work together to sort it out.........
    (25 September 2007)
Views: 608 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

If I were me the president

The Bongo Sun  
If I were me the presidentIf I were the president of the United Republic of Tanzania who is also responsible for Tanzanians welfare, I would think of people severely suffering psychologically and physically from HIV/AIDS.....
    (25 September 2007)
Views: 528 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

WATOTO WALIOUAWA

uwazi  
WATOTO WALIOUAWANa Kabele Lazaro, Mwanza
Ukweli kuhusu watoto wanne wa familia moja waliouawa kwa kupigwa rungu vichwani wiki iliyopita katika kijiji cha Igumangobo wilayani Kwimba Mkoa wa Mwanza, umejulikana.

Watoto hao waliuawa wakiwa wamelala usingizi na mama yao mzazi bado amelazwa katika kituo cha afya baada ya kuzimia mara alipopata taarifa ya vifo hivyo wa wanawe......
    (25 September 2007)
Views: 1287 | Maoni (1) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com