arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for April 2008 Year

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Mpenzi mwenye tabia hizi m ...
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Mduara wa Mahaba (19)
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Aisha Madinda: NGONO INANIU ...
» JACKLINE AMUANIKA ALIYEMTOA ...
» KANUMBA: NARGIS ALINITESA ...
» NILIONA KITU CHA AJABU ...
» From China with true l ...
» MGOMO VYUO VIKUU BADO N ...
» HAPPY AT LAST 78
» Ufuska
» Mtumwa wa ngono (62)
» I am back from hell (16 ...

 

Huyu dogo siyo mzima

udaku  
Huyu dogo siyo mzimaMuhimbili waeleza
Na EMMANUEL LENGWA, JIJINI
RAMADHANI Mussa, yule dogo anayedaiwa kukutwa akiwa na kichwa cha mtoto katika maeneo ya hospitali ya Taifa Muhimbili hivi karibuni, (pichani) inadaiwa ana matatizo ya akili...
    (30 April 2008)
Views: 629 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Kigogo anaswa akila rushwa ya ngono

risasi mchanganyiko  
Kigogo anaswa akila rushwa ya ngonoNa Mwandishi Wetu
Kigogo wa Usalama katika Shule za St. Mary's jijini Dar es Salaam, Justus Joseph Mrefu, mapema wiki hii alinaswa na maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) akifanya jaribio la kula rushwa ya ngono kwa binti (jina tunalihifadhi) kama kichocheo cha kumpatia ajira...
    (30 April 2008)
Views: 3142 | Maoni (24) | Soma Zaidi

 

Polisi wasaka vichwa

risasi mchanganyiko  
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la polisi linachunguza madai ya mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto Salome Yohana, Ramadhani Mussa kuwa anamiliki vichwa vya watu 50....
    (30 April 2008)
Views: 873 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

Mtu mfupi achenguka

risasi mchanganyiko  
Mtu mfupi achengukaNa Richard Bukos
Kijana mwenye umbo dogo anayetambulika kama 'Mtu mfupi', hivi karibuni alichenguka na muziki wa Bendi ya Msondo hali iliyomfanya abebe mguu wa mnenguaji bila kujitambua...
    (30 April 2008)
Views: 451 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Nimerudi kutoka kuzimu- 69

hadithi za Shigongo  
Tofauti na Sharifa, mawakili na wazazi wake walivyotarajia kwamba angetoa ushahidi wa kumwokoa mkewe na kifungo, Prosper amemngandamiza zaidi kwa kuieleza mahakama kwamba siku ya sherehe alikunywa soda aliyopewa na mke wake ambayo ndani yake ilikuwa na sumu, muda mfupi baadaye akaanguka chini na kukimbizwa hospitali ambako madaktari walijitahidi kuokoa maisha yake mpaka wakafanikiwa, hata hivyo akaambulia upofu! Maelezo hayo yanamtia Sharifa hatiani, masikio yake hayaamini kama kweli maneno hayo yametoka mdomoni mwa Prosper ambaye tangu mwanzo walikubaliana angeikana chupa ya soda hivyo kufanya ionekane hakunywa sumu.

Sharifa analia kwa uchungu, si yeye tu bali pia wazazi na inatokea hali ya kutoelewana kati yake na Prosper, wanarushiana maneno mbele ya jaji ambaye anaingilia kati na kuwaomba waheshimu mahakama baada ya hapo akamtaka Prosper aendelee kutoa ushahidi wake.
Je, atapigilia msumari gani mwingine kumaliza hasira yake? SONGA NAYO…
    (30 April 2008)
Views: 425 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Nilivyobakwa na baba yangu mzazi!-9

Mikasa ya kusisimus  
Ana anaendelea kusimulia mkasa wa kweli uliompata ambao kwa hakika unampa mateso makali sana katika maisha yake. Wiki jana tumeona jinsi baba yake alivyokutana naye hotelini na kumlazimisha kufanya naye mapenzi.
Hili ni jaribio la pili baada ya lile la Arusha ambalo aliweza kumponyoka. Katika hekeheka za kujitoa mikononi mwa baba yake, anajikuta akimpiga teke la chini ya kitovu maeneo ya korodani, hali inayomfanya baba yake aanguke chini na kusikilizia maumivu. Akiwa chini, ndipo Ana anapochukua kiti na kumpiga nacho chini ya kisogo. Baba yake akabaki kimya! Je, nini kitaendelea? Ndio kusema amemuua? Mwandishi Wetu JOSEPH SHALUWA aliyezungumza na binti huyo anakuhabarisha kwa kalamu. Fuatilia...
    (30 April 2008)
Views: 744 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Kukuambia anakupenda pekee haitoshi ikiwa...

Mahaba  
Kukuambia anakupenda pekee haitoshi ikiwa...Mungu ni mwaminifu sana katika maisha yetu, hakuna ambaye anaweza kupingana na jambo hilo. Ni nani atakayeweza kusimama na kusema mafanikio aliyonayo yanatokana na nguvu zake mwenyewe?
Nani anaweza kusema kwa ujasiri kuwa mke mwema aliye naye ni kwa ujanja wake? Hakuna! Ni Mungu mwenyewe ndiye muongozaji wa kila kitu. Huo ndiyo ukweli na utabaki kuwa hivyo...
    (30 April 2008)
Views: 377 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

TIGO YAENDELEA KUMWAGA MAMILIONI

photos  
TIGO YAENDELEA KUMWAGA MAMILIONI Meneja Masoko wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya tiGO Kelvin Twissa (kushoto) akimkabidhi Shilingi Milioni Moja mwanafunzi wa Chuo cha Biashara CBE Ambakisye Kasmoto, baada ya kujishindia Bahati Nasibu ya tiGO LOTTO.
    (29 April 2008)
Views: 131 | Maoni (0) |

 

BOZI BOZIANA LAZIMA ATUE BONGO

photos  
BOZI BOZIANA LAZIMA ATUE BONGO Meneja mkuu wa kituo cha Televisheni cha C2C Bahati Singh (katikati) akiongea na waandishi wa habari jana katika Ukumbi wa Hadees, kuhusu ujio wa mwanamuziki mkongwe kutoka Jamhuri ya Kiemokrasia ya Kongo, Bozi Boziana katika uzinduzi wa albam ya kwanza ya Bendi ya Akudo Impact iitwayo Impact, uzinduzi huo utafanyika Mei 18 mwaka huu, kushoto ni mmoja kati ya Wakurugenzi wa bendi hiyo Michael Akudo, kulia ni mmoja kati ya waratibu wa uzinduzi huo King Dodoo.( PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS )
    (29 April 2008)
Views: 223 | Maoni (0) |

 

HIVI NDIVYO MTOTO SALOME ALIVYOCHINJWA!!!

uwazi  
HIVI NDIVYO MTOTO SALOME ALIVYOCHINJWA!!!Na Makongoro Oging
Mauaji ya kikatili ya kuchinjwa kama kuku mtoto pekee kwa wazazi wake, Salome Yohana (3) yameumiza wakazi wengi wa jiji la Dar es Salaam na hata nje ya jiji na vitongoji vyake na wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali wote waliohusika na kitendo hicho.
Akimsimulia mwandishi wetu jinsi Salome alivyotoweka nyumbani na kukutwa amechinjwa, mama mzazi wa mtoto huyo, Upendo Dustan (27) alisema kuwa siku hiyo ya Ijumaa wiki iliyopita majira ya saa 2.00 usiku aliandaa chakula wakala na mwanaye ambaye baadaye alikwenda kucheza nje na mtoto wa jirani yao.

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI)
    (29 April 2008)
Views: 3545 | Maoni (24) | Soma Zaidi

 

Sakata la rada lachukua sura mpya

uwazi  
Sakata la rada lachukua sura mpya Na Elvan Stambuli
Sakata la ununuzi wa rada ya kijeshi iliyoligharimu taifa shilingi bilioni 70 mwaka 2002, limechukua sura mpya baada ya kugundulika kuwa, Mhe. Andrew Chenge anaweza kupelekwa nchini Uingereza ikiwa ataonekana ana hatia na kusababisha vigogo kadhaa kuingizwa katika kashfa hiyo....
    (29 April 2008)
Views: 539 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Mafisadi kabla ya kuhujumu nchi wawatembelee watoto, wanaoishi maisha magumu na wagonjwa!

Pasua Jipu  
Mafisadi kabla ya kuhujumu nchi wawatembelee watoto yatima, wanaoishi maisha magumu na wagonjwa!
Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa kunipa uhai na kuwa nanyi tena wapenzi wasomaji wangu mnaopenda kusoma safu hii kila wiki...
    (29 April 2008)
Views: 148 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Meneja alinibaka na kuniambukiza Ukimwi - 9

Mikasa ya kusisimus  
Msichana mdogo Aisha amepitia maisha ya tabu yaliyojaa mateso bila kujali umri wake, kila siku ni afadhali ya jana, hana raha na katika maisha yake kuhuziniki kwingi kuliko kufurahi, kuonewa ni kila siku hali inayomfanya ajute kwanini amezaliwa, ameathirika kisaikolojia akiamini kuwa amezaliwa ili kuteseka tofauti na binadamu mwingine kila siku ni furaha, upendo na amani, anajiuliza kwanini shida zimepandikizwa kwake na si kwa wengine? Hivi sasa Aisha ni kijakazi (House Girl) wa mama Teddy aliyemchukua Manyara akimwahidi kumsomesha na kumtunza kama mdogo wake. Ahadi hizo zinayeyuka siku chache baada ya mumewe kurejea safarini. Msichana huyu anafanyishwa kazi utadhani hajazaliwa kama binadamu mwingine...Je, nini kitaendelea? Ungana na ZUBAGY AKILIMIA akusimulie... maoni 0712313191..
    (29 April 2008)
Views: 585 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Niliona kitu cha ajabu ziwani, sasa nawaona wachawi wakati wote! - 8

Mikasa ya kusisimus  
Kijana huyo alinisihi sana nikubali kuondoka naye ndipo nilipanda katika gari lake na kumwambia tusiende mbali sana kwani nilitakiwa kuwahi kurudi nyumbani, yule kijana alinieleza tusingeenda mbali....
    (29 April 2008)
Views: 510 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

MWANAUME WA AINA HII USIJISUMBUE KUMWITA MCHUMBA! - 4

Mahaba  
MWANAUME WA AINA HII USIJISUMBUE KUMWITA MCHUMBA! - 4 Ahlan wasahlan wapenzi wasomaji. Kwa idhini ya Allah Mola wa viumbe uwezo uwezao usiowezwa kamwe, tumekutana tena Jumanne ya leo. Katika darasa letu la maisha na ndoa. Na kwa kuwa ndoa huzaliwa na uchumba, nimeona ni vyema nikaongelea darasa la uchumba na mchumba ili kuleta uelewa kwa wasomaji wa safu hii pendwa. Tuwe sote hadi hapo darasa hili litakapohitimishwa..
    (29 April 2008)
Views: 478 | Maoni (1) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 ... 30 31 32  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

hit counter

 

2008 © globalpublisherstz.com