arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 28.11.2009

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» I AM BACK FROM HELL (NI ...
» BALLALI ALIKUWEMO HUMU?
» Beyond Love -8
» UZINDUZI WA TWANGA
» MTOTO KADIRIA KATIKA M ...
» HATUA 10 ZA KUFUATA KAT ...
» Niligeuka mwanamke, nik ...

 

STONE MAYIYASIKA TISHIO

photos  
STONE MAYIYASIKA TISHIO
Kiongozi wa Stone Mayiyasika, Maluu Stonch, akionekana 'kutekwa' na muziki wa bendi yake ambayo imeelezwa na wadau kuwa ni 'tishio' kwa bendi nyingine nchini.

VIJANA TUPENDE SCOUT
STONE MAYIYASIKA TISHIO
Scout ni kazi ya kujitolea inayofanywa na baadhi ya vijana, hasa wanafunzi wa shule mbali za msingi jijini Dar es salaam. Mafunzo wanayopewa vijana hao husaidia kuwajenga kimwili na kiakili. Pichani ni baadhi ya Scout walioshiriki hafla moja katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

CHRISTOPHER LISSA/GPL


    (28 November 2009)
Views: 91 | Maoni (0) |

 

Muslims celebrate Eid-al-Adha.

Videos  

Muslims from around the world continued to celebrate the end of their annual pilgrimage. Thousands of animals have been slaughtered in different parts of the country to mark the holiday known as Eid-al-Adha.

VIDEO:NTV_KENYA
    (28 November 2009)
Views: 49 | Maoni (0) |

 

Eastern Africa: ministers endorse UNODC regional programme

udaku  
Dear Colleagues,


This week, ministers of 13 Eastern African countries signed, in Nairobi, a joint political declaration endorsing the UNODC Eastern Africa programme for 2009-2012.

"In Eastern Africa, warning lights are flashing - we must respond immediately", warned UNODC Executive Director Antonio Maria Costa, speaking at the regional ministerial conference on "Promoting the Rule of Law and Human Security in Eastern Africa". He added that Eastern Africa is under threat from all sides: smuggling and piracy along its coast, trafficking through its airspace and across porous borders, and the spillover of threats from unstable neighbours.

This regional UNODC programme is based on three pillars: countering trafficking, organized crime and terrorism; fighting corruption and promoting justice and integrity; and improving health and human development. Such a comprehensive programme is urgently needed because Eastern Africa is vulnerable to drugs and crime due to conflict, poverty and a weak rule of law.

To read the full story, please click here: http://www.unodc.org/unodc/en/frontpage/2009/November/-eastern-africa_-ministers-endorse-unodc-regional-programme-.html?ref=emaileastafricaprbp


Sincerely,

A[b]dvocacy Section
United Nations Office on Drugs and Crime
Website: www.unodc.org
[/b][i]
    (28 November 2009)
Views: 27 | Maoni (0) |

 

WAZIRI MKUU KWA LOWASSA!

photos  
WAZIRI MKUU KWA LOWASSA!
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa wilaya na Halmashauri
ya Monduli, Arusha kuhusu hali yaukame na njaa wilayani humo kwenye ukumbi wa
Halmashauri hiyo Novemba 27, 2009. Kulia ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa
Monduli, Edward Lowassa na katikati ni mkuu wilaya hiyo, Njowika Kasunga. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    (28 November 2009)
Views: 259 | Maoni (0) |

 

WAZIRI PINDI ARUSHA

photos  
WAZIRI PINDI ARUSHA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua uzalishaji wa mbolea katika kiwanda cha
Minjingu mkoani Manyara, Novemba 27, 2009. Wapili kushoto ni mkuu wa mkoa wa
Manyara, Henry Shekifu na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Hans
Tosky.

WAZIRI PINDI ARUSHA
Bibi Udamahena Marisha
wa kitongoji cha Almasi alikuwa ni mmoja wa wananchi wengi waliofika kwenye
viwanja kiwanda cha mbolea cha Minjingu, Manyara kumsikiliza Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda wakati alipotembelea kiwanda hicho na kuwahutubia wananchi Novemba
27, 2009. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


    (28 November 2009)
Views: 107 | Maoni (1) |

 

HIJJA: NGUZO YA TANO YA UISLAMU.

Videos  

Belal Miah explains the Muslim pilgrimage of Al-Hajj. PRESS THE PLAER TO SEE
    (28 November 2009)
Views: 64 | Maoni (0) |

 

EID EL-HAJJ NJEMA!

photos  
EID EL-HAJJ NJEMA!
Wishing you all a wonderful and Prosperous Eid Ul Adha Mubarak . May you all be blessed with a Wonderful Day - Inshaallah!
    (28 November 2009)
Views: 72 | Maoni (0) |

 

WAFANYAKAZI GLOBAL WANG’ARA MAHAFALI YA 35 IFM

photos  
Wafanyakazi wawili wa kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, wachapishaji wa magazeti pendwa ya Ijumaa, Uwazi, Amani, Championi, Risasi, Ijumaa Wikienda na wamiliki wa mtandao huu, Sara Lushu na Alice Mtaki, jana wametunukiwa Stashahada zao za Uhasibu (Advanced Diploma in Accountancy), katika Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) jijini Dar es Salaam. Aliyewatunuku vyeti hivyo ni Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo, katika mahafali ya 35 yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee, ambapo zaidi ya wahitimu 2000 walitunukiwa vyeti, Stashahada na Shahada katika taaluma mbalimbali.
WAFANYAKAZI GLOBAL  WANG’ARA  MAHAFALI  YA  35 IFM
Mahafali hayo yalianza kwa maandamano maalumu yaliyoanzia chuo cha IFM , Barabara ya Shaaban Robert na kuishia Karimjee ambapo yalipambwa na Brass Band ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

WAFANYAKAZI GLOBAL  WANG’ARA  MAHAFALI  YA  35 IFM
Wakionekana wenye nyuso za furaha ni wafanyakazi wa Global Publishers, Sara Lushu (kulia) na Alice Mtaki kabla ya kutunukiwa Stashahada zao.

WAFANYAKAZI GLOBAL  WANG’ARA  MAHAFALI  YA  35 IFM
Sara na Alice wakiungana na wahitimu wenzao katika zoezi la kuvaa kofia maalum kama ishara ya kutunukiwa Stashahada zao kwa pamoja.

WAFANYAKAZI GLOBAL  WANG’ARA  MAHAFALI  YA  35 IFM
Sara (mwenye joho na kofia) akifurahi na marafiki zake mara baada ya kutunukiwa Stashahada yake ya Uhasibu.

WAFANYAKAZI GLOBAL  WANG’ARA  MAHAFALI  YA  35 IFM
Baadhi ya vigogo wa chuo cha IFM, wakiongozwa na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustapha Nkuro (kulia) wakihitimisha hafla ya Mahafali hayo ya 35.

WAFANYAKAZI GLOBAL  WANG’ARA  MAHAFALI  YA  35 IFM
Sara (kulia) akiwa ametulia na rafiki yake

WAFANYAKAZI GLOBAL  WANG’ARA  MAHAFALI  YA  35 IFM
Mtangazaji nyota wa kipindi cha Njiapanda kinachorushwa na kituo cha Redio ya Watu (Clouds FM), Sebastian Ndege, ambaye katika mahafali hayo alitajwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao, akifurahia cheti maalum cha mwanafunzi bora kilichoambatana na zawadi lukuki zilizotolewa na chuo hicho. Mtandao huu unawatakiwa kila la kheri wahitimu wote.


PICHA:CHRISTOPHER LISSA/GPL
    (28 November 2009)
Views: 93 | Maoni (1) |

 

MAAJABU YA CHANJO!

Videos  

Chanjo nyinyine zineweza kuleta madhara kuliko tiba kama ilivyokusudiwa. Binti wa miaka 26 huko Marekani amepatwa na ugongwa wa ajabu baada ya kudungwa chanjo ya Mafua ya Nguruwe, anaweza kusema na kufanya vitu vingine akiwa anakimbia au kutembea kinyume kinyume, lakini akisimama anaanza kutetemeka na hawezaikuongea vizuri. Madaktari wamebaki midomo wazi na wanasema tukio hilo huweza kutokea kwa mtu mmoja kati ya watu milioni moja. Video hii inaonesha hali halisi ya binti huyo, siyo mchezo wa kuigiza!!!!
    (28 November 2009)
Views: 109 | Maoni (1) |

 

Viongozi wa dini wamgeuka Kikwete

Habari mbalimbali  
Viongozi wa dini wamgeuka Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete

TAASISI za dini nchini, FBOs zimetoa azimio la pamoja zikieleza kuwa nchi imekosa dira na kushauri rais apunguziwe mamlaka yake, ili kuweka uwiano wa maamuzi katika mihimili yote mitatu ya dola...
    (28 November 2009)
Views: 379 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Ni uwendawazimu kutuchafua - Mbowe

Habari mbalimbali  
Ni uwendawazimu kutuchafua - Mbowe
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

• Asema CHADEMA wako tayari kukaguliwa na Mkaguzi Mkuu

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema inampasa mtu kuwa na akili za kiuendawazimu kufikiria kuwa viongozi wa juu wa chama hicho wanafuja fedha za ruzuku, kama inavyodaiwa na baadhi ya watu...
    (28 November 2009)
Views: 292 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Vunja mbavu

Vichekesho na Udaku  
NIMEWATOA NJE WAKACHEZE MPIRA
Ndege moja iliyokuwa imepakiwa vichaa kufika angani walianza kucheza mpira kasoro kichaa mmoja alikuwa kimya amekaa kwenye siti akiwaangalia wenzake. Baada ya kuona kero zimezidi alifungua mlango wa ndege na kuwatoa nje wenzake naye akarudi kukaa.
Rubani baada ya kuona vurugu zimetulia alijua vichaa wametulia baada ya kuchoka kucheza mpira. Ndege ilipofika alipokuwa akiwapeleka alishangaa kumkuta kichaa mmoja amekaa kwenye kiti.
Rubani: Wenzako wako wapi?
Kichaa: Walikuwa wakinisumbua niliwatoa nje wakacheze mpira wao
Rubani alibakia kichwa wazi asijue atajibu nini.

ALIFANANISHWA NA MUNGU
Kulikuwa na jamaa watatu kila mmoja alitoa sifa yake ya kufanana na mtu maarufu duniani.
Wa 1, mimi wananifananisha na Idd Amini
Kwa sababu gani?
Kutokana na umbile langu refu na rangi yangu nyeusi watu wananifananisha na Marehemu Idd Amini dada.
Wa pili: Mimi na Osama bin Laden
Kwa sababu gani?
Kutokana na weupe wangu na ndevu nyingi hata jina langu limekufa siku hizi naitwa Osama
Wa tatu ambaye alikuwa na umbile dogo kuliko wote.
Mimi nafanishwa na Mungu
Watu wote walishtuka na kumuona yule jamaa kama anamkufuru Mungu lakini aliwathibitishia kweli kuna mtu alimfananisha na Mungu.
Najua hamuwezi kuamini kama mjuavyo mimi mwenzenu mpenda ulabu na vifungu haviniishi, kila nilipopelekwa polisi nilihukumiwa na hakimu mmoja siku moja baada ya kupanda kizimbani hakunihukumu bali alinieleza kuwa ameniachia huru na nisirudie kufanya tena makosa.
Lakini kwa bahati mbaya nilikamatwa na kupandishwa kizimbani, na hakimu alikuwa yule yule wakati napanda alikuwa ameinama akiandika ripoti baada ya kuandika aliponyanyua macho akaniona na kushtuka huku akisema.
Mungu wangu umerudi tena
Bado tu hamjaamini kuwa niliitwa Mungu, jamaa alibakia wakitazama kutokana na mwenzao kushindwa kumuelewa hakimu alikuwa na maana gani na si kumfananisha na Mungu.
    (28 November 2009)
Views: 349 | Maoni (1) |

 

Aunt mbaroni

risasi jumamosi  
Aunt mbaroni

Na Mwandishi Wetu
Mcheza filamu staa wa Bongo, Aunt Ezekiel Gryson amekumbana na saa kadhaa za kushikiliwa na maafande wa kituo cha Polisi, Oysterbay jijini Dar....
    (28 November 2009)
Views: 2132 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

Bahati Bukuku kuinogesha Kiu ya Nafsi kesho

risasi jumamosi  
Bahati Bukuku kuinogesha Kiu ya Nafsi kesho

Mkali wa muziki wa Injili nchini a.k.a mama wa maadili, Bahati Bukuku anatarajiwa kulinogesha tamasha la uzinduzi wa albamu ya sita ya mkongwe wa miondoko hiyo Jennifer Mgendi inayokwenda kwa jina la Kiu ya Nafsi...
    (28 November 2009)
Views: 239 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

Khadija Yusuf aitamani Jahazi ya kaka yake

risasi jumamosi  
Khadija Yusuf aitamani Jahazi ya kaka yake

Mwanamuziki maarufu wa kundi la muziki wa mwambao Five Star, Khadija Yusuf amedai kuwa na shauku ya kufanya shoo ya pamoja na kundi la Jahazi Modern taarab lililochini ya Kaka yake Mzee Yusuf ili kuwadhihirishia kuwa wao kwa sasa ni moto wa kuotea mbali...
    (28 November 2009)
Views: 437 | Maoni (0) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com