
Joseph Mbilinyi au Mr. II, ambaye hivi sasa anafanyia shughuli zake nchini Marekani
amerudi home mara moja na leo ametia timu ndani ya ofisi za Global kuwapa 'hi'
'washikaji'. Kutoka kushoto ni Mr Mrisho, Mr. II mwenyewe, Robert Julius na George Alphonce
ambao ni 'graphics designers' na waandishi wa habari za muziki.