arrowMake Homepage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » photos » TIGO ILIVYOFUNIKA MOROGORO!

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Picha Ya Week ...

Nani Yupo / Alikuwepo

 


 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» MSHANGAO!
» Rais Kabila aomba wakafungw ...
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» Mambo 45 ya kuhuzunisha ...
» CBM PREZZO AMPIGIA KAM ...
» Zombe gizani
» Meneja alinibaka na kun ...
» CODERED WATUA BONGO RAS ...
» Ukweli wafichuka
» Latifa Warioba aundiwa ...

TIGO ILIVYOFUNIKA MOROGORO!

photos
TIGO ILIVYOFUNIKA MOROGORO!
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza wa shindano la Mr & Miss SUA Talent 2009 upande wanawake, Pendo Wilson, katika shindano lililofanyika kwenye Hoteli ya Savoy mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Tigo ilikuwa mdhamini mkuu wa kinyang’anyiro hicho. Katikati ni Miss SUA 2008, Aneth Kayombo.

TIGO ILIVYOFUNIKA MOROGORO!
Meneja Matangazo wa Tigo Redemptius Masanja (kulia) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa pili wa shindano la Mr & Miss SUA Talent 2009 upande wa wanawake, Mwajabu Juma katika shindano lililofanyika kwenye Hoteli ya Savoy mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Tigo ilikuwamdhamini mkuu wa kinyang’anyiro hicho. Kushoto ni Miss SUA 2008, Aneth
Kayombo.

TIGO ILIVYOFUNIKA MOROGORO!
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza wa shindano la Mr & Miss SUA Talent 2009 upande wanaume,Amidi Ali katika shindano lililofanyika kwenye Hoteli ya Savoy mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Tigo ilikuwa mdhamini mkuu wa kinyang’anyiro hicho. Katikati ni Mr SUA 2008, Frank Mlekwa.

TIGO ILIVYOFUNIKA MOROGORO!
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule ‘Prof J’ akiwapagaisha baadhi ya watu waliohudhuria shindano la Mr & Miss SUA Talent 2009 katika Hoteli ya Savoy mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Tigo ilikuwa mdhamini mkuu wa kinyang’anyiro hicho.

TIGO ILIVYOFUNIKA MOROGORO!
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Salim Sarai akionyesha vazi la ubunifu alilolitangeza kwa majani ya miti wakati wa shindano la Mr & Miss SUA Talent 2009 kwenye Hoteli ya Savoy mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Tigo ilikuwa mdhamini mkuu wa kinyang’anyiro hicho.

TIGO ILIVYOFUNIKA MOROGORO!
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Caroline Nyakapete akionyesha vazi la ubunifu wakati wa shindano la Mr & Miss SUA Talent 2009 kwenye Hoteli ya Savoy mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Tigo ilikuwa mdhamini mkuu wa kinyang’anyiro hicho.

TIGO ILIVYOFUNIKA MOROGORO!
Wacheza shoo wa bendi ya muziki wa dansi ya Revent Music wakionyesha umahiri wao wakati wa shindano la kumtafuta Mr& Miss SUA Talent 2009 kwenye Hoteli ya Savoy mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.Tigo ilikuwa mdhamini mkuu wa kinyang’anyiro hicho.



Dear Guest you have enter our site without being Registered. We recommend to register to view more...
"Mgeni wetu unatakiwa Kuregista kupata Udaku Wote..."
 (Votes #: 0)
    (6 May 2009)
Soma Zaidi: 304 | Maoni Yako (0)

Udaku Mwingine

photos
 
  • VIMWANA BOMBA VYA ‘MISS TALENT’ ILALA
  • Miss Ilala apatikana!
  • TAJI LA ‘MISS UTALII KINONDONI 2009’ LAPATA MRITHI
  • TIGO LAUNCHES GIFT & COLLECT SMS SERVICE TODAY
  • MISS KINONDONI TALENT FUNIKA BOVU
  •    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com