Maharamia 31, raia wa nchi za China, Vietnam, Indonesia, Kenya na Ufilipino waliokamatwa na mamia ya tani za samaki aina ya Jodari waliokuwa wanavua kinyume cha sheria katika Bahari ya Hindi ndani ya himaya ya Tanzania, wanaendelea kusota lupango baada ya mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuahirisha kesi hiyo leo hadi Machi 28. mwaka huu. Kesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa mashitaka kudai kuwa upelezi bado haujakamilika. Aidha, upande wa mashitaka umeiomba mahakama hiyo kutoa ruhusa ya kumchukua nahodha wa meli waliyokamatwa nayo watuhumiwa hao, Hsu Chin Tau (61) ili uweze kumhoji kwa siku mbili mfululizo kwaajili ya kukamilisha upelelezi wao.
Wakati huohuo, mawakili wawili wamejitokeza kwaajili ya kuwatetea maharamia hao.Mawakili hao ni Erias Mawela atakayewatetea watuhumiwa wote na Erasomus Bubelwa atakayewatetea mtuhumiwa wa 7 na wa 9. Kesi hiyo imekuwa kivutio kikubwa mahakamani hapo kutokana na kuwa na wahusika wengi kutoelewana kwa lugha.
Mmoja wa mashabiki wa Bendi ya African Stars Vibration Sound, akilirudi sebene pamoja na mnenguaji wa bendi hiyo hivi karibuni katika Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam, kwenye bonanza la bendi hiyo.
HII NDIYO NZOMBO NA MATEMBELEE! Mnenguaji wa Bendi ya FM Academia ‘wazee wa Ng’wasuma’ akicheza kwa kuonyesha staili ya Nzombo na matembele, ndani ya Ukumbi wa Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
ZISI IZI SILOO MOSHENI BWANA!! Mcheza shoo wa Akudo Impact “Wazee wa Masauti’, Said Mrisho ‘Chipsi kuku’, akicheza staili ya siloo mosheni katika Ukumbi wa Msasani Beach Club, jijini Dar, kwenye Bonanza la Bendi hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita. PICHA : MUSA MATEJA /GPL.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wawekezaji wa ndani wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye hoteli ya Kunduchi jijini Da es salaam, March 16, 2009. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Dar es Salaam, June 16, 2008: Tigo Telecommunication Company launches another VAS service during the month of March;
Speaking to the press today Tigo Public relations Executive Jackson Mmbando said “the services will be inviting users to subscribe to our GIFT & COLLECT SMS SERVICE starting today 16th MARCH 2009 Through GIFT MESSAGES Tigo subscriber can sends an SMS to another subscriber at an extra cost, and the subscriber who receives the SMS can reply for free.
All you have to do is go to your Message Inbox, write your message, Send your message to 15004, followed by the subscriber’s number to whom you are sending the message to. E.g: Send To: 15004713111111Text: Do I pick you up at your house tonight? all this will cost 70Tsh for this two sms.
COLLECT MESSAGES Tigo subscriber can sends message to another tigo subscriber at a free cost. If the receiver wants to read the message, he replies to the sms retrieval and pays for the sms.
Mechanics for this go to your message inbox, write your message Send it to 15002 followed by the subscriber’s number to whom you are sending the message to.E.g. Send To: 15002713222222 Text: Hi, how are you? This will cost Cost 49Tsh. and its limit will be 4 messages per day.
Teams and conditions this service is open to Tigo subscribers only, Participants will have this service everyday, Each SMS will be charged accordingly to the service, and MIC employees aren’t encouraged to use the Gift Service.
regards
Jackson Mmbando Public Relations Executive MIC (T) LTD P.o.box 2929 DSM Mobile:+255 713 123 727 E-mail:jackson.mmbando@tigo.co.tz
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Chama cha Waalimu Tanzania (CWT), ofisini kwake jijini Dar es salaam, March 17,2009. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwili wa mwanamke mmoja mkazi wa Kitongoji cha Bayakati Kijiji cha Ndogowe Kata ya Nghamdaku Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Bi. Vero Mapunda umekutwa nyumbani kwake usiku wa kuamkia Februari 2, 2009 huku ukiwa na majeraha kufuatia kipigo alichokipata toka kwa mumewe ambaye ametajwa kwa jina moja la Machinga...
MAUAJI ya Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Ubungo, Atupele Mwakaboko (25) yaliyosababishwa na Mrembo aitwaye Salome Mpangala katika gesti ya Kasulu iliyopo Buguruni Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, yamezua utata mkubwa baada upande wa ndugu wa marehemu kuwakaba koo familia ya mrembo huyo kwamba wanajua chanzo chake...
SAKATA la ardhi linalomkabili mchungaji wa Kanisa la Mikocheni Assemblies of God, mama Getrude Rwakatare limeingia katika sura mpya baada ya Wakili anayewatetea walalamikaji, Issa Maige kupitia kampuni yake ya MMJ Diamond Advocates kupeleka shauri hilo Mahakama Kuu kitengo cha ardhi kuomba kubatilishwa kwa mauzo yaliyofanywa na Mahama ya mwanzo...
Ndugu zangu, Wiki iliyopita nilianza kuandika makala hii nikiongea juu ya gonjwa la upungufu wa Uzalendo kama ningetaka kulitohoa basi ningesema Uzalendoemia, lengo langu likiwa ni kujaribu kutafuta tatizo la kwanini nchi yetu ipo mahali ilipo leo, nani katufikisha hapa? Tufanye nini ili tuondoke eneo hili...
Shakila hana mapenzi ya dhati kwa mumewe, akilini mwake ana siri nzito ambayo si rahisi mumewe kuigundua kutokana na jinsi anavyotumia ulimi wake kumliwaza akimwambia anampenda kuliko uhai wake, wakati huo huo anawasiliana na hawara yake na kumuomba amsaidie jinsi gani ya kumuondoa duniani mumewe ili waweze kuoana. Pamoja na akili ya kitoto ya kumshikirikisha hawara katika mauaji hayo, Saidi anamuahidi atampa dawa nzuri ya kumuua mumewe waweze kula raha za dunia kiulaini. Je, nini kitatokea? Fuatilia mkasa huu wa kweli uweze kujifunza jambo...
Priscilla ni msichana mrembo aliyepitia maisha magumu ya hatari, siku zote kila linalomtokea mbele ya macho na mwili wake anaamini kusudio la kuumbwa kwake ni kuteseka, kama alifurahi wiki moja ya pili lazima angelia sana. Ilifikia hatua alitamani kufa kuliko mateso yaliyomzunguka.
Baada ya kutoroshwa na Jimmy katika danguro la Lightness anasafirishwa hadi Humberg nchini Ujerumani, hajui nia ya mzungu huyo kumsafirisha nchini kwake licha ya kuhisi huenda angepata msaada kutokana na kumsimulia maisha yake magumu yaliyojaa mateso.
Ilikuwa safari ya furaha moyoni akisumbuliwa na hofu juu ya maisha yake kwani watu wote waliojaribu kumsaidia walihitaji malipo ya ngono, akili yake ikazidi kumwambia huenda Jimmy anataka kumfanya mke kama si kumuuza kwa wanaume nchini humo ili aweze kupata pesa kupitia mwili wake.
Wanapofika Humberg, Priscilla anafundishwa mambo mengi, namna ya kutumia baadhi ya vifaa ndani ya jumba hilo kubwa la kifahari, jambo la ajabu ni jinsi Jimmy anavyoishi peke yake.
Majira ya saa tisa usiku mlango wa chumba alicholala unafunguliwa akaingia Jimmy, dakika chache mwanaume mwingine asiyemfahamu anaingia akijitambulisha jina la Miloslov Laurence. Woga ulimuingia Priscilla na kuanza kuamini lengo la kuletwa kwake ndani ya jengo hilo ni kufanyishwa ngono na wanaume wa kizungu.
Tofauti na mawazo yake, Miloslov anaanza kumfundisha Priscilla lugha ya kiingereza na kijerumani muda wa miezi sita, kutokana na akili alizonazo aliweza kuongeza kiingereza na kijerumani haraka, masomo hayakuishia hapo akafundishwa mambo ya damu, jinsi ya kupunguza damu kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine ikiwa ni pamoja na makundi ya damu (Blood Group System).
Miaka miwili baadaye Priscilla alikuwa mtaalamu wa kupima damu, kila kitu kinachohusiana na damu ya binadamu alikijua, damu ipi nzuri na ipi haifai kumuongezea mtu, masomo yalipoisha alimuuliza Jimmy kwanini wanamfundisha mambo ya damu. Sura ya Jimmy ilianza kubadilika na kumjibu kuwa kazi yao kubwa ni kunyonya damu, mwili wa Priscilla ulianza kuishiwa nguvu na machozi yakimchuruzika mshale wa hatari ukigonga akilini mwake. Je, Priscilla atafanya nini? SONGA NAYO...