arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » champion » Arsenal, Man, Barca dimbani Ulaya

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Mpenzi mwenye tabia hizi m ...
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Mduara wa Mahaba (19)
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Aisha Madinda: NGONO INANIU ...
» JACKLINE AMUANIKA ALIYEMTOA ...
» KANUMBA: NARGIS ALINITESA ...
» ‘Surprise’ katika mapen ...
» MGAMBO WAENDELEZA UBABE ...
» Pawasa amrithi Yondan ...
» Are You Continuing Your ...
» MAHAKAMA YAHAMIA MSITUN ...
» Niliishi kuzimu miaka i ...
» SASA TUNANYOLEA CHINI

Arsenal, Man, Barca dimbani Ulaya

champion

Wakati ambapo Arsenal itasafiri hadi Hispania kumenyana na Sevilla ndugu zao Manchester United itakuwa nyumbani ikiikaribisha Sporting Lisbon ya Ureno.

Mechi hiyo ya Man United dhidi ya Sporting inatarajiwa kupigwa saa 4:45 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Arsenal inayonolewa na Mfaransa, Arsene Wenger na Man United, Sir Alex Ferguson hazijawahi kupoteza mchezo hata mmoja tangu zimeanza mchakato wa kuwania tiketi ya kucheza hatua ya mtoano katika ligi hiyo.

Mechi nyingine ambayo itachezwa hiyo kesho itakuwa kati ya Lyon ya Ufaransa ambayo itakuwa wenyeji wa Barcelona ya Hispania.

Wajerumani, Stuttgart watakuwa na kibarua kigumu wakati watakapoikaribisha Rangers ya Uskochi huku mchezo mwingine ukizikutanisha Dynamo Kiev ambayo itakuwa nyumbani ikipepetana na AS Roma ya Italia.

CSKA Moscow ya Urusi kesho hiyo hiyo itakuwa nyumbani ikitoana jasho na PSV Eindhoven ya Uholanzi wakati ambapo Inter Milan ya Italia ikitoana jasho katika dimba lao na Fenerbahce.

Mchezo mwingine wa Ligi ya mabingwa utakaopigwa hiyo kesho utakuwa katika Steaua ya Romania ikimenyana katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Slavia. Mechi nyingine zitakazopigwa wiki hii katika mfululizo wa ligi hiyo ni:-

Kesho kutwa Jumatano:
Besiktas vs Marseille
Liverpool vs Porto (4:45) usiku
Rosenborg vs Chelsea
Valencia vs Schalke 04
Werder Bremen vs Real Madrid
Lazio vs Olympiacos
Benfica vs AC Milan
Celtic vs Shakhtar Doneski


 (Votes #: 0)
    (26 November 2007)
Soma Zaidi: 206 | Maoni Yako (0)

Udaku Mwingine

champion
 
  • Mashabiki wa Manchester wapigwa
  • Manchester, Arsenal zavutana England
  • MANCHESTER UNITED YAIGALAGAZA ARSENAL, YATINGA ROBO FAINALI FA
  • HATUA YA MTOANO TIMU 16 KLABU BINGWA ULAYA
  • Fenerbahce yaiweka Arsenal
  •    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi


    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com