arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for October 2007 Year

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Mpenzi mwenye tabia hizi m ...
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Mduara wa Mahaba (19)
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Aisha Madinda: NGONO INANIU ...
» JACKLINE AMUANIKA ALIYEMTOA ...
» KANUMBA: NARGIS ALINITESA ...
» Nililazimika kuwa mchaw ...
» Za mwizi fote
» FROM CHINA WITH TRUE LO ...
» MISS UTALII AFANYA FUVU ...
» MTOTO ALIYEISHI NA NYAN ...
» POPOBAWA AIBUKIA MANZES ...
» Neema kubwa yatua Simba

 

Ze Comedy wavamiwa

risasi mchanganyiko  
Ze Comedy wavamiwaCatherine Kassally
na Mariam Mndeme

Wasanii maarufu wa kundi la vichekesho la Ze Comedy la jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki iliyopita walivamiwa na umati mkubwa wa watu waliokuwa wakitaka kuwaona laivu.

Tukio hilo la aina yake lilitokea katika mzunguko (round about) wa Uhuru na Msimbazi, Karikaoo jijini Dar es Salaam ambako wasanii hao Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, Lucas Mhuvile ‘Joti’, Wakuvwanga, Isaya Mwakilasa walikuwa wakirekodi (shooting) ya vipindi vyao....
    (31 October 2007)
Views: 1555 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

I am back from hell(Nimerudi kutoka kuzimu (15)

hadithi za Shigongo  
Mzee Lufungulo anafariki dunia akiwa gerezani, kabla ya kifo chake anawasimulia watoto wake Saimon, John na Prosper ukweli juu ya kilichotokea mpaka yeye na familia yake wakajikuta wakipakaziwa kesi ya ubakaji na kutupwa gerezani kwa kifungo cha maisha ili wafie huko. Amewaeleza kila kitu juu ya Sebastian Masaniwa,
ambaye hivi sasa ni Waziri wa Biashara, walisoma pamoja na kuingia katika ugomvi wa mwanamke ambaye baadaye alikuja kuwa mama yao na Prosper, mwanamke huyo hivi sasa ni marehemu, alianguka chini na kufa siku mume na watoto wake walipokamatwa na kutupwa mahabusu.


Baada ya kifo chake, watoto wake watatu wanaendelea na maisha gerezani, Prosper akipanga kitu kimoja tu kichwani mwake, kutoka gerezani kwenda kulipa kisasi kama baba yake alivyowaagiza. Katika kujiandaa na hilo na pia kupambana na manyanyaso ya gerezani, amempata rafiki aitwaye Warioba na kujiunga naye katika mazoezi ya kunyanyua vitu vizito, anataka kuwa mkakamavu.

Miezi michache baadaye alikuwa amebadilika maumbile, misuli yake ilikuwa imekua na kukomaa, kwa Kiswahili cha sasa vijana wangeweza kumwita Baunsa. Akiwa hajui uwezo aliokuwa nao kwa wakati huo, Mnyampara Sugu anamfuata tena kama ilivyokuwa hapo awali na kumwomba mapenzi kinyume na maumbile, hapo ndipo Prosper akiwa na hasira nyingi akaamua kuonyesha uwezo aliokuwa nao kwa kumpa kipigo cha mbwa mwizi mtu aliyekuwa anaogopwa na gereza zima.

Taarifa zilipofikishwa kwa Mkuu wa Gereza, iliamriwa mara moja Prosper ahamishwe gereza kupelekwa Butimba Mwanza, jambo ambalo kijana huyo hakukubaliana nalo kabisa akidai hakuwa tayari kutenganishwa na ndugu zake mpaka kifo, aliyasema maneno hayo mbele ya Mkuu wa Gereza na maaskari wengine wakisikia.
Je, nini kitaendelea? SONGA NAYO…
    (31 October 2007)
Views: 434 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Usaliti katika mapenzi-2

Mahaba  
Usaliti katika mapenzi-2Kwa mujibu wa utafiti wa serikali juu ya takwimu zinazohusu masuala ya afya na jamii, Demographic and Health Survey (DHS) uliofanywa mwaka 2006, uwezo wa Watanzania kusubiri kufanya ngono mpaka baada ya ndoa ni mkubwa zaidi kuliko wa Wamarekani. Hata hivyo, utafiti huo unabainisha kuwa Watanzania walio wengi wanasubiri, lakini wachache ni waaminifu katika ndoa zao. .....
    (31 October 2007)
Views: 561 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Mke wangu mtarajiwa (7)

Mikasa ya kusisimus  
Balingilaki anajaribu kurejesha penzi lake kwa kasi akimchonganisha Queen na Mutalemwa, awali alimwambia Muta kuwa Queen ni malaya aliyetembea na kigogo mwenye Virusi vya Ukimwi, anapomaliza akiamini amefanikiwa anamwandikia Queen ujumbe wa maneno kuwa Muta ni muathirika wa Ukimwi asijaribu kuwa naye, Queen anamwonyesha kipenzi chake meseji hiyo, Muta anashtuka na kumpigia Balingilaki kutumia simu Queen kuwa asimsumbue mpenzi wake. Je, nini kitaendelea? Fuatilia...
    (31 October 2007)
Views: 519 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Alain Mulumba abambwa

risasi mchanganyiko  
Na ISsa Mnally

Mwanamuziki wa Bendi ya Dansi ya Diamond Sound, Alain Mulumba Kashama mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa akifanya vitendo vichafu na msanii wa zamani wa kundi la Sanaa la Mambo Hayo Zawadi Mchalo ‘Teddy’

Vitendo hivyo ambavyo vilifanyika katika Baa ya Angel, Crocodile iliyopo Ilala, jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na mwandishi wetu viliwakera baadhi ya mashabiki waliokuwa katika onyesho la bendi hiyo ya Diamond Sound...
    (31 October 2007)
Views: 579 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Richard kumpiku Mwisho Mwampamba?

risasi mchanganyiko  
Na Hamida Hassan

Mshiriki wa Tanzania katika Shindano la Big Brother Africa II Richard huenda akashinda na kujinyakulia kitita cha shilingi milioni mia moja na kumpiku aliyekuwa mshiriki wa Tanzania katika shindao hilo la kwanza mwaka 2003 Mwisho Mwampamba ambaye aliibuka mshindi wa pili baada ya mshiriki kutoka Zambia Cherish kufanikiwa kuibuka mshindi....
    (31 October 2007)
Views: 741 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

VIPAJI VYA VIJANA

photos  
VIPAJI VYA VIJANA kijana akionesha kipaji chake na uwezo alionao wa kutembea juu ya kamba na kufanya kitu chochote ikiwemo kuvaa suruali na shati. hii iilinaswa mwishoni mwa wiki iliyopita Mtaa wa Aggrey jijini Dar.
    (30 October 2007)
Views: 164 | Maoni (0) |

 

VIPAJI VYA VIJANA

photos  
VIPAJI VYA VIJANAKijana akiwa anatembea kwa madoido kwenye kamba angani
    (30 October 2007)
Views: 190 | Maoni (1) |

 

VIPAJI VYA VIJANA

photos  
VIPAJI VYA VIJANAkijana akiwa amevaa suruari akiwa kwenye kamba angani

    (30 October 2007)
Views: 190 | Maoni (0) |

 

VIPAJI VYA VIJANA

photos  
kijana akiwa anavaa suruari akiwa kwenye kamba angani

VIPAJI VYA VIJANA
    (30 October 2007)
Views: 184 | Maoni (0) |

 

VIPAJI VYA VIJANA

photos  
Kijana akijiandaa kuvaa suruali akiwa yuko juu ya kamba akiwa angani.VIPAJI VYA VIJANA
    (30 October 2007)
Views: 169 | Maoni (0) |

 

VIPAJI VYA VIJANA

photos  
Kijana akionyesha ni jinsi gani anavyoweza kutembea na kamba angani kama sanaa.VIPAJI VYA VIJANA
    (30 October 2007)
Views: 739 | Maoni (0) |

 

VIPAJI VYA VIJANA

photos  
VIPAJI VYA VIJANAKijana akionyesha kipaji chake akiwa juu akitembea kwenye kamba.
    (30 October 2007)
Views: 189 | Maoni (0) |

 

The Ugandan Night Concert

The Bongo Sun  
The Ugandan Night Concert
MY GOD!
Sodom and Gomorrah in Dar!!

• Girl shows her booty on stage

• Salama caught doing her ‘taboos’

By Christopher Lissa & Richard Bukos

It was a night when hell broke loose and Satan ruled supreme at last weekend’s Ugandan Night Concert.

It was Sodom and Gomorrah to boot and revelers either could not tell whether they were in Dar es Salaam or another city in another planet of devils.

But, yes, it was the special concert which gathered together a large number of artists and their friends from all over East Africa. .....
    (30 October 2007)
Views: 3832 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Juma Nature not responsible for my success- Chege

The Bongo Sun  
By Violet Mushi[b]

Bongo Fleva tough guy from TMK Wanaume Said Juma aka Chege has dismissed claims of Juma Nature dragging him out in the world music as baseless. “I owe nothing of my success to Nature.

In fact even the song I did with Nature did not fair well in the music charts and neither did the hit introduce me anywhere,” said Chege....
    (30 October 2007)
Views: 447 | Maoni (2) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 ... 10 11 12  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

hit counter

 

2008 © globalpublisherstz.com