arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 26.03.2009

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» ZITO LAIBUKA
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» PADRI MLA NYAMA ZA WAT ...
» Kutafuta cheo kazini ku ...
» Waliosomeshwa na Zain v ...
» Gazeti la Championi lap ...
» RAIS ZUMA AOMBA RADHI
» Maximo ajivunia Akina-T ...
» Ditopile afariki dunia ...

 

OMBAOMBA WA MJINI WIZI MTUPU

photos  
OMBAOMBA WA MJINI WIZI MTUPU
Licha Serikali kupiga marufuku shughuli za ombaomba, lakini ombaomba hao wanaendelea kutesa na shughuli hiyo kama leo alinaswa na kamera yetu.

MAJENGO CHAKAVU YAZIDI KUBOMOLEWA DAR
OMBAOMBA WA MJINI WIZI MTUPU
6.Moja ya majengo ya muda mrefu lililopo Barabara ya Samora jijini, likiwa kwenye mpango wa kubomolewa katika hali ya kuboresha majengo ya jiji la Dar es Salaam.
PICHA:RICHARD BUKOS NA CHRISTOPHER LISSA /GPL.
    (26 March 2009)
Views: 293 | Maoni (0) |

 

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO

photos  
MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO
Mkurugenzi wa Holiday Resort, Bw. Mahd akiwa katika majonzi mazito..

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO
..Holiday Resort imebaki gofu

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO
...jitihada za zima moto hazikuwa zaa matunda

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO
..hili gari ni miongoni mwa yaliyoteketea

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO
...masikini!

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO
..kila mtu alitaka kujua kilichotokea...

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO
..moto ulikuwa hausogeleki

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO
..barabara kuelekea hotelini ilitanda moshi mzito....

MAAFA YALIVYOZIKUMBA HOTELI ZA BAGAMOYO

PICHA: ALBERT KAWOGO/GPL.
    (26 March 2009)
Views: 303 | Maoni (3) |

 

PINDA ASHUHUDIA MAPINDUZI YA 'TEKNOLOJIA'

photos  
PINDA ASHUHUDIA MAPINDUZI YA 'TEKNOLOJIA'

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama trekta dogo (Power Tiller) lililotengenezwa na Shirika la Nyumbu (TATC) wakati alipotembelea shirika hilo mkoani Pwani, March 25, 2009. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Dr.Christina Ishengoma.

PINDA ASHUHUDIA MAPINDUZI YA 'TEKNOLOJIA'
Waziri Mkuu, Mikzengo Pinda akitazama uyayushaji wa vyuma katika karakana ya Shirika la Nyumbu (TATC) mkoani Pwani, wakati alipotembelea shirika hilo March 25, 2009.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
    (26 March 2009)
Views: 290 | Maoni (0) |

 

KABULA AWASHANGAZA WATU KWENYE MUZIKI WA INJILI

Amani  
KABULA AWASHANGAZA WATU KWENYE MUZIKI WA INJILI
Na Abraham Makinda
Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini anayechipukia kwa kasi kubwa katika fani hiyo Kabula J.George, amewaduwaza waumini wa Huduma ya Neno la Upatanisho iliyopo Kivule nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, baada ya kuimba nyimbo tatu mfululizo na kupelekea nguvu ya Mungu kushuka mahali hapo na kujikuta watu wote wakizama katika maombi na kusimamisha taratibu zote za ibada kama ilivyozoeleka.....
    (26 March 2009)
Views: 1200 | Maoni (10) | Soma Zaidi

 

UWAZI FC KUTOLEWA KIUME

photos  
Timu ya mpira wa miguu ya Uwazi Giants, jana ilitolewa kiume na New Habari House, katika mashindano NSSF, baada ya kucheza nusu fainali na kufungwa kwa mikwaju ya penalti 4-5.

UWAZI FC KUTOLEWA KIUME
Hii ndiyo Uwazi Giants

UWAZI FC KUTOLEWA KIUME
Uwazi Giants wakisalimiana na Timu ya New Habari House dakika chache kabla ya mechi kuanza katika Viwanja vya TTC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.

UWAZI FC KUTOLEWA KIUME
Uwazi Giants wakiomba dua,dakika chache kabla ya mechi kuanza.

UWAZI FC KUTOLEWA KIUME
Mapedeshee na mashabiki wa Uwazi Giants wakiifuatilia kwa makini timu yao ikiwasumbuwa vijana wa New Habari House.

UWAZI FC KUTOLEWA KIUME
Timu hizo mpaka mapumziko zilitoka sare ya bila kufungana, pichani Uwazi Giants wakiwa mapumziko.
PICHA:RICHARD BUKOS, CHRISTOPHER LISSA /GPL.
    (26 March 2009)
Views: 243 | Maoni (0) |

 

VUNJA MBAVU

Vichekesho na Udaku  
VUNJA MBAVU
Sista Duu aumbuka
Sista du mmoja alikuwa kwenye daladala ndipo alipopanda jamaa mmoja brothermen na kukaa pamoja na dada huyo. Jamaa alipoona amekaa siti moja na mrembo huyo ndipo alipoamua kummwagia sera zake na mambo yalikuwa hivi:-
Brothermen: Dada habari yako?

Sister du: Kimya
Brothermen: Dada vibaya hivyo nakusalimia hutaki kuitikia mrembo kama wewe hufai kukasirika.
Sister du: We kaka mshamba nini! Nimesema sihitaji salamu zako hii sio shepu ya kusalimiana na waluga luga kama wewe.

Abiria kuona vile sister du anaongea kwa sauti kali ilibidi waulize “Jamani kuna nini mbona mnagombana nhe?

Brothermen: si huyu dada amejamba amechafua hewa namwambia ndio anakuja juu.
Abiria: Haaah!...


    (26 March 2009)
Views: 757 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Mengi ni adui wa umma?

Amani  
Mengi ni adui wa umma?
Na Mwandishi Wetu

Kundi la baadhi watu wenye nguvu kiuchumi na ujuzi wa kutengeneza propaganda limeibuka nchini kwa lengo la kuwachafua viongozi na vinara wa vita ya ufisadi, uchunguzi umebaini...
    (26 March 2009)
Views: 1217 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

HUYU NI MTOTO WA KIISLAM?

Amani  
HUYU NI MTOTO WA KIISLAM?
Na Mwandishi Wetu

Kauli ya hivi karibuni ya mwanadada aliyewahi kushiriki na kuandaa mashindano ya urembo nchini, Mange Kimambi ‘MK’ ya kwamba yeye ni binti wa kiislam imezua mjadala mzito huku baadhi ya watu wanaomjua wakijiuliza kama kweli mlimbwende huyo ana sifa hiyo...
    (26 March 2009)
Views: 3471 | Maoni (15) | Soma Zaidi

 

Beyond Love -26

hadithi za Shigongo  
Baada ya mzozo wa muda mrefu kati ya Tom na Mariam, kuhusu tabia ya Tom kulala nje, hatimaye Tom anamweleza Mariam kwamba kuna kitu kilichomsababisha alale nje na kama angekuwa tayari aje nacho nyumbani!

Bila Mariam kuelewa kwamba alikuwa anakaribisha matatizo, akakubali. Tom anakwenda nyumbani kwake na Mayasa, anamfukuza Mariam chumbani kwake na kulala na Mayasa. Mariam anapatwa na mshtuko na kuanguka mlangoni.

Tom anamburuza hadi sebuleni na kumwacha huko kisha anarudi chumbani kulala na Mayasa. Je, nini kitatokea? Kwanini Tom anamchukia Mariam kiasi hicho? Anza sasa KUSONGA NAYO...
    (26 March 2009)
Views: 1162 | Maoni (15) | Soma Zaidi

 

Wapenzi, wanandoa tunajifunza nini katika ushuhuda huu?

Mahaba  
Wapenzi, wanandoa tunajifunza nini katika ushuhuda huu?

Nilikuwa mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini Dar es salaam, katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile, basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na bosi wangu...
    (26 March 2009)
Views: 1964 | Maoni (9) | Soma Zaidi

 

UKIAMINI KWAMBA UNAWEZA, HAKUNA LITAKALOKUSHINDA MAISHANI MWAKO!

Saikolojia na maisha  
Maisha siku zote yanaendeshwa kwa kufuata taratibu na kanuni ambazo mwisho wa siku humfanya mwanadamu kuishi kwa amani na furaha na kuweza kutimiza lengo lake la kuwepo hapa ulimwenguni...
    (26 March 2009)
Views: 690 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

KUTAFUTA MAISHA KUMENIFANYA NIWE MCHAWI -36

Mikasa ya kusisimua  
Mpenzi msomaji, kijana Beka anaendelea kusimulia mkasa uliomkuta huko Bububu Zanzibar ambapo babu mmoja aliyetokea kumpenda alimfundisha uchawi. Wiki iliyopita nilielezea alivyosafiri na babu yake kwa kutumia ndege zao za kichawi (ungo) kwenda kisiwa cha Mtambwe kilichopo Pemba Zanzibar kwa wazee ambao ni wachawi kwa lengo la kwenda kuongezea nguvu za kichawi na uganga. Alipofika huko, wazee hao waliokuwa uchi katika uwanja Fulani ambao wachawi hukutana kwa ajili ya mikutano yao walimfundisha jinsi wachawi wanavyojigeuza simba na kumweleza faida za kufanya hivyo. Leo anaendelea kusimulia jinsi wachawi wanavyojigeuza paka, mijusi na panya. Ungana na Mwandishi Wetu KULWA MWAIBALE anayekusimulia kisa hiki kilichomkuta kijana Beka…
    (26 March 2009)
Views: 723 | Maoni (2) | Soma Zaidi
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com