arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 07.03.2009

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» Aina 10 ya vyakula vinavyoo ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» Moyo wa pupa una majuto ...
» Hatujaumbwa ili tuteswe ...
» Baraza kuwapima Odhiamb ...
» DOTNATA APATA KICHAA
» Msitu wa Pande-70
» Pinda ataja mali zake, ...
» MISS TZ AKABIDHIWA GARI ...

 

JISHINDIE PAJERO SI MCHEZO

photos  
JISHINDIE PAJERO SI MCHEZO
Wanenguaji wa bendi ya FM Academia, ‘Wazee wa Ngwasuma’ leo alfajiri walinaswa na kamera yetu wakiwajibika jukwaani katika onesho la bendi hiyo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Msasani Club jijini Dar, onesho hilo lilikwenda sambamba na promosheni ya Jishindie Pajero inayoendeshwa na kampuni ya Global Publishers.

VIUNO VYA WATOTO WA DIAMOND BALAA TUPU
JISHINDIE PAJERO SI MCHEZO
Wanenguaji wa Bendi ya Diamond Musica, ‘Vijana Classic, Moto mara 3’ wakitikisa viuno kama walivyonaswa na kamera yetu Ukumbi wa Mango Garden leo alfajiri.
PICHA :RICHARD BUKOS/ GPL.
    (7 March 2009)
Views: 206 | Maoni (1) |

 

MAANDALIZI YA MKESHA WA MAULID

photos  
 MAANDALIZI YA MKESHA WA MAULID
Wataalam wa masuala ya umeme wakifunga mataa katika mnara uliopo viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam, kwaajili ya maandalizi ya mkesha wa Maulidi unaotarajiwa kufanyika kesho katika viwanja hivyo.
PICHA :RICHARD BUKOS/ GPL.
    (7 March 2009)
Views: 493 | Maoni (3) |

 

KIKWETE AKIFUNGUA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU.

photos  
KIKWETE AKIFUNGUA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Mjini Dodoma March 7, 2009. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba.

KIKWETE AKIFUNGUA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa (wapili kulia), Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba (wapili kushoto) na Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu, Rashidi Kawawa (kulia) wakiimba wimbo wa Chama cha Mapinduzi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Mjini Dodoma, March 7,2009.

KIKWETE AKIFUNGUA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mwenezi wa CCM na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi, Capt.John Chiligati wakiteta katika kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete Mjini Dodoma , March 7, 2009.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    (7 March 2009)
Views: 804 | Maoni (3) |

 

MAMA SALMA KWENYE MAADHIMISHO

photos  
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma, Jana(6.3.2009) alizindua sherehe za maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani, ambayo hapa nchini yalifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Katika sherehe hizo, kundi la vichekesho la Orijino Komedi lilizua balaa bada ya kuibukia uwanjani hapo na kusababisha watu kukanyagana katika kutaka kuwaona.

MAMA SALMA KWENYE MAADHIMISHO
Mama Kikwete, akiwasalimia akimama wajasiriamali.

MAMA SALMA KWENYE MAADHIMISHO
Kikundi cha walemavu, kikiimba shairi katika maadhimisho hayo.

MAMA SALMA KWENYE MAADHIMISHO
Kikundi cha Sanaa cha Maalbino, kikicheza ngoma ya kimakonde uwanjani hapo.

MAMA SALMA KWENYE MAADHIMISHO
Mama JK akisoma hotuba.

MAMA SALMA KWENYE MAADHIMISHO
Umati ukisikiliza hotuba ya Mama JK.

MAMA SALMA KWENYE MAADHIMISHO
Baada ya Mama Salma, kumaliza hotuba, msanii wa Orijino Komedi, Isaya Mwakirasa ‘Wakuvwanga’ akapanda jukwaani kumuiga kwa kurudia akiyozungumza na sauti yake.

MAMA SALMA KWENYE MAADHIMISHO
Kundi zima la Orijino Komedi, lilipanda jukwaani kufanya vitu vyake.

MAMA SALMA KWENYE MAADHIMISHO
Joti wa Orijino Komedi, akiwavuja mbavu waliohidhuria wakati akicheza sebene la FM Academia.
PICHA: RICHARD BUKOS NA CHRISTOPHER LISSA /GPL.
    (7 March 2009)
Views: 365 | Maoni (0) |

 

KAMATI KUU YA CCM DODOMA

photos  
KAMATI KUU YA CCM DODOMA
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma March 6,2009.

KAMATI KUU YA CCM DODOMA
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba wakiteta kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati hiyo, Mjini Dodoma, March 6,2009.

KAMATI KUU YA CCM DODOMA
Mwenyekiti wa CCM, Rais , Jakaya Kikwete akizungumza wakati alipofungua mkutano wa Kamati Kuu ya CCM Mjini Dodoma, March 6, 2009.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM ( VISIWA), Amaan Karume, wakwanza kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa na watatu kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    (7 March 2009)
Views: 299 | Maoni (2) |
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Author: admin


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com