mtandaoni....Wamo Tayannah, Wema, Nora, Johari, TID na Ray C
Na Mwandishi Wetu
Ikiwa zimebaki siku 2 kumaliza mwaka 2007, mastaa mbalimbali nchini wamedaiwa kupiga picha chafu na kuzisambaza sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye vyombo vya habari makusudi ama kwa kutojua.
Habari za uhakika kutoka vyanzo vyetu vya habari, zinaonesha kuwa, mtu wa kwanza kukumbwa na kashfa ya picha chafu alikuwa ni Mwanamuziki mkongwe wa R&B nchini Khalid Khalifan na Miss Tanzania 2006-07 Wema Isack Sepetu ambao walidaiwa kupiga picha zilizowaonesha wakiwa katika mahaba mazito Zanzibar.
Hata hivyo, wawili hao walikana kuhusika kwa namna yoyote na picha hizo ambazo zilikuwa zikiuzwa kwa shilingi milioni moja kwa madai kuwa zilikuwa ni picha za kutengeneza.
Siku chache tu tangu kuandikwa kwa habari hizo, Wema alikumbwa na kashfa nyingine ya kupiga picha chafu na kuzianika
Prosper amefanikiwa kutoroka gerezani Butimba, Mwanza ambako wote wanaamini alikufa maji na kuliwa na chunusi! Lengo lake ni kutoroka kabisa nchini ili asahaulike na baadae kurejea na kulipa kisasi kwa kumuua mtu aliyesambaratisha familia yao, Waziri Sebastian Masani ambaye kwa hila zake aliwatengenezea kesi ya kubaka Prosper, baba yake na ndugu zake Saimon na John na kujikuta gerezani wakitumikia kifungo cha maisha. Baadae wote walikufa isipokuwa Prosper peke yake, akiwa ameachiwa kazi ya kulipa kisasi kwa Sebastian Masaniwa.
Akatoroka kwa msaada wa mzee Shelembi na kufanikiwa kumchoma Sebastian Masaniwa visu akiwa mkutanoni lakini hakufa, akakamatwa na kurejeshwa gerezani ambako aliongezewa kifungo juu ya kifungo cha maisha! Sasa ametoroka tena na amekwishafika kwenye kisiwa cha Kome Mchangani na amepanda meli ya Mv Juliana tayari kwa safari ya kwenda Muganza ambako anategemea kusonga mbele, amejificha kwenye kona ya meli hiyo akiamini hakuna atakayemwona.
Mshindi wa Shindano la Big Brother II, Richard Bezuenhout hivi sasa anadaiwa yuko katika wakati mgumu kwa kuzongwa na ‘mademu’ kiasi cha kumnyima raha huku wengine wakitaka urafiki naye....
Bendi ya Akudo Impact ya jijini Dar es Salaam inatarajia kukonga nyoyo za wpenzi wake Januari 10, 2008 kwa mara nyingine tena katika Ukumbi wa Luxury Pub, Temeke....
Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo na sasa tumebakiza siku chache kuingia katika mwaka mpya tukiwa wazima wa afya njema. Hakika ni wengi ambao walitamani sana kuuona siku hii, lakini kutokana na mapenzi ya Mungu hatupo nao tena dunbiani.....
Mrembo wa Muungano wa Visiwa vya Bahari ya India, Ufaransa 2007/8, Valerie Begue huenda akanyang’anywa taji lake kutokana na kukumbwa na kashfa ya ngono, Risasi limebaini.....
Mrembo akumbwa na kashifa ya ngono Ni siku 40 tangu anyakuwe taji
---
Na Mwandishi Wetu
Mrembo wa Muungano wa Visiwa vya Bahari ya India, Ufaransa 2007/8, Valerie Begue huenda akanyang’anywa taji lake kutokana na kukumbwa na kashfa ya ngono, Risasi limebaini.....
Wanakwaya kibao wa waliokua wakishiriki shindano ya kwaya za injili katikati ya wiki iliyopita walijikuta wakizimia katika Uwanja wa Taifa wa zamani, jijini Dar es Salaam na kuwafanya wananchi wengine waliohudhuria kupigwa na butwaa.....
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa kundi la Tip-Top Connection la jijini Dar es Salaam (jina kapuni), hivi karibuni alipata aibu ya mwaka baada ya kufumaniwa na mke wa mtu katika nyumba moja ya kulala wageni akijiandaa kujivinjari naye......
Wapenzi wasomaji, wiki iliyopita mliona ugomvi uliozuka kati ya Matata Ndizi na Kayumba baada ya Matata kumtania kwamba hakuwa riziki. Baadaye mliona jinsi Stellah alivyomweleza hisia zake Kayumba kwamba anampenda ambapo kijana huyo naye alimweleza anampenda. Baada ya Kayumba kutongozwa na Stellah anaamua kufanya kweli ili kusafisha jina katika jamii.
Je, ataweza kupeperusha bendera wakati hata mama yake anamhisi ana tatizo? Endelea kupata uhondo...
Wapenzi wasomaji, wiki iliyopita mliona ugomvi uliozuka kati ya Matata Ndizi na Kayumba baada ya Matata kumtania kwamba hakuwa riziki. Baadaye mliona jinsi Stellah alivyomweleza hisia zake Kayumba kwamba anampenda ambapo kijana huyo naye alimweleza anampenda. Baada ya Kayumba kutongozwa na Stellah anaamua kufanya kweli ili kusafisha jina katika jamii.
Je, ataweza kupeperusha bendera wakati hata mama yake anamhisi ana tatizo? Endelea kupata uhondo...
Ndugu wasomaji, wiki iliyopita mliona jinsi kijana Nassor alivyofunga ndoa na jini Maimuna. Baada ya ndoa hiyo mzee Sharif baba yake Maimuna alimkalisha chini na kumuonya Nassor kutomnyanyasa binti yake vinginevyo angempa adhabu kali.
Pia mzee huyo alimtaka Maimuna kumheshimu Nassor. Je, Nassor atafuata masharti hayo? Na ilikuwaje jini huyo aliamua kujibadilisha mwanaume na kuanza kumuingilia kinyume na maumbile? Endelea...
Ni Ijumaa nyingine tena wapenzi wasomaji wa safu hii maalum. Ni matumaini yangu kuwa nyote mu bukheri wa afya, na mnaendelea na mihangaiko yenu ili kila mkono wa mmoja wenu uweze kwenda kinywani mwake kwa njia za halali.
Hii ni Ijumaa ambayo bado wengi wenu mnaendelea kula mabaki ya ya sikukuu ya X-mass, huku mkiwa mnajiandaa kuukaribisha mwaka mpya wa 2008. Ni Ijumaa ambayo kila mmoja wenu anajaribu kutafakari kwa kina alipotoka na anapokwenda, na bila shaka ni wakati ambapo kila mmoja wenu anajaribu kutazama dosari zilizosababisha asifike kule alikotaka kufika kwa mwaka 2007, na kwa hiyo anajipanga vyema ili kuhakikisha kuwa mwaka 2008, malengo yake yanatimia.
Lakini ni muhimu kutambua kuwa malengo bila kumtanguliza Mungu mbele kamwe hayafanikiwi. Mungu ndiye Muweza wa yote. Kwa hiyo kila ufanyalo lazima uhakikishe kuwa umemuweka mbele.
Ni ujuha kusherehekea sikukuu ya X-mass na Mwaka mpya kwa kumuasi Mungu, huku ukitambua wazi kuwa ni yeye aliyekupa upendeleo wa makusudi wa wewe kuwa hai hadi leo hii.
Ni Ijumaa ambayo kwa mara nyingine tunakutana tena katika uwanja wetu huu unaopendwa na watu wengi wazee kwa vijana.....
Tecla Jones anawachukua Tina na John Gurvey akijifanya kuwaokoa na kuwapeleka hadi porini ambako aliwapiga risasi na kuwatupa shimoni ili wafe. Yote hayo aliyafanya ikiwa ni kisasi kwa sababu walimuua mume wake! Bahati nzuri wanaokolewa na mtu aitwaye Dk. Goliath ambaye aliwapeleka nyumbani kwake na kuwatafutia daktari aliyewatibu majeraha ya risasi mpaka wakapona na baadaye kuendelea kujificha ndani ya nyumba yake ingawa baadaye Daktari aliyemsaidia alivujisha siri kwa FBI Tina na John Gurvey wakakamatwa!
Hakuna mtu anayefahamu kuwa Tecla alifanya ukatili huo, amefanikiwa kucheza mchezo unamwonyesha kama mtu anayeumizwa sana na yanayotokea, lakini Dk.Goliath anafahamu kila kitu na alipoitwa kwenye kikao kujadili juu ya nini cha kufanya kuwaepusha Tina na John na kifungo cha maisha, alilazimika kumwita Tecla Jones pembeni na kumwambia ukweli juu ya anachokifahamu! Alichokifanya Tecla ni kuomba msamaha na baadaye kuaga kwenda kwenye gari lake, akarejea na kumpa mkono Dk. Goliath.
Haukupita muda mrefu, akaanza kushindwa kuongea, ulimi na mdomo wake ukawa mzito! Je, nini kitaendelea? SONGA NAYO...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka TMK Wanaume Halisi, Kalama Bakari ‘Luteni Kalama’, hivi karibuni amemshushia kipigo kikali rafiki yake ambaye ni msanii wa michezo ya kuigiza, Lugendo Abdallah ‘Sangiwa’, wa kundi la Shirikisho Msanii Africa kwa kinachodaiwa kuwa mwigizaji huyo amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake.
Tukio hilo lilitokea katika eneo la bar ya Nakaleshi iliyoko Sinza Madukani jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na watu waliokuwa wakijipumzisha kwa kupata kinywaji. .....