arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 21.11.2009

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» Aina 10 ya vyakula vinavyoo ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» GAMBOSHI- 12
» RISASI! DAMU!
» JERRY MURO APANDISHWA K ...
» CCM yaiokoa Simba Songe ...
» NILIMUUA MUME WANGU NIO ...
» Fresh Jumbe kutua leo n ...
» Sisi ni Vijana wa Masau ...

 

BUSTA RHYMES ATUA, AGOMA KUPIGWA PICHA

photos  
Mkali wa muziki wa Rap kutoka nchini Marekani Busta Rymes, ametua nchini leo tayari kwa kukimbiza mashabiki usiku wa leo katika tamasha kubwa la Fiesta ‘One Love’ linaloendelea hivi sasa katika viwanja vya Chuo cha Posta Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Msanii huyo alitua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere majira ya saa 9:30 alasiri akiwa ameambatana na washkaji zake sita, huku akiwa chini ya ulinzi mkali na katika hali ya kushangaza kidogo, hakupenda kupigwa picha na mapaparazi!
BUSTA RHYMES ATUA, AGOMA KUPIGWA PICHA
Busta Rymes (wapili kushoto) akiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa Dar es Salaam, mara baada ya kuwasili huku akiongozwa na ‘ Baunsa’ wake (wakwanza kushoto).

BUSTA RHYMES ATUA, AGOMA KUPIGWA PICHA
Busta (katikati) akiingia Kilimanjaro Hotel Kempinski.

BUSTA RHYMES ATUA, AGOMA KUPIGWA PICHA
Busta akiwa ndani ya gari tayari kwa safari ya kuelekea Hoteli ya Kilimanjaro alikofikia.

BUSTA RHYMES ATUA, AGOMA KUPIGWA PICHA
Mmoja wa mabaunsa wa Busta Rhymes akiimarisha ulinzi nje ya Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski.

BUSTA RHYMES ATUA, AGOMA KUPIGWA PICHA

BUSTA RHYMES ATUA, AGOMA KUPIGWA PICHA
..jamaa anaonekana'kuchana' isivyokawaida..cheki shavu hilo!!!

PICHA: CHRISTOPHER LISSA / ISMAIL MANG'OLA
    (21 November 2009)
Views: 140 | Maoni (0) |

 

Anusurika kipigo baada ya kuhisiwa kaiba mtoto albino!

photos  
Na Dunstan Shekidele,Morogoro
Katikati ya wiki hii, Kijana mmoja amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi baada ya kuhisiwa kaiba mtoto mwenye ulemau wa ngozi, albino, kufuatia kijana huyo kumbeba mtoto huyo kama nyani na kurandaranda naye katikati ya mji wa Morogoro kwa kutumia baikeli. Wananchi waliomshuhudia kijana huyo akiwa na mtoto huyo albino walimtilia mashaka kwamba huenda kijana huyo amemuiba mtoto huyo kutokana na mazingila ya tukio hilohivyo baadhi ya wananchi hao waliamu kumjulisha mwandishi wetu.
Anusurika kipigo baada ya kuhisiwa kaiba mtoto albino!
Mwandishi wetu baada ya kupata ishu hiyo aliamua kumfuatilia kishushu kijana huyo kwa kutumia usafiri wa pikipiki kwa lengo la kubaini ni wapi anampeleka, paparazi wetu alikuwa akifanya kazi ya kumpiga picha njiani kwa lengo la kuweka ushahidi zaidi kama zinayoonekana.

Hata hivyo mwisho wa safari ya kijana huyo ilikuwa ni duka la kuuza maji ya jumla lililopo maeneo ya Juwata katikati ya mji kasoro bahari,na kwamba kijana huyo alipohojiwa na mwanndishi wetu alisema kwamba huyo mtoto ni mdogo wake na kwamba ameamu kutembea nae.

"huyu ni mdogo wangu nimetokanae nyumbani tumekuja hapa kununua maji ya jumla tumetumwa na mama"alisema kijna huyo ambaye alikataa kutaja jina lake

Anusurika kipigo baada ya kuhisiwa kaiba mtoto albino!

Miongoni mwa wanachi waliomtilia shaka kijana huyo ni pamoja na Bw Hussein lsmail ambaye aliliambia gazeti hili kwamba yeye na wenzake wameshawishika kumtilia mashaka kijana huyo kutokana na mazingira ya tukio hilo.

Anusurika kipigo baada ya kuhisiwa kaiba mtoto albino!
    (21 November 2009)
Views: 170 | Maoni (6) |

 

SOUTH AFRICA: World Cup to help create HIV awareness

udaku  
SOUTH AFRICA: World Cup to help create HIV awareness
(PlusNews) - In less than seven months South Africa will host the world's biggest single sporting event - the FIFA World Cup. The chance to reach millions of local and visiting football fans presents a golden opportunity, not only for the country's business and tourism sectors, but also for its efforts to combat HIV/AIDS. Health officials, activists and civil society organisations met in Johannesburg on 18 November to plan how
    (21 November 2009)
Views: 65 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

KENYA: Stigma holding back the fight against TB

udaku  
KENYA: Stigma holding back the fight against TB
SIAYA, 19 November 2009 (PlusNews) - When Dorothy*, a single mother of five, told her neighbours in the Kenyan capital, Nairobi, she had tuberculosis (TB), she expected sympathy and maybe even offers of help. Instead, she found herself so severely ostracized, she felt she had to move out. "The kind of discrimination I faced from my neighbours made me regret [sharing] my condition with them; I could not even share the [communal] sink," she told IRIN/PlusNews. "Yes, tuberculosis is very infectious, but
    (21 November 2009)
Views: 60 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

SIO SEBENE TU HATA POOL TABLE TUNAWEZA

photos  
SIO SEBENE TU HATA POOL TABLE TUNAWEZA
Wasanii nyota wa bendi ya muziki wa dansi ya Akudo Impact ‘Vijana wa masauti’, Kanal Top (kushoto) na Allan Kabasele Pepe Kalee, wakichuana vikali katika mchezo wa Pool Table kwenye Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam.

DIDA ALIZWA
SIO SEBENE TU HATA POOL TABLE TUNAWEZA
Mtangazaji nyota wa kituo cha Redio Times FM , Khadija Shaibu ‘Dida’ (mwenye gauni la kijani) akiwa na mtangazaji ‘kiraka’ wa kituo cha runinga cha Channel 5 na East Africa Radio, Maimartha Jesse wakishangaa gari la Dida ambalo lilihujumiwa na wahuni kwa kuporwa baadhi ya vitu usiku maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

KIRAKA WA T.O.T MZIGONI
SIO SEBENE TU HATA POOL TABLE TUNAWEZA
Rapa ‘nambari one’ wa bendi ya muziki wa dansi ya T.O.T (T-Respect) Elite Tembele akikonga nyoyo za mashabiki katika Ukumbi wa Mango Garden.

THE BRAIN: BADO NAUMIZA KICHWA
SIO SEBENE TU HATA POOL TABLE TUNAWEZA
Mkali wa muziki wa Bongo Bangla nchini, Akil Mohamed ‘The Brain’ ambaye alipata kutesa sana na wimbo wake wa Nakupenda Regina akiwa amekula pozi nyumbani kwake mtaa wa Arusha Ilala jijini Dar es Salaam saa chache baada ya kutoka kuandaa nyimbo katika studio yake ya Akil Records iliyopo nyumbani kwake hapo. Mchizi alisema bado anaumiza kichwa kurejesha heshima kwenye ‘game’.

ANKO LUNDENGA KITAANI
SIO SEBENE TU HATA POOL TABLE TUNAWEZA
Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania, Hashimu LUndenga ‘Anko’ wapili kulia akiteta jambo na mdau wake kama alivyonaswa na kamera yetu mtaani pande za Kinondoni jijini Dar es Salaam.
PICHA: CHRISTOPHER LISSA/GPL
    (21 November 2009)
Views: 93 | Maoni (0) |

 

DAR HAKUNA KULALA

photos  
Usiku wa kuamkia leo, FM Academia Wazee wa Ngwasuma na Machozi Band walifanya onesho la pamoja katika Ukumbi wa Zhonghua Garden, jijini Dar es Salaam na kuwapa bonge la burudani wakazi wa jiji.

DUH! WAKONGO KWA MISIFA
DAR HAKUNA KULALA
Kiongozi wa FM Academia, Nyoshi El – Saadat, kama kawaida yake baada ya muziki kunyamaza alipanda jukwaani na kuanza kuzisifia pamba zake nyekundu alizokuwa amevaa.

WAKONGO NA KWA CHACHANDU MH!
DAR HAKUNA KULALA
Chachandu za mnenguaji huyu wa FM Academia kutoka nchini Kongo DRC, Lily Wango, zilikuwa bonge la kivutio haswa kwa midume mikware iliyokuwa ukumbini hapo.

DAR HAKUNA KULALA
Kiuno cha Lily kilichotapaa chachandu na kuwakoga midume mikware

DAR HAKUNA KULALA
Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ akifanya makamuzi katika onesho hilo.

DAR HAKUNA KULALA
Bendi inayokuja kwa spidi kali katika fani ya muziki wa dansi hapa nchini, Stone Mayiyasika nayo usiku wa kuamkia leo ilikuwa ikifanya makamuzi ndani ya Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam kama wanamuziki wake wanavyoonekana kulishambulia jukwaa.
PICHA: RICHARD BUKOS /GPL
    (21 November 2009)
Views: 88 | Maoni (0) |

 

CodeRED Launch This Saturday!

photos  
CodeRED Launch This Saturday!
Tonight at Kempinski Hotel Dar es salaam-Zanzibar Room, come n c the East African Best DJ's!
    (21 November 2009)
Views: 67 | Maoni (1) |

 

Walimu wataka kuiba mabilioni ya serikali

Habari mbalimbali  
Walimu wataka kuiba mabilioni ya serikali
Waziri wa Elimu Jumanne Magembe

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imekataa zaidi ya nusu ya madai Walimu wa Sekondari waliyoyawasilisha serikalini...
    (21 November 2009)
Views: 129 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Sofia Simba azua mtafaruku mwingine UWT. Amkataa katibu wake

risasi jumamosi  
Sofia Simba azua mtafaruku mwingine UWT. Amkataa katibu wake
Bi Sophia Simba

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Sophia Simba ambaye alilipua mabomu yaliyochafua hali ya hewa kwenye kikao cha Kamati ya Mwinyi na wabunge, sasa amehamishia makombora hayo ndani ya jumuiya yake...
    (21 November 2009)
Views: 857 | Maoni (15) | Soma Zaidi

 

We mama mbavu zangu..!

Vichekesho na Udaku  
NILIJIITA WAZIRI MKUU KIDOGO WANIUE
Mkuu wa nchi moja alikwenda kutembelea hospitali ya wagonjwa wa akili ili kujua maendeleo na huduma wazipatazo, siku hiyo wendawazimu wenye kichaa kikali walifungiwa na kuachwa wenye nafuu. Basi Mkuu wa nchi alipofika hospitalini hapo alipokelewa na mganga Mkuu kisha alizungushwa katika wodi za wagonjwa wa akili.

Wodi ya kwanza ilikuwa ya igonjwa wenye afadhari ambao waliachwa ili kumpokea muheshimiwa hata kuzungumza nae mawili matatu.
Mgonjwa wa kwanza aliyekutana naye alimuuliza mheshimiwa...
    (21 November 2009)
Views: 2750 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

INASIKITISHA

risasi jumamosi  
INASIKITISHA

Na Waandishi wetu
Inasemwa kwamba fainali uzeeni lakini wakati mwingine usemi huo unaweza kupoteza maana sana pale mambo yanapokwenda arijojo kwa mtu aliye na umri mdogo, staa wa Big Brother Africa 2003, Mwisho Mwampamba na laazizi wake wa zilipendwa, Rehema Chalamila ÔRay CÕ kwa pamoja maisha yao yanatengeneza stori ya kusikitisha...
    (21 November 2009)
Views: 2244 | Maoni (9) | Soma Zaidi

 

Aunt Ezekiel kicheche

risasi jumamosi  
Aunt Ezekiel kicheche

Na Mwandishi Wetu
Staa wa filamu aliye Miss Mwanza 2006-07, Aunt Ezekiel amechafuka, jamii inamuogopa huku sifa kwamba ni demu kicheche ikimiminwa kumuelekea, Risasi Jumamosi linaweza kutoa maelezo...
    (21 November 2009)
Views: 1720 | Maoni (17) | Soma Zaidi

 

Waridi kitumbo ndii

risasi jumamosi  
Waridi kitumbo ndii

Na Waandishi Wetu
Mwigizaji nguli Bongo, Anne Constantino ÔWaridiÕ ana ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi nane sasa, Risasi Jumamosi limengÕatwa sikio...
    (21 November 2009)
Views: 899 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

Chamillion, Jua kali kutumbuiza Mwanza

risasi jumamosi  
Chamillion, Jua kali kutumbuiza Mwanza

Na Leah Kweka
WASANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya na Uganda Joseph Chamillion na Jua Kali wanatarajiwa kutumbuiza katika tamasha lililoandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Women of Wisdom Trust (Wowi-T) litakalofanyika Novemba15 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...
    (21 November 2009)
Views: 134 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Mwanamke apata mimba

risasi jumamosi  
Mwanamke apata mimba

Hamida Hassan na Mashirika ya Habari
Mwanamke mmoja nchini Marekani, Julia Grovenburg amewashangaza madaktari nchini humo baada ya kupata ujauzito wa pili wakati tayari ana mwingine wenye miezi nane...
    (21 November 2009)
Views: 641 | Maoni (1) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com