arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for 30.11.2009

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» MSHANGAO!
» Rais Kabila aomba wakafungw ...
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» Rashida alilia penzi la ...
» ‘Kikwete ataanguka’
» ‘Tekniki’ za kulikamata ...
» Knocked Down? You can s ...
» Niligeuka mwanamke, nik ...
» Kigogo wa serikali
» MATUNDA KWA AFYA

 

Pata zawadi na Uwazi

uwazi  
Na Mwandishi Wetu
WAKATI huu wa msimu wa sikukuu za Krismas na Mwaka mpya, gazeti lako ulipendalo la Uwazi linakuletea zawadi bomba na bab’ kubwa kama vile kompyuta mpya, simu, ‘Music system’ na runinga mpya kupitia mfumo wa kadi maalumu ya zawadi itakayowekwa ndani ya gazeti hilo kuanzia Jumanne ya Desemba 8, 2009...
    (30 November 2009)
Views: 90 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

NI AIDHA TUSAMEHEANE, SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE AU TUENDELEE KUCHAFUANA!

Pasua Jipu  
KUMRADHI: Wiki tatu zilizopita tulikuwa tukichapisha mfululizo wa maneno kutoka hotuba iliyotoka kwenye kitabu cha Nyerere kilichoitwa ‘TUJISAHIHISHE’ kilichotolewa Dar es Salaam Mei 1962, tulipomaliza, kwenye sehemu ya kutambua kazi hiyo, hatukueleza kwamba ndani ya machapisho hayo tulibadili maneno TANU, WanaTANU na wasio WanaTANU kwenda CCM na WanaMtandao na wasio WanaMtandao. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza katika hilo.Mhariri...
    (30 November 2009)
Views: 63 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Nilibambikiwa kesi, nikafungwa miaka thelathini-5

Mikasa ya kusisimua  
Mpenzi msomaji, kijana Mohamed Geni mkazi wa Dumila Kilosa mkoani Morogoro ambaye katika safari yake ya maisha anadai amekumbana na mkasa wa kubambikiwa kesi ya kubaka na kujikuta akitupwa gerezani alikotakiwa kutumikia kifungo cha miaka 30, anaendelea mkasa uliomkuta uliosababishwa na wema aliomtendea dada mmoja aliyefika Dumila akitokea Singida na baadaye kudaiwa alimbaka. Ilikuwaje? Ungana na MWANDISHI WETU KULWA MWAIBALE katika mkasa huu wa kweli…
    (30 November 2009)
Views: 400 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

REVENGE OF THE DEAD - 22

hadithi za Shigongo  
BAADA ya Theresia kuwaua kichawi wanafunzi wenzake aliokuwa akisafiri nao kwenda mbugani Hwangwe kwa safari ya mafunzo akanusurika Albert peke yake kwa sababu alikuwa anampenda, wazazi wa watoto hao wanashikwa na hasira na kuamua kuchoma wodi aliyolazwa Theresia, akateketea kabisa ndani ya moto na mabaki yake kusafirishwa kwenda kuzikwa Tanzania.

Albert ambaye tayari alimpenda sana Theresia, aliumizwa sana na kifo hicho cha kikatili, ingawa Theresia mwenyewe alikiri kuwa mchawi pasipo hiari yake, bado alimpenda na alitamani angekuwa mke wake maishani! Anachanganyikiwa kabisa, akawa hataki tena shule, jambo hili lilifanya wazazi wake wamtafutie mtaalamu wa saikolojia ya vijana ili amrejeshe katika hali ya kawaida, kwa miezi mitatu mtaalamu huyo alifanya kazi mpaka akafanikiwa na Albert kurejea shuleni.

Katika hali ambayo Albert hakuitarajia, siku moja anapokea simu kutoka kwa rafiki yake Shadrack na kuomba afungue Televisheni kwenye stesheni ya CNN ajionee, akafanya hivyo na hakuamini macho yake alipoona taswira ya Theresia runingani, akidaiwa ni msichana aliyekamatwa na polisi nchini Kongo kwa tuhuma za mauaji ya kichawi ya watu kumi katika kijiji cha Chipole! Alichokifanya Albert ni kupiga kelele akiita jina la Theresia.

Je, nini kitafuata? Aliyekamatwa nchini Kongo ni Theresia kweli au msichana mwingine anayefanana naye? SONGA NAYO…
    (30 November 2009)
Views: 828 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Kujijengea uwezo wa kufanya maamuzi bora-2

Saikolojia na maisha  
ILIPOISHI WIKI ILIYOPITA
•Mambo mengi hutokea au hutegemea na mitazamo uliyonayo.
Maamuzi mengi tufanyayo hutegemea na mitazamo tuliyonayo maishani. Kama mtazamo wako ni wakujutia kila kitu au kulaumu wengine, basi utalaumu na kujutia kila utakachowahi kukifanya, mfano; utajutia na kulaumu kozi unayosoma, kazi unayofanya, biashara unayofanya, mke au mume mliyeoana nae, watoto uliowazaa nk...
    (30 November 2009)
Views: 135 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Ufanyeje mpenzi wako anapoamua kukuacha

Mahaba  
Ufanyeje mpenzi wako anapoamua kukuacha

KUACHWA ni jambo linalotia uchungu usioelezeka katika mapenzi hasa pale wanaoachana mmoja anakuwa bado angali dimbwini kwenye mahaba. Wanaoachwa huku wanapenda hukonda kwa mawazo na wakati mwingine hutamani kufa kuliko kuishi mbali na wapenzi wao...
    (30 November 2009)
Views: 304 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Top 10 ya filamu za karne zilizoboronga

Habari mbalimbali  

10. THE SPIRIT
Top 10 ya filamu za karne zilizoboronga


* Release date: December 25, 2008

* Estimated cost: $60 million

* Domestic gross: $19.8 million


9. GRINDHOUSE
Top 10 ya filamu za karne zilizoboronga


* Release date: April 6, 2007

* Estimated cost: $67 million

* Domestic gross: $25 million


8. ROLLERBALL
Top 10 ya filamu za karne zilizoboronga


* Release date: February 8, 2002

* Estimated cost: $70 million

* Domestic gross: $19 million
    (30 November 2009)
Views: 113 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Tiger Woods asema ajali ya gari iliyompata wa kulaumiwa yeye

Habari mbalimbali  

Tiger Woods asema ajali ya gari iliyompata wa kulaumiwa yeye
Tiger Woods akiwa na mkewe Elin Nordegren
Tiger Woods asema ajali ya gari iliyompata wa kulaumiwa yeye

Tiger Woods asema ajali ya gari iliyompata wa kulaumiwa yeye

Tiger Woods asema ajali ya gari iliyompata wa kulaumiwa yeye
Picha tatu hapo juu zinaonyesha gari aina ya Cadillac Escalade ambalo Tiger Wood alipata nalo ajali nje ya nyumba yake mapema tarehe 27, Novemba 2009


* Hakuripoti ajali hiyo polisi hadi siku tatu baadaye
KATIKA taarifa aliyotoa kwenye tovuti yake, nguli wa mchezo wa golf duniani, Mmarekani Tiger Woods amemsifia mkewe, Elin Nordegren, kwa kumsaidia wakati alipopatwa na ajali nje ya nyumba yake ambapo aligonga bomba kubwa la maji ya kuzimia moto huko Isleworth, Orlando...
    (30 November 2009)
Views: 334 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Wauza vitunguu saumu China wanufaika; vyadaiwa kutibu mafua ya nguruwe

Habari mbalimbali  

Wauza vitunguu saumu China wanufaika; vyadaiwa kutibu mafua ya nguruwe

Wauza vitunguu saumu China wanufaika; vyadaiwa kutibu mafua ya nguruwe

UKITAKA kutengeneza fedha ya haraka hivi sasa nchini China, usikimbilie madini au biashara yoyote. Vitunguu saumu sasa ni “dili” kubwa!...


    (30 November 2009)
Views: 195 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

HIVI NDIVYO BABU SEYA NA WANAWE WALIVYOTINGA MAHAKAMANI

Videos  




Novemba 30, 2009 Babu Seya na wanawe walipanda tena kizimbani ili kusikiliza hatma ya rufaa yao ambayo ingeamua maisha yao gerezani ambako wamekuwa wakisota kwa miaka mitano sasa. Hata hivyo mambo hayakuwa kama walivyotarajia badala yake kesi yao imepigwa kalenda hadi Desemba 3 itakapoanza kusikilizwa rasmi. Bonyeza Player ilikujionea video hii inayoonyesha sehemu ya mambo yaliyojili mahakamani leo.
Video: Christopher Lissa /GPL
    (30 November 2009)
Views: 101 | Maoni (0) |

 

BABU SEYA ATIKISA MAHAKAMA LEO!

photos  
Novemba 30, 2009 ndiyo siku iliyopangwa kusikiliza rufaa ya Babu Seya na wanae waliohukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kunajisi. Lakini kesi hiyo haikuendelea baada ya wakili wa awali, Hubert Nyange kujitoa dakika za mwisho. Kesi sasa imeshikwa na wakili Mabere Marando na imepigwa kalenda hadi kesho kutwa Alhamis Desemba 3 ili wakili mpya apate muda wa kuipitia...hali ilikuwa ni ya simanzi kwa ndugu na jamaa wa familia hiyo ingawa wao wenyewe walionekana kuchangamka kidogo ingawa ndani ya macho yao wamejaa hali ya kukata tamaa na maisha.....

BABU SEYA ATIKISA MAHAKAMA LEO!
Familia ya Nguza ikiingia ndani ya jengo la Mahakama Kuu mapema leo

BABU SEYA ATIKISA MAHAKAMA LEO!
..hali ya wasiwasi..(kutoka kushoto) Babu Seya, Paii Kocha, Mbangu na mdogo wao wa mwisho Francis

BABU SEYA ATIKISA MAHAKAMA LEO!
..unaweza kuhisi anachowaza Papii..!

BABU SEYA ATIKISA MAHAKAMA LEO!
..akiwapa mkono wa pole ni binamu yao..Grace Francis

BABU SEYA ATIKISA MAHAKAMA LEO!
..ndani ya majonzi makubwa...Monica Nguza ambaye ni dada wa akina Papii

BABU SEYA ATIKISA MAHAKAMA LEO!
....wakiwa kizimbani

BABU SEYA ATIKISA MAHAKAMA LEO!
Mzee Nguza akipeana mkono wa matumaini na wakili wake mpya, Mabere Marando.

PICHA: CHRISTOPHER LISSA/RICHARD BUKOS/GPL
    (30 November 2009)
Views: 592 | Maoni (11) |

 

MALKIA ALAUMIWA KUJIINGIZA SIASANI!

Videos  

Shemu ya hotuba ya Malkia Elizaberth aliyoitoa wakati akihutubia viongozi wa nchi za Jumuiaya ya Madola..baadhi ya watu wamemtaka asijiingize kwenye siasa... wewe unaonaje? ..soma baadhi ya comments zao hapo chini....
    (30 November 2009)
Views: 144 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

BONANZA LA WASANII LEADERS

photos  
Kila Jumamosi katika viwanja vya Leaders huwa kunafanyika bonanza kubwa linalowakutanisha wasanii wa fani mbalimbali ambao ubadilishana mawazo na kufanya onesho la pamoja.
BONANZA LA WASANII LEADERS
Wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini, Hamisi Ramadhan 'H. Baba' (kulia) na Tundaman wakiweka mikakati ya kufanya kazi za nguvu 2010.

BONANZA LA WASANII LEADERS
Msanii wa sanaa za Maigizo, Jackline Wolper akipozi ili apigwe picha katika viwanja vya Leaders siku ya Bonanza hilo.

BONANZA LA WASANII LEADERS
Wasanii wa Bendi ya muziki wa dansi ya Minofu wakitoa burudani katika bonanza hilo.

(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)

    (30 November 2009)
Views: 139 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Daktari: Watanzania wengi wanakula hovyo

Habari mbalimbali  

Daktari: Watanzania wengi wanakula hovyo

*Asema muda si mrefu wataugua kisukari, shinikizo
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka India, Dk. Pujar Suresh, amesema idadi kubwa ya Watanzania wananyemelewa na ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu kutokana na kula bila mpangilio...
    (30 November 2009)
Views: 585 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Tanzania yaingizwa katika kashfa nzito ya silaha DRC

Habari mbalimbali  
Tanzania yaingizwa katika kashfa nzito ya silaha DRC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe

*YADAIWA KUWASAIDIA SILAHA WAASI DRC, MEMBE AWAKA, ATAKA IOMBWE RADHI

WAKATI Umoja wa Mataifa (UN) ukiitupia shutuma nzito Tanzania kuwa inasaidia kusafirisha silaha kwenda kikundi cha waasi nchini Congo, serikali imekanusha na kutaka iombwe radhi...
    (30 November 2009)
Views: 475 | Maoni (2) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com