arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Amani » Richard matatani

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» USHABIKI WA SIMBA HAUNA ...
» NA MIMI JE?
» GLOBAL PUBLISHERS YAMWA ...
» MWANDISHI HOI KWA KICHA ...
» Niligeuka mwanamke nika ...
» Kutafuta cheo kazini ku ...
» BURUDANI

Richard matatani

Amani

"Tulimualika Richard kupitia M-Net, tuliona yeye ni mmoja wa vijana jasiri kufuatia kitendo chake cha kukaa ndani ya jumba la Big Brother kwa siku 98 bila kufanya ngono licha ya vishawishi vingi, cha ajabu hatujapata jibu lolote na wala Richard mwenyewe hakuonekana,"alisema mmoja wa waratibu hao.

Kitendo cha Richard kukacha tamasha hilo kwasababu tu M-Net hawakumruhusu kimewaudhi wengi, huku baadhi wakisema kuwa, kwa kitendo hicho ushindi wake hauna faida yoyote kwa Taifa.

"Hivi ushindi wake utakuwa na faida gani kwa jamii kama kuwepo kwake tu kwenye shughuli kama hiyo ya kijamii kunakuwa na ugumu kiasi hicho.

"Asijione lulu kwa umaarufu alioupata, ni vyema kutovimba kichwa na kuanza kujihusisha katika shughuli za kijamii,"alisema Fred Leonard wa Magomeni jijini Dar es Salaam.

Naye Judica Limo wa Kurasini aliliambia Amani kuwa, licha ya kwamba watu wamekuwa wakimsema Richard kwa vitendo vichafu alivyokuwa akifanya ndani ya jumba la Big Brorher,bado kuhudhuria kwake katika tamasha hilo kulikuwa na umuhimu.

Mpaka tunakwenda mtamboni hatukufanikiwa kupata taarifa zozote rasmi za kwanini mshindi huyo wa BBA hakuweza kuhudhuria tamasha hilo na mpaka sasa kijana huyo ameendelea kukaa mafichoni akila raha na mkewe.


 (Votes #: 1)
    (6 December 2007)
Soma Zaidi: 15081 | Maoni Yako (10)

Udaku Mwingine

Amani
 
  • RICH MADEMU, MWENDO MDUNDO
  • Richard kwisha kazi!
  • Tatiana Richard mambo bado!
  • Richard kumpiku Mwisho Mwampamba?
  • BBA yapamba moto
  •    

    #1 Author: masawengomanzito (6 December 2007 11:15)

    mwacheni ale dola zake taaratiibu na mkewe alizipata kwa tabu nasema mwacheni hana nyodo kijana wa watu
     
    fast    

    #2 Author: CHRIS CURTIS (16 December 2007 15:45)

    Waliomzuia waliona na kufikiri sana.Mzinifu atahudhuriaje issue km hiyo? Angewaambia nn waliofika ilhali ni muasherati?
     
    fast    

    #3 Author: HAPPY MKINGAH (17 March 2008 12:04)

    Ni kweli kama watanzania tuliamua kujitolea na kumchagua ni vyema naye pia akawa msikivu kwa yale tutakayomuomba. Na hii si kwa yeye tu ila kwa wasanii wengi wengi kwa kuwa wamejiona kuwa ni maarufu basi hupenda kujipangia vile watakavyo na si vile wapangiwavyo.
    TUNAOMBA WAJIREKEBISHE TAFADHALI KWANI KUWA MAARUFU HAKUMAANISHI KWAMBA NDIO WAMEFANIKIWA KIMAISHA.
    NI HAYO TU NA TUNAOM BA WAYAZINGATIE!
     
    fast    

    #4 Author: nyagawa (9 May 2008 15:05)

    Nyagawa
     
    fast    

    #5 Author: dorice (6 June 2008 08:11)

    huo ndio unaitwa jeloussy,ndio ni mshindi wa bba so hawezi 2 hudhuria mahali kama huko bila ruhusa ya mabosi wake cos bado ameshikilia taji....mnamuonea, duh!waTZ hamkosagi cha kusema.
     
    fast    

    #6 Author: j2m (31 July 2008 08:01)

    mtajiju
     
    fast    

    #7 Author: MIMI (13 August 2008 20:16)

    He huyu kijana vipi kasha sahau alikopata hiyo fedha anayoringia ? Ama kweli dunia kigeugeu!!
     
    fast    

    #8 Author: chilla (21 October 2008 10:37)

    no coment
     
    fast    

    #9 Author: STARMAN (19 February 2010 08:57)

    chazaidi nini mnamuonea gere au mmekosa cha kuongea msimu huu mmeona bora muingize hili mmefulia hamjui kuwa siku zote tenda wema nenda zako au wote hamjasoma anadai shukurani baadae utaambiwa uliomba rushwa shauri zetu byee mnashindwa kumshauri nini sasa afanye mmebaki kumbwelambwela tuu
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi


    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

     hit counter

    counters

    2008 © globalpublisherstz.com