arrowMake Homepage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » photos » KESI YA LIYUMBA KUFUTWA!

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Picha Ya Week ...

Nani Yupo / Alikuwepo

 


 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» JIDE HOI
» MSHANGAO!
» Rais Kabila aomba wakafungw ...
» HUKUMU YA BABU SEYA!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» MAOMBOLEZO
» Papic awapaisha Ngassa, ...
» Mambo ma2 yanayowafanya ...
» UZINDUZI WA TWANGA
» Chelsea yaitibua rekodi ...
» The Painful demand (Hit ...
» PRAVEN KIZIMBANI TENA L ...

KESI YA LIYUMBA KUFUTWA!

photos
KESI YA LIYUMBA KUFUTWA!
Kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Mipango wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
Amatus Liyumba na mwenzake Deus Kweka, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo imetakiwa kufutwa na Mawakili wao kwa mujibu wa kifungu cha sheria za nchi hii, kinachoutaka upande wa mashitaka kukamilisha upelelezi ndani ya siku 60, vinginevyo kesi hiyo kufutwa. Kesi hiyo ina zaidi ya siku 60 na upelelezi bado haujakamilika. Pichani (kushoto) Liyumba akirudishwa Mahabusu leo mchana mara baada ya kesi yake kuahirishwa mpaka Aprili 13, mwaka huu, itakapotajwa tena kabla ya kusikilizwa Aprili 25, mwaka huu.

MAAFANDE WA 'DIFENDA' WAMVAMIA ‘SANGOMA’ ANAYEENDELEA KUTIBIA.
KESI YA LIYUMBA KUFUTWA!
Katibu Mwenezi wa Chama cha Waganga wa Jadi, Tiba asilia na Wakunga wa Jadi (CHAWATIATA), Bi. Fatuma Mwachengwa, akiwaelezea wanahabari kilio chao baada ya Askari Polisi, kumuingilia mmoja wao, Tandale Hill Top jijini Dar, wakitaka kumsomba kwa tuhuma za kuendelea kutibu.Hata hivyo Bi. Fatuma, ambaye aliongozana na uongozi wa kundi hilo walidai kuwa, Mganga huyo aliachiwa baada ya kuombwa shilingi laki 3 lakini akawapa laki moja. Waganga hao wanatarajia kulifikisha suala hilo kwa Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, mara baada ya kulifanyia kazi.

DAR SASA KAMA MAMTONI.
KESI YA LIYUMBA KUFUTWA!
Jiji la Dar es Salaam hatimaye limeanza kupata sura ya kuvutia kufuatia majengo marefu ya kupendeza kama linavyoonekana pichani, jengo hili liitwalo Benjamin Mkapa, lililopo Barabara ya Maktaba, maeneo ya Posta jijini. Jengo hili linalinganishwa na majengo ya mamtoni.
PICHA: RICHARD BUKOS NA CHRISTOPHER LISSA /GPL.



Dear Guest you have enter our site without being Registered. We recommend to register to view more...
"Mgeni wetu unatakiwa Kuregista kupata Udaku Wote..."
 (Votes #: 1)
    (2 April 2009)
Soma Zaidi: 331 | Maoni Yako (7)

Udaku Mwingine

photos
 
  • LIYUMBA CHALI KORTINI
  • SERIKALI YAKIRI, HATI YA KUMSHTAKI LIYUMBA MBOVU.
  • LIYUMBA AKUBALIWA DHAMANA
  • KESI YA LIYUMBA YAIVA
  • LIYUMBA ABADILISHIWA HAKIMU, ISHU YAKE BADO MBICHI
  •    

    #1 Author: xc (2 April 2009 07:57)

    In ur dreams!!!!!
     
    fast    

    #2 Author: tizo (2 April 2009 12:00)

    Tatizo la dar ni chafu tu,lakini miji mingi ya ulaya si kwamba inatisha sana,
     
    fast    

    #3 Author: BONGOMAN (2 April 2009 12:19)

    WATU WENGINE WANASHANGAZA, MAJUMBA MAREFU YANAPENDEZA? UMEME WA SHIDA, LIFT ZITAFANYÁGE KAZI MAJI HAKUNA ; HUKU ULAYA WATU WANA KIWANGO CHA UREFU WA MAJUMBA NA WANAKILA KITU , TUACHE USHAMBA MAGOROFA MAREFU SI MAENDELEO ILA NI UKOSEFU WA ARDHI , NA SISI TUNAYA TELE
     
    fast    

    #4 Author: jj (3 April 2009 03:35)

    ha ha haaa usinivunje mbavu miye eti majengo kama ulaya,vumbi kibao,uchafu mmh,shida ya maji sasa mtaweza vipi kumudu hayo majengoY???? MAJENGO KAMA HAYO YANAHITAJI MATUNZO BWANA;NA UKARABATI KILA BAADA YA MUDA FULANI.BONGO JENGO LIKISHAJENGWA NDIO IMETOKA HIYO,HOPE LIMEJENGWA KWA UJUZI WA HALI YA JUU,Hatutaki kuona linaporomoka one day .Kwa hilo iwafyagiliii ng'ooo,piga garagaza ua.
     
    fast    

    #5 Author: anisa (3 April 2009 04:17)

    Lakini wananchi tunakufa kwa njaa,kwa hivyo hakuna faida yoyote ile.
     
    fast    

    #6 Author: me,maself and I (3 April 2009 05:19)

    Du kweli nilijua hatma ya mafisadi itaishia kuachiwa huru tu,wakati mlala hoi akigushi shilingi laki mbili benki atakula miaka zaidi ya mitano jela,hapo wanasema kesi ifutwe,sasa je ni watu wangapi wapo segerea ambao kesi zao wanasema hazijakamilika na wameshakaa zaidi ya miaka kadhaa?narudi nyuma kama sikosei house girl wa liumba aliiba dola mia tano kama sikosei,na akafungwa miaka mitano sasa je huyu bosi wake alietuibia mabilioni ya pesa kwa nini aachiwe huru?Tanzania kweli tunaelekea pabaya,na mimi nadhani wakiachiwa huru hawa jamaa lazima kutatokea matatizo bongo,ok yetu macho!!!
     
    fast    

    #7 Author: kamanga (7 April 2009 19:04)

    We uliyeandaika hujafika ulaya....
    Dar chafu, traffic ya kishenzi , umeme hakuna, hakuna ustaarabu, atleast wenzetu wanheshimiaana. hata ukipanga line wanyuma akija anakusubiri lakini bongo hakuan cha kusubiriana ni yule unayemjua..
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com