
Lile sakata la Hospitali ya Tiba ya Moyo kupigwa stop kuendelea kufanyia shughuli zake katika Jengo hilo walilokuwa wakitumia, lililopo maeneo ya Kinondoni karibu na Leaders Club Jijini Dar es Salaam, limezidi kuleta hofu kubwa ya wagonjwa kuweza kupoteza maisha kwani hapa nchini hakuna hospitali nyingine inayotoa huduma hiyo. Kamera yetu leo mchana ilimnasa mgonjwa mmoja aliyefahamika kwa jina la Alley Kheir, aliyetokea Visiwani Zanzibar, kwenda hospitali hiyo kutibiwa akiondolewa na mkewe Bi.Hawa Suleiman, kwenda kutafuta huduma hiyo mahali pengine.

Bw. Kheir akiingizwa kwenye gari kutoka THI kwenda hospitali nyingine. Hata hivyo Wagonjwa wengine na uongozi umegoma kuhama.
Dear Guest you have enter our site without being Registered. We recommend to register to view more...
"Mgeni wetu unatakiwa Kuregista kupata Udaku Wote..."