Kufuatia ushindi huo, Mgeni rasmi wa Mh. Abbas Kandoro, alimpongeza na kumpa mkanda bingwa Japhet Kaseba, baada ya kumdunda Ricky Agaya kutoka Phillipines.
Kabla ya mpambano uliokuwa ukisubiliwa kati ya Kick Boxer Japhet Kaseba wa nchini na Ricky Agaya kutoka Philipiness, warembo wa Philipines waliyoko nchini walionekana kumsapoti boxer wao.
ILIPOISHIA IJUMAA...[color=#FF6666] “Sasa kwa sababu mnakataa mimi kumchagua Leila, basi laleni hapo kitandani niwape mambo wote mridhike kwanza baada ya hapo nitaamua kuwa na nani moja kwa moja, lakini jambo la msingi ni kwamba atayeweza kunipa raha zaidi kuliko mwingine ndiye nitakayekuwa naye! “Sawa kabisa, hapo umeongea!” Mwamtumu akasema kwa furaha, nafikiri ni kwa sababu anajiamini kuwa anaiweza kazi ya kukata mauno na kutoa miguno ya mahaba. Hivyo ndivyo wote walivyokubaliana. Aliyekuwa wa kwanza alikuwa ni mama Leila. Kazi ikaanza. Mama Leila akaanza kuninyonya mbo* yangu taratibu kabisa huku wengine wakishuhudia kwa macho yao. Mama Leila alimudu kuninyonya mb** jamani maana alikuwa na uwezo mkubwa sana. Kwakweli nilianza kutamani kumpa hiyo nafasi yeye!.....
Usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee, kulikuwa na mpambano wa ndondi wa kimataifa wa kugombea mkanda kati ya Kick Boxer, Japhet Kaseba wa Tanzania na Ricky Agaya, kutoka Phillipines ambapo kabla ya mpambano huo mabondia kadhaa walipanda ulingoni kwa ajili ya mapambano ya utangulizi. Katika mapambano ya utangulizi, pambano lililovuta hisia na kuonesha upinzani mkali ni kati ya bondia Rashidi Matumla 'Snake Boy' na Karama Nyilawila ambapo baada ya Snake Boy kutangazwa mshindi, tifu zito kubwa lilizuka na kusababisha meza ya wageni waalikwa kusambaratishwa, pichani kushoto Kaseba akipambana na Mphilipino Agaya.
Msanii wa TMK Wanaume Family Y- Dash jana alifunga ndoa na toto la kiarabu lililojulikana kwa jina la Jamila - haya wenye wivu…….! PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS GPL
Na Mwandishi Wetu Mhasibu Mkuu wa Ranchi ya Kongwa inayomilikiwa na serikali, mkoani Dodoma, Nesta Kaiza amefumwa akiwa na mke wa shemeji yake (majina yanahifadhiwa), ndani ya chumba namba tano cha nyumba ya kulala wageni ya Sandwitch, iliyopo Manzese Tip Top, Dar es Salaam....
Na Mwandishi Wetu Golikipa anayeaminika kuwa bora zaidi nchini kwa sasa, Juma Kaseja Juma, Alhamisi iliyopita alibambwa ‘live’ akiwa na Miss Ilala namba tatu mwaka 2005, Jacqueline Patrick....
Issa Mnally na Amina Salim Miss Tanzania 2008, huenda akawa mlemavu endapo majaji wa mashindano ya kumtafuta mnyange wa Kanda ya Kinondoni, watampitisha mrembo Caroline Emmanuel Mwakasoka kwenda fainali za kitaifa na baadaye kushinda....
Catherine Kassally na Mariam Mndeme Mastaa wanaovuna kwenye ulingo wa filamu nchini, Lucy Komba na Aminatha Suleimana, hivi karibuni walitwangana kavu kavu kwa kile kilichobainika kwamba ni kudhulumiana pesa....
Na Waandishi Wetu Galacha wa Muziki wa Taarab nchini, Mzee Yusuf anadaiwa kujihusisha na biashara chafu ambayo inampa sifa mbaya isiyofaa katika jamii....
Zubeda Ruvanga, mwanamke mwenye umri wa miaka 37 hivi sasa, anaendelea kusimulia matukio ya kutisha na unyama wote aliotendewa tangu enzi za utoto wake. Alianza kukumbwa na mitihani ya kimaisha wakati akiwa darasa la tatu kwenye Shule ya Msingi Mwandiga, Kigoma. Uwezo wake mkubwa wa kunasa masomo ndiyo uliomsababishia matukio yote. Wiki iliyopita, aliishia pale kikundi cha wachawi wakiongozwa na Iminsi Ragugwa walipomteka na kumpeleka kuzimu ampako wanamlazimisha awe mchawi vinginevyo atageuzwa msukule. Endelea kusoma ujue makubwa zaidi yaliyomkuta…
Hakika Mungu ni mkubwa sana, maneno hayo tu, yanatosha kumpa sifa Muumba wa viumbe vyote, vilivyomo mbinguni na ardhini. Sina haja ya kuongea maneno mengi, kwani kila mtu anaelewa sifa sahihi za Mola mpaji wa kila kitu.
Sitaki uwe kimeo, ndiyo maana ya kukuandikia mada hii ili uongeze madikodiko. Nataka uwe imara ili mwisho wa siku ujue jinsi ya kumpa tulizo la kweli mumeo. Siyo kuachwa kila mara, mwanamke wa kweli huwa hatelekezwi wala haachwi...
Tecla, sekretari wa Gilbert, anamtaka bosi wake kwa udi na uvumba! Alikwenda mpaka kwa mganga huko Kigamboni na kupewa dawa ambayo amemtilia kwenye chai. Mganga huyo, pia alifanya tendo la ndoa wakati wa kumuwekea dawa mwilini! Hatimaye amefikia uamuzi wa kwenda na Gilbert kwenye hoteli ya Kilimanjaro ambako Tecla amelewa kupindukia na Gilbert kulazimika kumpeleka nyumbani kwake kwanza ndio aelekee kwake!
Hilo amelifanya na kumfikisha Tecla nyumbani kwake, cha kushangaza mpaka saa nne asubuhi siku iliyofuata Gilbert alikuwa hajaonekana nyumbani kwake, si yeye tu bali pia Tecla ambaye ni sekretari na ofisi iko nyumbani. Gilbert ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, mke wake ni mgonjwa taaban baada ya kupigwa risasi kichwani jijini Nairobi alikokwenda kumkomboa mume na mtoto wake, hivi sasa mkewe hana fahamu, maisha yake yamehamia kitandani lakini Gilbert hayupo tayari kumsaliti. Je, nini kitaendelea? SONGA NAYO…