arrowMake Homepage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » photos » YANGA YAMUUA PAKA

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Picha Ya Week ...

Nani Yupo / Alikuwepo

 


 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Mwalimu afumaniwa
» Ina maana gani mpenzio ...
» Mrema ataka alipwe Sh b ...
» UCHUMBA NA NDOA -2
» Idd Azzan: Nikikumbuka ...
» Wanenguaji Twanga wamji ...
» HATA ULALE BARABARANI, ...

YANGA YAMUUA PAKA

photos
Timu ya Yanga SC imeibuka kifua mbele baada ya kuwafunga Sofapaka kwa mabao 2-1 katika mpambano wa kukatana shoka, uliopigwa hii leo na kufanikiwa kutwaa kombe la michuano hiyo ya Tusker.
Zifuatazo ni baadhi tu ya picha za mtanange huo, nyingine zitafuata hapo baadae:

YANGA YAMUUA PAKA

YANGA YAMUUA PAKA




Dear Guest you have enter our site without being Registered. We recommend to register to view more...
"Mgeni wetu unatakiwa Kuregista kupata Udaku Wote..."
 (Votes #: 2)
    (27 December 2009)
Soma Zaidi: 82 | Maoni Yako (3)

Udaku Mwingine

photos
 
  • TIMBWILI LA KOMBE LA TUSKER LAANZA
  • YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER
  • Mshambuliaji Sofapaka azitaka Simba, Yanga
  • Mafunzo kulipa kisasi Yanga Mapinduzi
  • Ngassa apeleka spidi ya Tusker Mapinduzi Cup
  •    

    #1 Author: arsen yanga (27 December 2009 11:03)

    YANGA OYEEEEEEE.......yaaani leo tena na kula batatena kama juzi yanga mnanipa raha saana maana leo naye arsenal kashinda tunashukuru saaana kwa kutupa update news sisi tiliyo mbali na nchi yetu...yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeee sasa fukuza simba kwenye ligi napo....
     
    fast    

    #2 Author: Carol-Geneva (27 December 2009 11:30)

    Hongera sana wana Jangwani,yaani mmtupa raha sana sisi wapenzi wenu mana juzi ummemcheze mnyama sharubu na kutupa zawadi ya nzuri ya Xmass leo mmechukua kombe la Tusker kweli naufunga mwaka kwa raha zangu,YANGA IMARA DAIMA.
     
    fast    

    #3 Author: big joe (27 December 2009 12:23)

    Kutokana na uwezo mkubwa wa wachezaji wa yanga ,ilistahili kuwa bingwa na inshallah imekuwa hivyo , yanga iliinyoa masharubu simba na ingeshindwaje masharubu ya paka.
     
    fast    

    Add comments

    Name:
    E-mail:

    Code:
    Include security image CAPCHA.
    to renew the code
    Enter Code:


    Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

    hit counter

     

    2008 © globalpublisherstz.com