Tembelea... |
 |
Kalenda |
 |

Marafiki wetu |
 |
Habari Zilizopita |
 |



  
| |
 |
|
 |
Habari kutoka mtandaoni ambazo tumezinasa zinadai kuwa jamaa huyo akiwa nchini humo alitembelea katika Uwanja wa timu yake kipenzi ya Bayern Munich, uliopo katika Jijini la Munich nchini humo.
Wakati akiwa uwanjani humo, habari zinasema kuwa Ben alipigwa picha akiwa katika benchi ambalo pia kulikuwa na Wajerumani kadhaa ambao walionekana kutotaka kuwa karibu naye kwakuwa, yeye ni mweusi (tazama picha ukurasa wa mbele).
Kwa mujibu wa maoni ya baadhi ya wadau waliotembelea mtandao huo walionesha kuguswa na hali hiyo ya kubaguliwa kwa kigezo cha rangi nyeusi.
“Katika nchi za Ulaya, Ujerumani ni nchi yenye ubaguzi wa hali ya juu katika bara hilo. Alichofanyiwa Ben ni kitu cha kawaida nchini Ujerumani, ni wabaguzi kinoma,” alisema mmoja wa wadau wa mtandao huo.
|
|
 |
|
|
 |
Kura Yako / Poll |
 |
Habari Katika Picha |
|
 |

|