arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 06.03.2009

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» JIDE HOI
» MSHANGAO!
» Rais Kabila aomba wakafungw ...
» HUKUMU YA BABU SEYA!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» Wanawake wenye pesa ?wa ...
» MISS HIGHER LEARNING YA ...
» UMAFIA!
» TATIANA KAMA MZUNGU!
» MAMIA WAMUAGA MHARIRI H ...
» Futa machozi yako kuach ...
» WASANII WA FILAMU WAUND ...

 

Waziri huyu kinyaa

risasi jumamosi  
Waziri huyu kinyaa
Na Mwandishi Wetu

Waziri kijana wa serikali ya awamu ya nne, inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, katika Wizara nyeti, hivi karibuni amefanya kinyaa baada ya kufumwa akifanya ngono na mke wa rafiki yake ndani ya gari...
    (6 March 2009)
Views: 2219 | Maoni (11) | Soma Zaidi

 

Warembo skendo 'Sauzi' Afrika

risasi jumamosi  
Warembo  skendo 'Sauzi' Afrika
Na Mwandishi Wetu

Skendo la baadhi ya warembo wenye majina makubwa nchini Bongo, wanaokwenda Afrika Kusini (Sauzi) kwa shughuli mbalimbali, hasa zile za urembo (umodo), limebumburuka, baada ya wanyange hao kuhusishwa na vitendo haramu vya matumizi ya dawa za kulevya, ulevi wa kupindukia na umalaya wakiwa nchini humo...
    (6 March 2009)
Views: 1502 | Maoni (9) | Soma Zaidi

 

Msitu wa pande- 2

hadithi za Shigongo  
Umeibuka ugonjwa mpya katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ugonjwa huu unaitwa Chinese Encephalitis, ukienezwa na Mbu aitwaye AnophelenX, ni ugonjwa hatari ambao mpaka hivi sasa hauna tiba wala kinga na umekwishaua idadi ya watu elfu moja na mia mbili nchini Kongo. Taarifa ambazo CNN wametangaza muda mfupi uliopita ni kwamba tayari ugonjwa huo unavuka Ziwa Tanganyika kuingia Tanzania ambako unatarajiwa kuua idadi kubwa ya watu.

Hali hii imesababisha hofu kubwa na watu wengi wenye fedha zao wameanza kupanda ndege kuikimbia Tanzania wakiwaacha watu masikini wafe hii ni habari ya kusikitisha, hofu kubwa imetanda kila sehemu ya Tanzania. Jacob Steven ni mchumi wa Jiji la Dar es Salaam, mume wa Angela na wana mtoto mmoja mzuri aitwaye Natalia ambaye kila mtu aliyemwona anahisi atakuja kuchukua hata taji la Urembo wa dunia, familia yao ni yenye furaha.

Taarifa alizoziona kwenye runinga zimemshtua sana Jacob, naye anafikiria kuondoka nchini kwenda kujificha Uingereza mpaka hali itakapotulia. Ameamua kuandika barua ya kuomba likizo, alipoimaliza tayari ni saa kumi na moja jioni, saa za kazi umekwishakupita hawezi kuiwakilisha barua yake kwa bosi mpaka siku inayofuata.

Muda huo huo anapokea simu kutoka kwa mke wake Angela ambaye anampa taarifa kuwa mtoto wao Natalia ana homa kali! Taarifa hizi zinazidi kumchanganya Jacob ambaye mara moja anaamua kwenda nyumbani, huko wanamchukua mtoto na kumpeleka hospitali ya Dk. Pandya, bingwa wa matatizo ya watoto wadogo. Jambo la kwanza ambalo daktari huyo anafanya ni kumpima Natalia joto kabla hajaendelea na mambo mengine.
Je, nini kitaendelea? SONGA NAYO….
    (6 March 2009)
Views: 991 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

Mateso kwenye uhusiano, nini chanzo -3

Mahaba  
Mateso kwenye uhusiano, nini chanzo -3

Nina furaha ya ajabu kukutana nanyi tena siku ya leo baada ya kuachana wiki iliyopita, naamini kwa uwezo wa Mungu mtakuwa wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku salama. Kwa upande wangu mimi ni mzima wa sia njema na nipo tayari kabisa kukuletea mada hii murua kwa ajili ya kupalilia uhusiano wako...
    (6 March 2009)
Views: 431 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU

photos  
Aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha ITV jijini Dar es Salaam, Rehema Mwakangale jana alizikwa na umati mkubwa wa watu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Enzi za uhai wake

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Wakati akiagwa

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Bibi yake, aitwae Fidea Shaba akiaga mwili wake

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Aliyekuwa mtangazaji mwenzake, Rehema Salimu akipita mbele ya mwili wake wakati wa kuaga.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi akimuaga aliyekuwa mchapakazi wake.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Mkurugenzi wa kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo akipita mbele ya mwili wa marehemu wakati wa kuaga.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Meneja Mkuu wa Global Punlishers, Abdalah Mrisho naye akiaga mwili.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Mbunge wa Mbinga Kapteni John Komba akiwa msibani hapo.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Spika wa Bunge la Jamhuri akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi msibani hapo.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwana Halisi, Saed Kubenea akibadilishana mawazo na Reginald Mengi.


REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Safari ya kuelekea makaburini ilivyoanza

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Jeneza lenye mwili wa marehemu baada ya kuingizwa kaburini.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mazishi.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Mhariri Mtendaji wa The Guardian Limited, Kiondo Mshana akiweka shada la maua kwenye kaburi baada ya mwili kuzikwa.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa Oparesheni maalum, Venance Tossi akiweka shada la maua kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Mkurugenzi wa ITV na Radio One Bi. Joyce Mhavile akisoma risala baada ya mwili kuzikwa.

REHEMA MWAKANGALE AZIKWA NA UMATI WA WATU
Kamanda Tossi akisoma risala kwa niaba ya IGP Said Mwema.
Na huo ndio mwisho wa safari ya Rehema Mwakangale, Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Amin.
PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /GPL
    (6 March 2009)
Views: 1615 | Maoni (8) |
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com