arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Amani » KABULA AWASHANGAZA WATU KWENYE MUZIKI WA INJILI

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Simba warudia dawa Zanz ...
» DEFAO AJIKONGOJA MSASAN ...
» Aunt Ezekiel, Nora wapi ...
» Maimartha atiwa mikonon ...
» Dada wa The Jacko...
» I am back from hell -80
» Simba nayo usipime

KABULA AWASHANGAZA WATU KWENYE MUZIKI WA INJILI

Amani

Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita wakati Kabula akiitambulisha albamu yake mpya aliyoipa jina la Ushindi ndipo akasimama kuimba nyimbo hizo huku waumini waliokuwa wamejazana katika huduma hiyo wakifuatilia kwa makini ujumbe uliokuwa ndani ya kila wimbo na alipoimba wimbo wa Dhihilisha, taratibu kila mmoja alianza kububujikwa na machozi mazito na kuzama kwenye maombi.

“ Tungu nianze kufanya huduma katika Huduma hii ya Neno la Upatanisho, sijawahi kuona mwimbaji mwenye nyimbo zenye mguso wa ajabu kama za Kabula, hakika kila mmoja wetu amejikuta akibubujikwa na machozi na kisha kuzama kwenye maombi kutokana na ujumbe mzito ulio ndani ya nyimbo hizo, nililazimika kusitisha taratibu zote za ibada na kuanza kutoa huduma ya maombezi,” alisema Mchungaji wa Huduma hiyo Nicolaus Suguye.

Albamu ya Kabula George imeonekana kukubalika kwa wapenzi wa muziki wa Injili nchini, kutokana na nyimbo zake kuwa na ujumbe mzito ambao kila mmoja amekuwa akiguswa nao, na wengi wamezikubali kutokana na vionjo vya maneno ya Mungu aliyoyatumia.


 (Votes #: 4)
    (26 March 2009)
Soma Zaidi: 1202 | Maoni Yako (10)

Udaku Mwingine

Amani
 
  • Kabula George aiteka Mbeya
  • Video ya Kabula yakubalika
  • ‘Ushindi ya Kabula’ kuwekwa videoni
  • Wakati wa muziki wa Injili kumsapoti Kabula
  • Shusho kumsindikiza Kabula
  •    

    #1 Author: ggg (26 March 2009 03:52)

    great
     
    fast    

    #2 Author: FADHILI77 (26 March 2009 06:51)

    Safi sanaaaaaaaaaa
    Mungu na aendelee kuitwa Mungu na Tanzainia imjue
    Soma 2Mambo ya nyakati 7:14
    "Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu wataomba na kujinyenyekesha na kufutafuta uso na kuziacha njia zao Mbaya basi nitasikia kutoka juu Mbinguni na nitawasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao"
     
    fast    

    #3 Author: naky (26 March 2009 13:19)

    huyo ndie Mungu wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo.Kabula endelea kuwa mtu wa maombi na Mungu atashuka kila utakapokuwa unamtangaza.UBARIKIWE SANA.
     
    fast    

    #4 Author: alltojesus (26 March 2009 15:19)

    kila la kheri dada kabula.....
     
    fast    

    #5 Author: dia (27 March 2009 10:26)

    Mungu ni mwaminifu azidi kukuinua dada kabula, endelea hivyo popote utakapo pita nguvu ya bwana ionekane. ubalikiwe
     
    fast    

    #6 Author: mjumbe (27 March 2009 18:44)

    nyie walokole mnafuata nini kwenye magazeti ya udaku?acheni unafiki umbea ni dalili ya unrighteousness!mie simo
     
    fast    

    #7 Author: Ni haa (30 March 2009 10:08)

    we MJUMBE USHINDWE na ULEGEE;Ulitaka wasifie kaswida au? kwa taarifa yako nyimbo za injili zinapendwa sana na dini zote especially hiyo ya kwako, hata ukiwa mpagani zina mvuto wa pekee unapozisikiliza na tena zinaeleza ukweli sana, utafanikisha maisha yako iwapo utatumia muda wako kuzisikiliza,BIG UP KABULA!
     
    fast    

    #8 Author: Nyimbozadini.blogspot.com (31 March 2009 16:55)

    Tembelea nyimbozadini.blogspot.com upate mibaraka
     
    fast    

    #9 Author: neema lilungulu (2 April 2009 13:21)

    ongera kabula kwani kupitia nyimbo uwepo wamungu unashuka na wengi wanaponywa hivyo songa mbele
     
    fast    

    #10 Author: rashel samuel (28 October 2009 01:59)

    Nampenda sana bahati bukuku kwani ni tofauti na waimbaji wote wa injili kwani bahati bukuku huchimbua na kusoma biblia sana na ana staili yake tofauti na wengine
    hongera sana bahati kwa kazi ya Mungu.
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi



    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

     hit counter

    counters

    2008 © globalpublisherstz.com