arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 29.03.2009

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» Aina 10 ya vyakula vinavyoo ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» Kwa dalili hizi 15, huy ...
» Unakufa Nikikuona-10
» Kondic kuivusha Yanga m ...
» Mwanamke kabla hajaolew ...
» Niliishi kuzimu miaka i ...
» Asha Baraka ainadi CCM ...
» Phiri ahofia pointi sit ...

 

THE MOST HANDSOME MAN BONGO 009

photos  
Mpambano wa kumtafuta mwanaume mkali zaidi Bongo 009 ‘The most handsome man Tanzania’ umeafanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Hoteli ya New Africa katikati ya Jiji la Dar es Salaam ambapo kijana Khalid Mohamed ameibuka kidedea kati ya vijana 11 waliokuwa wakichuana. Kwa maana hiyo jamaa atakamata Dola 1000 na kufanyiwa Shoping katika maduka ya Zizzou Fashion. Shindano hilo liliandaliwa na Angels Entertainment na kudhaminiwa na British Council, C2C ‘Mtu kwao’, I&R Identity, Ijumba Enterprises, Wapi na Michuzi Blog. NA HIVI NDIVYO WANAUME WA SHOKA WALIVYOCHUANA:
THE MOST HANDSOME MAN BONGO 009
Khalid Mohamed ambaye alishinda akipita jukwaani na vazi la ubunifu

THE MOST HANDSOME MAN BONGO 009
Mshindi wa pili Henry Mwinyi akionesha makeke yake jukwaani.

THE MOST HANDSOME MAN BONGO 009
Mshindi wa tatu Ken Victor akikatiza jukwaani na vazi la ubunifu.

THE MOST HANDSOME MAN BONGO 009
Hii ndiyo ilikuwa Top 3

THE MOST HANDSOME MAN BONGO 009
Wanamitindo maarrufu nchini Mustapha Hassanali na Bi. Asia Idarus wakipeana ‘maks’ ukumbini muda mfupi kabla ya mapambano kuanza.

THE MOST HANDSOME MAN BONGO 009
Majaji wa mpambano huo, (kutoka kushoto) Steven Kanumba, Christina Issabela na mshindi wa Big Brother Africa 2007, Richard, wakiumiza vichwa kutoa TOP 3.

THE MOST HANDSOME MAN BONGO 009
Mashabiki wakiteta jambo wakati wakisubiri kutangazwa kwa Top 3

PICHA:CHRISTOPHER LISSA/GPL
    (29 March 2009)
Views: 376 | Maoni (3) |

 

MCHINGA SOUND WAMPA POLE MUDHIHIR

photos  
Leo alfajiri, iliyokuwa Bendi ya Mchinga Sound, ilijikusanya kwa muda na kufanya onesho maalum la kumpa pole Mkurugenzi wa bendi hiyo, Mudhihir Mudhihir baada ya kupata ajali na kukatika mkono mwaka jana. Onesho hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Vatican City, Sinza jijini Dar es Salaam. Katika onesho hilo, mgeni rasmi alitarajiwa kuwa Mudhihir mwenyewe lakini alishindwa kutokea baada ya jeraha la mkono wake kumsumbua na kulazimika kupelekwa tena hospitalini. Zifutazo ni baadhi ya picha za tukio hilo kama zilivyonaswa na photographer Richard Bukos wa GPL...

MCHINGA SOUND WAMPA POLE MUDHIHIR
Wanamuziki wa bendi hiyo wakimshika kichwa Rogert Hega 'Katapila' kama ishara ya kumpa pole Mudhihir, kutoka kulia ni Muumin Mwinjuma, Amina Rusharoho na Moshi Mselelwa, kushoto ni Veronica John 'Queen Vero'

MCHINGA SOUND WAMPA POLE MUDHIHIR
Mashabiki waliohudhuria onesho hilo wakiwa vidole juu wakati wakicheza uliokuwa mtindo wa bendi hiyo.

MCHINGA SOUND WAMPA POLE MUDHIHIR
Mmoja wa mashabiki wa bendi hiyo akiwa amejichora maneno mbalimbali mwilini mwake ya kuonesha anavyoihusudu bendi hiyo.



    (29 March 2009)
Views: 290 | Maoni (0) |
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com