arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » champion ijumaa » Yanga SC laini kama inanawa

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Mpenzi mwenye tabia hizi m ...
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Mduara wa Mahaba (19)
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Aisha Madinda: NGONO INANIU ...
» JACKLINE AMUANIKA ALIYEMTOA ...
» KANUMBA: NARGIS ALINITESA ...
» ALLAHU AKBAR
» My ghosts (Mizimu yangu ...
» Unavyoweza kunufaika kw ...
» JINSI ILIVYOKUWA MIAKA ...
» Mtaalamu wa gesi kuwasi ...
» Jini lilinipeleka kwa w ...
» Kwa wanawake wenye wape ...

Yanga SC laini kama inanawa

champion ijumaa

Yanga ilianza kampeni za kutetea taji lake kwa kuichapa Prisons mabao 4-0, huku ikiutumia mchezo wa kesho kama mwendelezo wa furaha yao ya kuwabamiza mahasimu wao Simba bao 1-0 na kuwa timu peeke katika mzuguko huo kucheza mechi 10 na kupoteza mchezo mmoja tu dhidi ya Kagera Sugar.

Kocha wa Yanga, Dusan Kondic(Pichani chini) alisema mchezo wa kesho anauchukulia kwa uzito mkubwa pamoja na kwamba atakuwa anacheza na timu ambayo inaburuza mkia.

Kondic ambaye ameiwezesha Yanga kushinda michezo tisa kati ya 10, alisema pamoja na kwamba wataingia katika Uwanja wa Jamhuri wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kuwabamiza watani wao Simba bao 1-0, hawatawadharau maafande hao.

Iwapo Yanga itaibwaga Polisi Moro katika mchezo wa kesho, itafikisha pointi 30 na kumaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni mwa ligi hiyo huku ikifuatiwa kwa karibu na Kagera Sugar, inayoshika nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 22 na Mtibwa yenye pointi 17 ikiwa nafasi ya tatu.

Watoto hao wa Jangwani watajitupa uwanjani huku afya ya mfadhili wao, Yusuf Manji ikiwa tete baada ya kuugua ghafla siku chache baada ya mchezo dhidi ya watani wao wa Jadi Simba.

Mwenyekiti wa Yanga, Iman Madega aliliambia Championi Ijumaa kuwa hali ya Manji ilibadilika ghafla juzi mchana na kukimbizwa katika Hospitali ya Aga Khan ambapo taarifa zinasema kuwa muda wowote jana angepelekwa kutibiwa nje ya nchi.

Aidha uongozi wa Yanga umewaomba wanachama na wapenzi wa timu hiyo kuwa na utulivu wa hali ya juu kipindi hiki ambacho wanaendelea kufuatilia kwa


 (Votes #: 0)
    (31 October 2008)
Soma Zaidi: 123 | Maoni Yako (0)

Udaku Mwingine

champion ijumaa
 
  • Yanga kama kawa
  • Dalali: Wallah bado Yanga
  • TFF yazivuruga Simba, Yanga
  • Simba SC kuiteka Polisi Moro leo?
  • Yanga SC Petroli
  •    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi


    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com