arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » risasi jumamosi » JIMAMA FUSKA LANASWA

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Mpenzi mwenye tabia hizi m ...
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Mduara wa Mahaba (19)
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Aisha Madinda: NGONO INANIU ...
» JACKLINE AMUANIKA ALIYEMTOA ...
» KANUMBA: NARGIS ALINITESA ...
» RAY ATEMBEA NA JOHARI, ...
» HONGERA MZEE MADIBA!
» NDONDI
» Njemba ajifungua bila o ...
» Mzimu wa Richmond wang’ ...
» The Sex Slave -48
» Meneja alinibaka na kun ...

JIMAMA FUSKA LANASWA

risasi jumamosi

JIMAMA FUSKA LANASWAKwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, jimama hilo ambalo limeamua kumsaliti mumewe limebainika kuwa liko katika ndoa changa ya mwezi mmoja na mumewe yuko masomoni Uingereza.

Chanzo chetu cha habari kimenasa pia taarifa zake ambazo zinamtaja kuwa, ni mfanyakazi wa kampuni moja kubwa ya simu za mkononi jijini Dar es Salaam (jina tunalihifadhi).

Mwanamke huyo anadaiwa kufanyakazi katika kitengo cha huduma kwa wateja (customer care) huku makazi yake yakiwa eneo la Ocean Road na kufahamika kwa jina linaloanzia na herufi G.

Picha hiyo iliyotumwa katika mtandao wa kompyuta ‘internet’ na jimama hilo kwa staili ya kuonyesha ‘karibu mteja’ inamuonyesha akiwa amelala kifudifudi chumbani nusu uchi (makalio yake yakiwa matupu), huku akibofya kompyuta ndogo (laptop).

Katika picha ya jimama hilo kulikuwa na maelezo yaliyokuwa pamoja na namba yake yake ya simu ya mkononi.

“Nimeona picha ya ...(anamtaja jina), iko kwenye mtandao, ni yeye kabisa kwani namfahamu, lakini anakosa nini kwa mumewe? Kuna sababu si bure,” kilitonya chanzo chetu cha habari huku kikionekana kustaajabishwa na vituko vya jimama hilo.

Habari zaidi zinasema kuwa, mwanamke huyo alikuwa katika maandalizi ya kumfuata mume wake masomoni Uingereza, ili kwenda kuimarisha ndoa yao changa.

“Inavyoonekana ‘mdada’ mwenyewe kicheche, hajatulia na hawezi kuvumilia hata kwa wiki,” kilisema chanzo chetu.

Hata hivyo, haikuweza kufahamika mara moja sababu hasa ya mwanamke huyo kuamua kutafuta wanaume wa muda (part time) wa kujirusha nao wakati anapata mahitaji yote muhimu kutoka kwa mumewe.

Haijajulikana pia kama mwanamke huyo hajui kuwa kuanika picha yake mtandaoni kunaweza kumfanya mumewe aione akiwa huko huko Ulaya.

“.....au jamaa nae kampiga chini? Sintashangaa sana kwani mtoto hajatulia kabisa kuwa mke, juzi juzi jamaa yangu (anamtaja kwa jina) alikuwa anachukua kwa saana! Pole zake mumewe.............!. Kilimalizia chanzo chetu hicho.

Kwa kutumia namba ya simu iliyowekwa katika picha yake, mwandishi wetu alimpigia na kupokelewa na mwanamke ambaye alipoulizwa kama yeye ni G, alikanusha.

Aidha, alikanusa kufanyakazi katika kampuni ya simu iliyotajwa katika maelezo yaliyoandikwa katika picha hiyo.

Licha ya kukanusha, baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo waliongea na mwandishi wetu baada ya kuinasa picha hiyo mtandaoni, walithibisha kuwa ni yeye.


 (Votes #: 4)
    (19 April 2008)
Soma Zaidi: 1759 | Maoni Yako (7)

Udaku Mwingine

risasi jumamosi
 
  • Koplo afyekwa nyeti na ?waifu?...
  • Kanumba kuoa jimama Marekani
  • Msanii huyu apiga picha chafu laivu
  • APIGWA KATIKA FUMANIZI
  • Miss afumwa na mume wa mtu
  •    

    #1 Author: Kipanga Mweupe (20 April 2008 03:33)

    Haaaya, hata akikanusha picha sio yake atakuwa anajaribu kupigana na ukuta. Kitakiwacho ni amtie adabu kwa udhallilishaji kijinsia huyo aliempiga hiyo picha na kuianika hewani, maana sidhani kama aliridhia yeye kujitoa picha hivyo.

    Shigongo naomba msaidieni huyu Dada, chonde chonde!! huu ni udhalilishaji naomba saaaaana Shigongo kama inawezekana wasilianeni nae muone ni vipi mtamsaidia.

    Na pili, kama muna possibility ya kupata mawasiliano na mumewe, mujaribu kupata maoni kutoka kwake ili kuelewa KULIKONIII!!!

    Nadhani kwa umaarufu wa magazeti yako au kwa kuwasiliana na huyo Dada, mwaweza kupata namba yake ya simu na kuwasiliana nae mkaongea nae kuona jinsi gani muweze kutafuta ufumbuzi wa suala lake Dada.

    Shigongo, nina uhakika kwa kufanya hivyo na pindi ukafanikiwa kumpata aliefanya uchafu huo utapata credibility ya hali ya juu kwa kufukua udhalilishaji ulioanza kuota mizizi katika jamii.

    Nakuomba sana Shigongo na timu yako yote ya makachero kama inawezekana mtakuwa mumefanya kitu ambacho hakuna aliekifanya before hapa Tanzania na nina uhakika mtapongezwa hasa na wanawake hapa nchini. Kwani sidhani kama kuna mwanamke yeyote mwenye akili timamu anafurahi akiona mwanamke anadhalilishwa hivyo.

    Na kwa ushauri, mwaweza kuanzia TAMWA kwa kutaka maoni yao na kuona kama mwaweza kufanya kazi pamoja katika kufuatilia hili kama mwanzo wa mengineyo yatakayofuata kuweza kufanya kazi pamoja na kujenga CREDIBILITY zaidi ya mliyonayo katika jamii!!
     
    fast    

    #2 Author: melikiad (20 April 2008 19:06)

    Lakini wewe uliyetoa maoni hapo juu umejitahidi kumshawishi shigongo aende mpaka kwa Tamwa na mmewe! kwakipi hasa? kwaajili ya nganga pekee? toka zako huko na kama wamekubaliana na mmewe picha hiyo itolewe kwenye mtandao? kwani umaarufu mpaka upitie bongo star naniliii ile mnaitaje kweli? kazi ya shigongo nikutia adabu full stop. lakini kwaupande mwingine nampa Nganga big up kumbe unamakalio mazuri hivi walahi mpaka nikutafute Alooooo!
     
    fast    

    #3 Author: Dadi (21 April 2008 10:47)

    Inawezekana kabisa mtu aliyemchukua picha hii ameamua kumdhalilisha. Haingii akilini mtu akakubali hili. Nadhani is a Lesson to her na wanawake wengine hasahasa wake za watu.
     
    fast    

    #4 Author: twaha(figo)Atown- (21 April 2008 12:03)

    Tutaamini vipi kama huyu dada anafanya hiyo biashara ya kujiuza?inawezekana m2 aliye chukua picha hii ana visa nae na kamvizia labda hata kwa dirishani na kumpiga picha kutumia cm ya mkononi na kisha kuja kuileta gazetini sababu ya chuki binafsi,picha hiyo haitoshi kutushawishi,labda dada wawatu alikuwa kajipumzikia tu ndo mkamvizia na kumpiga picha?
     
    fast    

    #5 Author: tatu (22 April 2008 13:56)

    HALAFU HIZI TABIA ZA BAADHI YA WANAMME KUWAVIZIA WANAWAKE NA KUWAPIGA PICHA NAONA SASA ZINAZIDI SANA HAPO SAA NYINGINE WAMEKUBALIANA AMPIGE KAMA MPENZIWE AU MMEWE.ALIPOMKOROFISHA TU NDIO KAISEND KWA SHIGOGO ILA SIO TABIA NZURI JAMANI BAADHI YA WANAUMME MNAYOIFANYA NA WEWE MDADA SIJUI MMAMA HIVI UTAJIACHIAJE NA MNA HIYO USIMUAMINI MTU SASA HIVI SIMU ZA MIKONONI ZINAFANYA KAZI HIYO. HAPO NDIO NINAPOZICHUKIA SIMU ZA MIKONONI.TENA HIYO PICHA WATAKUWA WAMEIWEKA KWENYE MTANDAO WAO HUO WA PICHA CHAFU ZA NGONO.MAANA JINSI PICHA INAVYOONEKANA SIO YA KUJIUZA HIYO BALI ALIYEKUWA NAE HUYO NDIO KAMTENDA BILA YEYE KUJIJUA.
     
    fast    

    #6 Author: calvin (9 May 2008 08:32)

    Napenda kutoa just ushauri kuwa 'kuheshimu ndoa ni kitu cha muhimu sana' kama ulikuwa humpendi kwanini sasa ukubali kufunga nae pingu za maisha. kama huyu dada anayeamua kutuma picha zake za uchi ili apate mwanaume, pia hata wanaume wa hiyo wapo, narudia tena heshima katika ndoa ni kitu cha muhimu sana jamani bado tupo bongo hutuwezi kuiga tabia za nchi za wenzetu , wao wanafanya hivyo kama biashara.

    heshimu ndoa yako
     
    fast    

    #7 Author: Thomas henry (16 May 2008 08:58)

    nataka kujiunga na udaku

    msifanye mambo yasiyo fuata maadili ya kitanzania kwani inapotosha jamii.
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi


    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com