arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Habari mbalimbali » AKINA MAMA DOT COM!

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Yanga 11 waitwa Ulaya
» Rais Kabila aomba wakaf ...
» Serikali yazuiwa kugawa ...
» Niliishi kuzimu miaka i ...
» KWANZA UNA MAKOSA KIBAO
» MWANAUME WA AINA HII US ...
» KWA AJALI HIZI TUTAFIKA ...

AKINA MAMA DOT COM!

Habari mbalimbali

ikawa kila siku anamuogesha huyu mtoto kitu ambacho kiliwapa moyo hawa wazazi kuwa kijana huyu anafahamu kazi yake ipasavyo kumbe alikuwa fisi mla watu. Kadri siku zilivyokwenda ndivyo yule mtoto alivyokuwa anaharibikiwa sehemu za nyuma na kuanza kutoa HAJA KUBWA pasipo kujitambua. Huyu houseboy alivyogundua akaanza kumwekea pamba kwenye ****** ili haja kubwa isiwe inaonekana na kuchafua nguo anapokwenda shule na muda anapokuwa na wazazi wake. Just imagine mtoto wako anajazwa MAPAMBA kwenye ****** ili haja kubwa inayotoka bila breki isionekane JESUS CHRIST MY LORD.

Sasa kilichosababisha kugundulika kwa unyama huu ilikuwa ni siku ambayo ilikuwa ni weekend na huyu kijana alikuwa bado hajamuogesha huyu mvulana na ilibid aende kumpokea mgeni wa bosi wake stendi kabla hajamuogesha huyu mvulana. Hoseboy huyu aligoma kabisa kwenda kumpokea mgeni yule kwa madai kuwa mpaka amuogeshe mtoto yule jambo lilipingwa sana na mabosi wake kwa nguvu zote. Lakini kutokana na kuwa mabosi wana nguvu yule houseboy ilibidi aende shingo upande.

Sasa Mama Mzazi wa yule mtoto alipotaka kumuogesha yule mtoto alikataa katakata hali iliyomshtua Mama mtu na kumuita Baba mtoto (mumewe) ili yeye amuogeshe lakini bado yule mtoto alikataa mpaka alipotishiwa kuchapwa. Sasa kwenda bafuni na kuanza kumuogesha yule mtoto ndipo Baba mtoto alipopata mshtuko wa milele pale alipokuta mwanae amejazwa MAPAMBA matakoni. Na alipodadisi kwa undani ndio akapewa story nzima. Kijana alikamatwa yuko polisi lakini ndio hivyo mtoto keshaharibika kwa kiwango kikubwa.

Lengo langu la kuweka makala hii hapa ni kujaribu kukumbushana kuwa sio kila kazi anaachiwa house boy au house girl, wakina mama wa siku hizi (Dot com) wamejibweteka sana wakiamini hela inafanya kila kitu jambo ambalo si kweli na linaleta madhara makubwa sana kwenye familia nyingi, lisipofanyiwa kazi kwa ukaribu, mzazi yuko busy akitoka job anapitia bar kupata bia mbili tatu na washkaji zake au na mume wake while familia imeachiwa wafanyakazi wa ndani ambao wanajiamulia kufanya mambo wanayotaka wao hata chakula wanapanga wao leo familia ile nini, mfanya kazi wa ndani akisahau kuangalia luku kama imefikia unit ngapi familia nzima inalala giza kwani umeme unaisha saa nane usiku hiyo luku itanunulia wapi usiku huo??

kwakuwa wazazi hawana time na nyumba zao, tunatakiwa tubadilike sana tuwe karibu na familia zetu unaporudi job nenda straight home kacheki situation inakwendaje then uamue kutoka kwenda kupata hizo bia zako, watoto wanapelekwa na mabas ya chule asubuhi na kurudishwa jioni tena wanalipiwa na tuition ili warudi around saa moja jioni kwani nyumbani kila mtu yuko busy na mambo yake, wazazi wanaporudi wanakuta watoto wamelala hata mapenzi na watoto hatuna kabisa tunajidanganya taishi kidhungu, mara moja moja sana tunawadanganya watoto kuwapeleka mlimani city, na beach kuswim, na slipway kuchezea mabembea once a month tena kwa kujilazimisha sana na ikifika saa kumi nambili tu watoto wanarudishwa faster home ili wazazi wakajirushe mpaka majogoo hali hii itaisha lini?

kama house boy ndo anampa msosi, anamfulia, anamuogesha, anamlisha, anajoke nae ataacha kuwa wae karibu kimwili na kiroho? kwanini wazazi tumeamua kuadapt onyesha yale ambayo niliyasema na pia kusemwa na wadau wa jamvi hapa kuhusu kuharibiwa kwa watoto wetu wa kiume pamoja na wadogo zetu wa kiume jambo ambalo linawapelekea kuwa na tabia za ajabu ikiwa ni pamoja na tabia za kishoga hapo baadae baada ya kuizoea hali hii ya kinyama.

MUNGU ATUSAMEHE NA ZAIDI ATULINDE NA KUWALINDA WATOTO NA WADOGO WETU WA KIKE NA WA KIUME WAKUE CHINI YA ULINZI WAKE WA KIMUNGU. AMEN


 (Votes #: 1)
    (25 November 2009)
Soma Zaidi: 962 | Maoni Yako (2)

Udaku Mwingine

Habari mbalimbali
 
  • Nilimuua mume wangu niolewe na tajiri-2
  • JINSI YA KUWAELEWA BAYANA WATOTO NA KUBORESHA UKARIBU NAO
  • Nilizaa na dada na mama yangu mzazi - 22
  • JINSI YA KUWAELEWA BAYANA WATOTO NA KUBORESHA UKARIBU NAO
  • Ushuhuda kabla ya kifo changu-4
  •    

    #1 Author: moody 56 (25 November 2009 23:33)

    Hakika inaliza na inatisha,Wazazi wote hata kina baba jukumu hili la watoto ni letu wote, kawaida hata kama muwe busy kiasi gani unaporudi kazini ni wajibu kumkagua mtoto ,joto lake la mwili kama ana homa au laa, sio watumishi tuu wa ndani labda hao wazazi wawe walevi, au hawajali au hawana mapenzi na watoto.Hili liwe ni fundisho kwetu wengine tunaotegemea kufanyiwa kazi zote na watumishi bila kufatilia!! Ndio inapokuja hata wazee kutembea na housegirl na kina mama na mahouseboy bila kujali eti uko busy!!
     
    fast    

    #2 Author: disminder (26 November 2009 01:40)

    kweli ni stori ya kusikitisha sana. Pole kwa mtoto na wazazi pia.
    JAMANI WAZAZI MAMA NA BABA. LAKINI HASA KINA MAMA.
    tusijisahau, hao ni wasaidizi tu ndani ya nyumba, kila kitu fuatilia mwenyewe kama kiko sahihi. Wewe utaishi vipi hujui mwanao anaishi vipi? Ina maana mwanamke hujatenga hata siku moja katika juma ya kufuatilia maendeleo ya mwanao? Asubuhi unafanya nini kuamka ukamtayarisha mwanao? kwanza kwa nini houseboy amuoshe mtoto? hata kama ni wa kiume. Hivi houseboy atamuosha mtoto atakate kweli?

    MAMA NDIYE MLEZI WA FAMILIA.
    HATA KAMA HUTAKI KUSHIKA MAJI KWA KUHOFIA KUCHA ZAKO KUHARIBIKA, SIMAMIA WAKATI ANAMSAFISHA MWANAO.

    SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE KATIKA HILO.
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:

     

    Kura Yako / Poll

    Habari Katika Picha


    Gazeti la Uwazi



    Nani Yupo / Alikuwepo


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

     hit counter

    counters

    2008 © globalpublisherstz.com