arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » ijumaa » Ngwair kaishiwa mistari?

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Mpenzi mwenye tabia hizi m ...
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Mduara wa Mahaba (19)
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Aisha Madinda: NGONO INANIU ...
» JACKLINE AMUANIKA ALIYEMTOA ...
» KANUMBA: NARGIS ALINITESA ...
» PESA ZA LOWASSA,ROSTAM ...
» UMENIFURAHISHA SANA MZE ...
» HAYA TWENDE SASA!
» kwa sababu watangazaji ...
» CHADEMA, CCM wapigwa ma ...
» The Assassination-10
» THIS LITTLE CRAZY BOY!!

Ngwair kaishiwa mistari?

ijumaa

Mashabiki kadhaa wameliambia Ijumaa kuwa, kitendo cha msanii huyo kukaa kimya muda mrefu na kuonekana akitesa na kazi za wenzake ni sawa na kugeuka muuza sura.

“Mimi nampenda yule kaka, nyimbo zake huwa zinanikosha lakini siku hizi amekaa kimya, simsikii kabisa, sijui ameishiwa?” Alisema shabiki mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Aisha.

Baadhi ya nyimbo ambazo Ngwair anaonekana kwenye video zake ni pamoja na Hapo Vipi? (Profesa Jay), Kazi za ATM (East Coast) na Si Ulisema (Q Chilla).


 (Votes #: 1)
    (8 February 2008)
Soma Zaidi: 391 | Maoni Yako (1)

Udaku Mwingine

ijumaa
 
  • Lussele: Injili yangu ya nyimbo ina uwezo wa Mungu
  • Chameleon jambazi
  • Ay,Mwana Fa waja na kazi ya pamoja!
  • KAMA EAST COAST LAKINI SIO!!
  • Msanii Bongo...
  •    

    #1 Author: soulkid (8 February 2008 17:45)

    acheni kumpimia ngwair nyie sio kwasababu mtu kaamua kufuatilia mambo yake mengine basi ndio mnaanza kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo
    ngwair ni msanii na ni wa kiukweli na ndio maana hata hao wasanii wengine kina prof na AY na mwana FA wamemuita japo atokee kwenye shooting tu
    ngwair hata akiamua azame studio leo asimamishe track na ipigwe kwenye redio kesho anaweza
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi


    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com