
Kijana ambaye jina lake wala aneo analoishi hakilikuweza kufahamika mara moja akiwa ameuchapa usingizi mchana kweupe katika eneo la Mahakama ya Wilaya ya Ilala, iliyopo Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kama alivyonaswa na kamera yetu leo mchana. Bila shaka yu hoi kwa njaa na shida za dunia, wengine wala vijisenti tu!
Dear Guest you have enter our site without being Registered. We recommend to register to view more...
"Mgeni wetu unatakiwa Kuregista kupata Udaku Wote..."