
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na madiwani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Julai 25,2008.

HEBU TWENDENI HUKU:Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Maswa, Magale Shibuda na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Suleiman Songe, kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma, Julai 25,2008.

NGOJA TUPATE KUMBUKUMBU :Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, bungeni mjini Dodoma Julai 25, 2008. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu )
Dear Guest you have enter our site without being Registered. We recommend to register to view more...
"Mgeni wetu unatakiwa Kuregista kupata Udaku Wote..."