arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » risasi mchanganyiko » Ray C: Mabuzi wa nje mwisho Desemba 2008

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Mpenzi mwenye tabia hizi m ...
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Mduara wa Mahaba (19)
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Aisha Madinda: NGONO INANIU ...
» JACKLINE AMUANIKA ALIYEMTOA ...
» KANUMBA: NARGIS ALINITESA ...
» halisi ya mapenzi inapo ...
» Bi. Shakira Mkongwe wa ...
» Mwanaume mwenye sifa hi ...
» From china with true lo ...
» Nilivyobakwa na baba ya ...
» Lazima uwe makini wakat ...
» MAONESHO YA VYUO VYA EL ...

Ray C: Mabuzi wa nje mwisho Desemba 2008

risasi mchanganyiko

Wakiongea na waandishi wetu wawili hao walitanabaisha kuwa ndoto hiyo wanatarajia kuitekeleza ndani ya kipindi kifupi kijacho, mara baada ya kumaliza kazi ya kurekodi albamu zao.

Wakizungumza kwa kupokezana, wapendanao hao walidai wanaamini kuwa muda umefika wa kufunga pingu za maisha na kuishi kama mke na mume.

?Tunamalizia kurekodi nyimbo zetu. Albamu yangu inaitwa ?Coming of the Real King? na ya Ray C inaitwa ?Touch me?. Tukimaliza kurekodi kitakachofuata ni kufunga ndoa tu,? alieleza Lord Eyez.

Kauli hiyo ya kuiva kwa mikakati ya kufunga ndoa ilionekana kumfurahisha zaidi Ray C ambaye alikuwa ubavuni mwa Lord Eyez huku akitabasamu na kuchombeza maongezi hayo.

?Ni kweli tunatarajia kufunga ndoa hivi karibuni. Muda utakapokaribia tutakuita ili uje kuchukua picha nzuri zaidi za ndoa yetu,? alisema Ray C kwa furaha.

Kabla ya mahojiano hayo, mapaparazi wetu waliwabamba wawili hao wakipeana maraha ?chobingo? usiku wa manane ndani ya Viwanja vya Leaders Club, ambapo siku hiyo kulikuwa na tamasha kubwa la Inter College Bash.


 (Votes #: 4)
    (29 October 2008)
Soma Zaidi: 1884 | Maoni Yako (18)

Udaku Mwingine

risasi mchanganyiko
 
  • RAY C: Mimi kwa Lord Eyez ni kama mbwa kwa chafu
  • Shy-Rose na Jaffarai wazungumzia ndoa yao
  • MADENT WA VYUO VIKUU WALIVYODATISHWA
  • MWISHO ATOA TAMKO
  • Buzi la Ray C lanaswa na madawa ya kulevya.
  •    

    #1 Author: vip (18 November 2008 04:28)


    MBWA ANAOLEWA?....., UCHI UTAKUWEPO KWELI HAPO SIO BWAWA.......

     
    fast    

    #2 Author: kitoi (19 November 2008 01:51)

    nani atakuoa wewe mla unga namaanisha wewe ni teja. wewe si ni maharagwe ya mbeya maji mara moja tu
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi


    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com