Tembelea... |
 |
Kalenda |
 |

Marafiki wetu |
 |
Habari Zilizopita |
 |



  
| |
 |
|
|
 |
 |
|
 |
Na Adolph Balingilaki KUCHOKA? Huku Kamati ya Utendaji ya Simba ikiwa imekutana jana usiku ili kupitisha jina la kocha atakayeifundisha timu hiyo, kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho, Haruna Moshi ‘Boban’ amedai panguapangua ya makocha inayoendelea ndani ya klabu inawachosha akili wachezaji... |
|
 |

 |
|
 |
Muddy ni mlemavu wa kutambaa chini anayetafutwa kwa udi na uvumba na polisi kwa kosa la mauaji ya mtungo, yanayohusisha wanawake ambao huwaua na kuwakata sehemu zao za siri kisha kuwagonga muhuri wenye alama ya 10000DY! Kazi hii ametumwa na mganga wa kienyeji mwenyeji wa Zambia anayevihitaji viungo hivyo kwa ajili ya mambo yake ya Kishirikina, eti viungo hivyo hufanya migodi iteme dhahabu!
Mara kadhaa Muddy amenusurika kukamatwa na sasa yupo ndani ya teksi akijaribu kuwatoroka polisi wanaomfukuza kwa nyuma, lengo lake ni kufika stesheni ya Tazara ambako atapanda treni na kusafiri mpaka Zambia, huko atamkabidhi mganga bidhaa zake na kupokea kitita kikubwa cha fedha na kurudi tena mjini kuendelea na mauaji! Ana ndoto za kujipatia utajiri kwa njia haramu.
Dakika kumi na tano baadaye dereva akiendesha gari kwa kasi akiwa maeneo ya Tabata Relini, muda mfupi tu kabla hajafika Buguruni, alishangaa kuona ving’ora vikija kwa kasi nyuma yake, moyo wake ukashtuka, hakuelewa ni kitu gani kilikuwa kikija, alipotazama vizuri aligundua kwamba magari hayo yalikuwa ni ya polisi, moyo wake ukazidi kudunda. Je, nini kitafuata? Muddy atakamatwa? SONGA NAYO… |
|
 |
|
|
 |
Kura Yako / Poll |
 |
Habari Katika Picha |
|
 |

Nani Yupo / Alikuwepo |
 |
|