arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 05.11.2009

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» ONLY THE FIT OF THE FIT ...
» VUNJA MBAVU
» TMK yatumia mbili kusa ...
» Nataka kichwa cha mwana ...
» MWANDISHI BORA WA SCRIP ...
» Kesi za EPA
» MAMBO TAYARI!

 

MWANAFUNZI ABAKWA, ACHINJWA NA KUNYOFOLEWA KOROMEO

udaku  
MWANAFUNZI ABAKWA, ACHINJWA NA KUNYOFOLEWA KOROMEO

Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ndoombo, Arumeru mkoani Arusha, Happiness Ombeni (9), ameuawa kwa kuchinjwa na kukatwa koromeo kwa imani za kishirikina...
    (5 November 2009)
Views: 479 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Mbatia: Wabunge, Takukuru wote mafisadi

udaku  
Mbatia: Wabunge, Takukuru wote mafisadi

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR -Mageuzi, James Mbatia, amesema malumbano kati ya Bunge na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yanatokana na ufisadi uliopo pande zote mbili...
    (5 November 2009)
Views: 344 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Kundi la Lowassa lajitokeza kwa nguvu kamati ya Mwinyi

udaku  
Kundi la Lowassa lajitokeza kwa nguvu kamati ya Mwinyi

*Yumo Naibu Waziri, wapinga ufisadi wataka watuhumiwa wang'olewe CCM
WABUNGE wa CCM wameendelea kuparurana mbele ya kamati ya Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, huku baadhi wakimtetea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na wengine wakisema watuhumiwa wote wa ufisadi wavuliwe nyadhifa za ndani ya chama...
    (5 November 2009)
Views: 791 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

DAR USIKU

Amani  
DAR USIKU

Gazeti makini la Amani limekuwa katika oparesheni maalum ya kuchunguza vitendo vichafu vya uvunjwaji wa maadili vinavyofanywa na akina dada poa au maarufu kama makahaba wanaojiuza nyakati za usiku katika viunga mbalimbali vya Jiji la Dar es Salaam...
    (5 November 2009)
Views: 2419 | Maoni (7) | Soma Zaidi

 

ABBEY ARCADE Avamiwa na Wezi, wachota dola 100,000

Amani  
ABBEY ARCADE Avamiwa na Wezi, wachota dola 100,000

Katika hali ya kushangaza wezi wamevamia nyumba ya mwanamitindo ‘sistaduu’ nchini Marekani, Abbey Arcade na kuiba vitu mbalimbali vikiwemo vito vya thamani, nguo pamoja na ‘laptop’ aina ya Apple, vyote vikiwa na thamani ya ‘ngawira’ za kimarekani dola 100,000...
    (5 November 2009)
Views: 527 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

KRS ONE amshangaa Gsan, akubali kuja bongo

Amani  
KRS ONE  amshangaa Gsan, akubali kuja bongo

Nguli wa miondoko ya Hip Hop mgumu Krs one alipigwa na butwaa kubwa baada ya mkali wa miondoko hiyo kutoka kundi la kibongo la Xplastaz, Gsan kushuka mistari ya kufa mtu kwenye tuzo za BET zilizofanyika jijini New York Marekani hivi karibuni...
    (5 November 2009)
Views: 512 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

JINI KABULA: ngono inanitesa kila kukicha

Amani  
JINI KABULA: ngono inanitesa kila kukicha

Sistaduu wa Maigizo na Filamu nchini, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ anakiri kwa kinywa chake: “Mapenzi yananitesa kila kukicha”...
    (5 November 2009)
Views: 1359 | Maoni (8) | Soma Zaidi

 

MARLAW amenasa THT laivu!

Amani  
MARLAW amenasa THT laivu!

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Laurence Malima ‘Marlaw’ amesema kuwa anashukuru sana kuimba ‘Live’ kumempandisha chati ya ajabu na kumuweka juu...
    (5 November 2009)
Views: 411 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

MADAME RITA akumbukia enzi zake na Mtoto wa Dandu

Amani  
MADAME RITA akumbukia enzi zake na Mtoto wa Dandu

The big boss wa BenchMark Productions, mwandaaji wa Shindano la kusaka vipaji vya muziki nchini, Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madame Rita’, hivi juzi kati amekumbukia enzi zake na James Dandu ‘mtoto wa Dandu’ baada ya kuionesha picha waliopiga pamoja enzi za uhai wa msanii huyo...
    (5 November 2009)
Views: 675 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Vunja mbavu

Vichekesho na Udaku  
Vunja mbavu
Vunja mbavu
Vunja mbavu
Vunja mbavu
Vunja mbavu
    (5 November 2009)
Views: 195 | Maoni (1) |
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com