arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » risasi mchanganyiko » Miss achomwa nyeti kwa pasi

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» HALI BADO TETE MBAGALA
» Jeshi la Polisi, Tanesc ...
» Yanga kumshtaki mshambu ...
» Lwakatare amtimua Kigog ...
» Ssentongo agoma kula wa ...
» T MARC YAENDELEA KUMWAG ...
» Muumini: Jamani sijaful ...

Miss achomwa nyeti kwa pasi

risasi mchanganyiko

Habari za kuaminika toka chanzo chetu zinadai kuwa, Bella alifanyiwa unyama huo na msanii wa filamu, Yusuf Mlela kwa kile kilichodaiwa kuwa, ni wivu wa mapenzi.

Kikimwaga ‘nyeti’ hizo chanzo hicho kilipayuka kuwa, Mlela ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mrembo huyo, alianza kuingiwa hofu juu ya ‘kifaa’ chake hicho kukumbwa na skendo chafu mara kwa mara.

Chanzo kilizidi kumwaga mchele kwenye kuku wengi kuwa, Mlela alitinga nyumbani kwa Bella, maeneo ya Kinondoni Mkwajuni, jijini Dar huku akiwa amevaa shati ambalo lilionekana kujikunja na kumuomba mrembo huyo ampe pasi ili kuondoa mikunjo hiyo.

Kilisema: “Bila hiyana, Bella alimpatia pasi, jamaa akaichomeka kwenye umeme, ilipopata moto, ghafla aliitoa na kumvamia, kisha kumuunguza sehemu mbalimbali za mwili ikiwa ni pamoja na mapajani, tumboni na kwenye makalio”.
Mwandishi wa udaku huu alitinga nyumbani kwa mlimbwende huyo mwenye visa kibao na kumkuta akiugulia maumivu makali ya vidonda, huku akidai anajuta kumfahamu Mlela.

Gazeti hili lilimwendea hewani Mlela ambaye alikiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kwa mkato kuwa, hali hiyo ilisababishwa na hasira ya ghafla.

Miss achomwa nyeti kwa pasi

Miss achomwa nyeti kwa pasi


 (Votes #: 9)
    (24 June 2009)
Soma Zaidi: 4660 | Maoni Yako (33)

Udaku Mwingine

risasi mchanganyiko
 
  • Miss Ruvuma ‘akwapua’ simu
  • AIBU!
  • ZIZZOU FASHION YAMWAGA ZAWADI KWA MLELA
  • Mlela, Frank wakabwa koo na Hartmann
  • Miss TZ afanyiwa ufirauni
  •    

    #1 Author: promise (24 June 2009 01:34)

    Mbona mambo! mwanamme hajakuowa wala hana faida na wewe yoyote unampa fursa yakukuchoma ivi nikupenda sana kitugani?
    kwalipi alokua nalo huyo mwanamme mpaka akuchome namoto? ebu wasichana wenzani jipatilizeni kuweni na sauti kwa wanaume sio vyema wanaume makatili wanavyo tufanyia.
     
    fast    

    #2 Author: bilu (24 June 2009 01:37)

    hivi kweli ni hasira gani? hivi we Mlele kweli unampenda Bella? Mpenzi unaempenda unaweza kumdhuru? Lakini Bella nawewe ucheche umekuzidi Mlela ni bwana wa kuwa nae wewe ambaye maisha yako unategemea wanaume, Mlela anaweza kukutunza kweli? akulishe, akuvishe, akupangie chumba, akupeleka saloon?


    Na Tambua siku zote bwana anayejijua hana kitu, anaishia kujifanya ana wivu kishenzi kumbe hakuna kitu, HAYA SASA HIVYO VIKAPTULA VYAKO UTAVIVAAJE NA MAKOVU HAYO? UKOME KULINGA
     
    fast    

    #3 Author: POaz2 (24 June 2009 02:05)

    Du!! hii kuwadhalilisha wanawake! tena ushenzi wa hali ya juu, inafaa huyu Yussuf Mlela haraka achukuliwe hatua ya kisheria ili iwe mfano kwa wengine.
     
    fast    

    #4 Author: frankzone! (24 June 2009 03:10)

    leo kakuchoma pasi kesho atakuchinja kabisa akupoteze Duniani hakufai huyo jamaa achana nae anaekupenda kwa dhati hawezi kukufanyia ukatili huo.
     
    fast    

    #5 Author: mwatima (24 June 2009 03:26)

    kachomwa na pasi na hiyo chachandu ilopenya imekuwaje jamani mujiweke vizuri mkichukuliwa picha na waaandishi hivi ni kujitukanisha
     
    fast    

    #6 Author: mexbuku (24 June 2009 03:32)

    Pole sana mdogo wangu kwa yaliyokupata kwa sasa inabidi uchukue uamuzi wa kujiheshimu kwani ukicheche haufai na faida yake ndio kama ulivyochomwa na pasi. Ona sasa urembo wako umeharibika kwa ****indi mapenzi yasiyo ya ukweli. Huyo mwanaume hakufai na inaelekea yeye ndie kicheche mzuri wa kuchukua mademu.
     
    fast    

    #7 Author: mabruki (24 June 2009 03:33)

    HAKUNA MTU ANAYE DHALILISHA WANAWAKE, WAO WENYEWE WANAJIDHALILISHA, HUYU DEMU KICHECHE NANI ASIYE JUA, NA NDOA IANATOKANA NA MAHUSIANO. UKIWA NA DEMU MALAYA UNATEGEMEA NINI? SASA DUNIA INAELEKEA PABAYA HASA HAPA KWETU TZ WANAWAKE SIKU HIZI UNAKUTA ANAMABWANA WATANO JUST IMAGINE IS IT POSSIBLE? AT THE END WANAKAMATIKA, MAANA DUME MBILI HAZIKAI ZIZI MOJA. KINACHO TOKEA KUUWANA KWA VISU KAMA DOGO WA CHUO. NYIE VIBINTI TULIENI JAMANI. WENZETU HUKO AKIPATA DEMU ANATANGAZA MPAKA KWA WAZAZI, WASHIKAJI, MPAKA UMMA ANATAKA UFAHAMU. SASA SISI TUNASHINDWA NINI KAMA SIO PEPO WA NGONO KATUMALIZA?
     
    fast    

    #8 Author: Sagrey (24 June 2009 03:46)

    kazidi umalaya.. kwanza nani dume yeye au mlela?..limezidi ngoja lichomwe likome.
     
    fast    

    #9 Author: doctor (24 June 2009 04:32)

    yani hiki ni kicheche fulu,haya biashara matangazo,utawapata wapori wakiona kipaja na kicheni feki hicho,mi naona sawa tu kuunguzwa,nishawai kuwa na dizaini hii ya kidemu,yani vinatia hasira kichizi,nini kuunguza unaweza ukaua kabisa,maana vinakuwa vicheche hadi aibu halafu chenyewe wala hakijali,kuandikwa na magazeti pia vinaona ujaaanja,vinajisifia nimeuza story kwa shigongo,mi simlaumu wala nini jamaa najua machungu anayopata kuwa na demu dizaini hii,pole dogo,usijisumbue hapo piga chini anza,achana na huyo demu atakuua
     
    fast    

    #10 Author: calypso (24 June 2009 04:41)

    HUYO JAMAA LAZIMA ACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA HUO NI UZALILISHAJI WANAWAKE KAMA ANAWIVU AU HOFU NA DEM WAKE SI AWACHANA NAE TU KIUSALAMA SIO KUMFANYIA UNYAMA KAMA HUO NASHANGAA SANA HUKO KWETU BONGO HAMNA SHERIA?KAMA HUKU EUROPE MTU KAMA HUYO CELEBRITY LAZIMA AWAJIBIKE KI SHERIA SASA NAOMBA MUANDISHI WA HIZI HABARI MSAIDIE HUYO DEM JAMAA ACHUKULIWE HATUA KAMA SI HIVYO WATAENDELEA WATU KAMA HAO KUWATESA MA SISTER ZETU.[/left]
     
    fast    

    #11 Author: komesha (24 June 2009 04:42)

    Hivi vimodo bila kuvichoma moto vitatuuwa kwa ukimwa
    Halow she got what she deserved good job weldone chaina i wish i could help u kumchoma ktk kiuke chake ili akome umalaya.
     
    fast    

    #12 Author: emmanuely (24 June 2009 04:43)

    ...sema mimi naona poa sana kwa sababu hawa madada zetu wamezidi ukicheche sana!
     
    fast    

    #13 Author: MZEE (24 June 2009 04:44)

    NDO VIZURI MAANA MTU AKIWA MISS TU BASI UTADHANI KAAMBIWA KUWA MALAYA.......SAFI SANA TENA ANGEMCHOMA NA MACHO........
     
    fast    

    #14 Author: villa (24 June 2009 06:23)

    HUYO MWANAUME ANATAKIWA ASHTAKIWE MAHAKAMANI.HILO TAYARI NI SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI ANAWEZA KUFUNGWA KUANZIA MIAKA 7 NA KUENDELEA KWA MADHARA YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.MBONA WAAFRIKA TUNA MAMBO YA KIPUUZI HIVYO...MAPIGANO!,MATUSI!JE TUTABADILIKA LINI? HATA KAMA HUYO MWANAMKE NI MALAYA HUNA HAKI YA KUMDHURU...ANA HAKI JUU YA MWILI WAKE.
     
    fast    

    #15 Author: Atupele (24 June 2009 06:45)

    Mie nilijua kamchoma kwenye naniliu yake kabisa kumbe kamchoma hapo ningekuwa mimi ningemgeuzia kibao ningesema alitaka kunibaka kashindwa ndio kanichoma moto.sasa we Bella kisa cha kusasambula nguo zote na kukubali kupigwa mipicha hivyo unafikiri sifa kuonekana hivyo yani umejichora kinoma noma kumbe halali yako kuchomwa moto wewe huna haya mtoto wa kike.
     
    fast    

    #16 Author: anitah (24 June 2009 07:58)

    kweli hata angekuwa yeye ndiye kafanyiwa hivyo angejisikiaje unyama huo kama kamchoka ni vema akamfukuza maana inaonekana kamchoka sana sasa kaamua kumchoma na pasi ili akipona amalize kabisa wanaume mmekuwaje siku hizi wivu umewazidi sana mmemsahau hata mungu kweli usichopenda kutendewa usimtendee mwenzako hapo upo
     
    fast    

    #17 Author: XXXL (24 June 2009 08:27)

    Huyo lazima ashtakiwe kwa kosa la kumdhuru huyo dada lakini napinga wanaotaka achukuliwe hatua sababu ya kumdhalilisha. Huyo dada amejidhalilisha mwenyewe vibaya sana hapo pichani, nini sababu ya kujianika hiyo cheni? hawa ndiyo wanaovamia mambo tu, hata unyago hajachezwa, maana angeenda unyagoni angejua kuficha uchi wake hapo ni sawa kuwa kakianika gazetini kikei chake! au ndo huyo katoka anatafuta wa kuziba pengo?
     
    fast    

    #18 Author: naima (24 June 2009 12:14)

    Huyo mwanaume amefanya vibaya sana lakini wewe ni msichana kitendo ulichofanya si kizuri kufanya hivyo kwani wewe ndiye wakwanza kuvaa hizo shanga? Mwanamkelazima ajistiri.Amefanya vizuri huyo mwanaume.
     
    fast    

    #19 Author: Neira (25 June 2009 00:52)

    Huyu anahalali kabisa ya kuchomwa moto kwa tabia kama hizi hapa yani haogopi kukaa uchi hata mbele ya kamera kwa nn asijistiri ndio apigwe picha hizo? cheki na kicheni feki chake kilivyo fubaa hehehe wangekuchoma kwenye hiyo k yako labda ndio ungetulia maana ungeogopa kuonyesha kwa kila mtu.Mlela ungekuwa umemuoa ungekuwa na ushahidi tosha kwa mola.lakini mie nakushauri uachane nae huyo demu hakufai kabisa utakuja kuuwa bure kama yule dogo wa chuo.
     
    fast    

    #20 Author: lusemu suleiman (25 June 2009 01:22)

    huyu anastahiki kuchomwa kwani anatembea uchi bila kiasi kwani uzuri kila mwanamke ni mzuri kwa hivyo anastahiki adhabu hata ya kifo na alivyofanya huyo mchumba wake ni vizuri kwani mwanamke anastahiki heshima kwa kila mtu yeye hariziki na mmoja basi akome

    akome anastahiki kifo kwani mwanamke anatakiwa ajistiri uzuri kila mwanamke anao madhali ameumbwa na bado adhabu ya kesho akhera

    nafurahi sana kupata adhabu kama hii kwani kutembea uchi kwake anatudhalilisha sisi wanawake na mwanamke ni stara kwa kila mtu nampa pongezi huyo kaka na bado bora ampe malezi mengine na hata macho amtowe asipate kuwaona wanaume wengine
     
    fast    

    #21 Author: no name (25 June 2009 03:12)

    Wee mtoa mada no2 unajichanganya,halafu hivi dunia ya leo bado unamawazo ya kumshauri mwanamke apate bwana wa kuvisha,kumpangia chumba na kumlisha!huu ni wakati wa wanawake kuwa na mikakati ya pamoja na wanaume,nao waweze kulipa bili kaunta sio kutegemea kulishwa ka makinda,ni wakati wa hata mwanaume asiye na kazi anaweza kuwa na girl friend mwenyekazi hata mawazo yanajenga.Si usawa kwa vyote?
    Huyo aliyechomwa pasi si lazima apangishiwe,avalishwe ndo achomwe pasi ni swala la ukicheche wake ndo umemponza!
     
    fast    

    #22 Author: BN (26 June 2009 05:09)

    mshikaji hawezi kumchoma hivi hivi lazima huyu demu ni kicheche tu! Calypso! utawala wa sheria upo mtu wangu na jamaa anajua kabisa anachofanya ni kinyume cha sheria ila kuna situation lazima sheria uikunje kidogo ilimradi usiiivunje! Jamaa katoa discipline kidogo
     
    fast    

    #23 Author: triggerman (26 June 2009 12:39)

    Aminiaaa,kwanza kujichoresha hivi hadi magazetini kwamba umechomwa nayo ingekuwa kama vp angerudi kumchoma tena ingekuwa swadaktaaa maana kujianika hivi ndio nn sasa?kaonyeshe kwa daktari yaishe n kaonyeshe kituoni km wataka yaendelee mbele ya safari na kingine kwa mwanaume huyo kama demu kicheche wa nn?achana naye tu aendelee na ukicheche wake we chukua hamsini zako jikate zako,yani watoto wamejaa hivi mwahangaika na vicheche tena?eh watu wanapenda kizembe kumbe!
     
    fast    

    #24 Author: daniel (1 July 2009 13:10)

    Heli kuachana naye kabisa kuliko kumfanyia haya maovu ya kinyama.
     
    fast    

    #25 Author: psucks (2 July 2009 05:27)

    hatufurahi ila inatakiwa iwe fundisho katika uhusiano kuwa hakuna kuuza sura.sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ila pole kwa maumivu.
     
    fast    

    #26 Author: onesmo paulo (2 July 2009 08:54)

    Ni vizuri sana kwasababu kama angekua mwaminifu yota hayo
    yasinge mkuta. Naona kinadada mnayumba sasa nakushauri
    uachanenae kabisa tena ukatafute maji ya 'chemchem' ukoge
    kutoa gundu.
     
    fast    

    #27 Author: G.J (4 July 2009 06:57)

    Pole sana mwanamke mwenzangu, ila huyo hakufai. jitazame kwanza unafanana na huyo aliekutia moto? au ulimpa promotion. achana nae pakashume hana baraza leo kakutia moto wa pasi kesho ni petrol
     
    fast    

    #28 Author: cheryl (8 July 2009 01:56)

    NAWEWE UNGEMCHOMA MDUDU WAKE AKOME. lol wink
     
    fast    

    #29 Author: ZIADA (8 July 2009 08:32)

    NAWASHANGAA WOTE MNAOSEMA AKOME ETI KAZIDI UKICHECHE WAKATI HILO LIVULANA NALO LIKICHECHE LISINGEKUWA LIKICHECHE LINGEACHANA NAE TU LIMEONA MDADA WAWATU MZURI NDIO MAANA LIKAJAWA NA WIVU.KWANZA HUO WIVU WAKIJINGA WANAUME WENZAKO WAKIWA NA WIVU ANAZIDISHA MAPENZI KWA MCHUMBA WAKE ETI WEWE UNAMCHOMA NAWEWE DADA FANYA JUU NA CHINI UHAKIKISHE NA YEYE KAKATWA HUYO MDUDU WAKE TUONE KAMA ATAFURAHI POLE SANA DADA YANGU
     
    fast    

    #30 Author: temba (9 July 2009 00:53)

    kwakweli huu niunyanyasaji tena niujinga alionao alionao huyo bwege nadiriki kumwita bwege homa yamapenzi that'sange kuwa ana jua maanaya mapenzi kamwe asingeweza kufanya kitu kamahicho ushauri wangu kwawale ambao hawaja oa walakuolea wasiparamie mapenzi jipange kwanza
     
    fast    
    Back  <<  1 2  >>  Next Page

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi



    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

     hit counter

    counters

    2008 © globalpublisherstz.com