arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » risasi jumamosi » Nakaaya mzinzi?

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Mpenzi mwenye tabia hizi m ...
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Mduara wa Mahaba (19)
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Aisha Madinda: NGONO INANIU ...
» JACKLINE AMUANIKA ALIYEMTOA ...
» KANUMBA: NARGIS ALINITESA ...
» Waziri apora mume wa mt ...
» Mume amkata mkewe
» NAOMBA JEZI YAKO....KAK ...
» Sababu za mpenzi wako k ...
» NILIONA KITU CHA AJABU ...
» Kwanini madomokaya hawa ...
» MY DEAR CLEOPATRA - 50

Nakaaya mzinzi?

risasi jumamosi

Madai dhidi ya mwanamuziki huyo, yametolewa na baadhi ya ndugu na marafiki zake ambao waliomba hifadhi ya majina yao, kufuatia kuishi na Mmarekani huyo kwa kipindi hicho.

Mwanamuziki huyo, anayetamba na wimbo wake mpya wa Sister Sister, aliomshirikisha Judith Wambura ?Lady Jaydee? alirushiwa kijembe hicho hivi karibuni.

?Kitendo cha kuishi na kuishi na bwanake huyo kwa muda wa miaka mitano bila kumuoa ni uzinzi,? alisema mtoa habari wetu huyo kutoka Arusha, alipoongea na Risasi kwa simu, kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini.

Kwa mujibu wa ndugu huyo, Nakaaya na huyo mwanaume wanaishi nje ya mji wa Arusha na bado hawajafanikiwa kupata watoto hadi sasa.

Chanzo hicho kilizidi kusema kuwa, licha ya bwana huyo kufahamika nyumbani kwa Nakaaya, lakini bado hajatangaza ndoa na hivyo kuwatia mashaka wanafamilia.

?Hatumkatazi Nakaaya kuishi na mwanaume wake, lakini tunachochukia ni wawili hao kuishi bila kuoana kwani ni kosa kwa dini zote,? alisema mtu huyo aliyejiita mwanafamilia.

Mwanamuziki huyo mwenye makazi halisi Arusha, hupenda kutembelea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kazi zake za muziki, amepanga chumba Sinza Lion ambapo hufikia akiwa na mchumba wake huyo.

Katika mahojiano maalumu aliyowahi kuyafanya siku za nyuma na mwandishi wetu, Nakaaya alisema kuwa kutamka kuhusu ndoa ni jukumu la mwanaume.

?Unajua kuwa suala la kuolewa, mwanaume ndiye anatakiwa aseme mwenyewe, hivyo kama bado hajaamua kusema sio vizuri kumlazimisha,? alisema Nakaaya.


 (Votes #: 4)
    (8 November 2008)
Soma Zaidi: 2372 | Maoni Yako (17)

Udaku Mwingine

risasi jumamosi
 
  • Nakaaya akiri kupenda wanaume
  • NAKAAYA ADHALILISHWA
  • Nakaaya msagaji?
  • Nancy Sumary, Nakaaya Sumary: JINO KWA JINO
  • Kigogo amfanyia Nakaaya umafia
  •    

    #1 Author: donald walsch (25 November 2008 22:41)

    mwenye akili anajua. haiitaji kipisi cha karatasi kuonyesha unampenda mtu sio mkataba wa biashara huo! na haiwahusu...pigen mzigo na fuatlien issue zenu!
     
    fast    

    #2 Author: sauda takadiri (4 December 2008 09:03)

    jamani maisha ya watu wawili ni uamuzi wao wenyewe waliouamua waishi vipi ya nini kuyaingilia?
     
    fast    

    #3 Author: akyoo (8 December 2008 04:30)

    Lawama za kijinga hizo, kila kitu ni mipango, maisha sio sawa na kusonga ugali
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Author: admin


    Gazeti la Uwazi


    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com