arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Articles for February 2010 Year

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» RAY C ALINIUZA KWA WANA ...
» Gumbo awavuruga Maximo, ...
» Iam Back From Hell (17)
» CCM YASHINDA KITETO
» HOFU YA OSAMA
» Kila demu nikimpata, an ...
» Rada ya Tanzania yaigha ...

 

MEMPHIS GRIZZLIES YAMSHUSHA DARAJA HASHEEM THABEET

Habari mbalimbali  

MEMPHIS GRIZZLIES YAMSHUSHA DARAJA HASHEEM THABEET
...Hasheem Thabeet kazini.

Hasheem Thabeet wakati wa utambulisho wake kwenda Memphis Grizzlies mwaka jana

HASHEEM THABEET, Mtanzania aliyeko Marekani akicheza mpira wa kikapu katika ligi ya nchini humo (NBA) ameweka historia, japokuwa mambo hayamwendei kama anavyotaka...
    (28 February 2010)
Views: 383 | Maoni (5) | Soma Zaidi

 

RIHANNA AMFUNDISHA MCHEKESHAJI JINSI YA 'KUDANSI'

Videos  
Malkia wa Pop duniani Robyn Rihanna Fenty, ijumaa iliyopita aligeuka na kuwa mwalimu wa Muziki akimfundisha Mchekeshaji na Mtangazaji maarufu kutoka nchini Uingereza Alan Carr kucheza muziki wa Pop, wakati walipokuwa kwenye kipindi cha televisheni kiitwacho Chatty Man kinachorushwa na kituo cha televisheni cha British Tv

RIHANNA AMFUNDISHA MCHEKESHAJI JINSI YA 'KUDANSI'
Rihanna akijaribu kumfundisha Mchekeshaji Alan Carr jinsi ya 'kudansi'

    (28 February 2010)
Views: 61 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

TETEMEKO LAUA ZAIDI YA 300 CHILE

Videos  

TETEMEKO LAUA ZAIDI YA 300 CHILE
...wananchi wakishuhudia jengo lililobomolewa na tetemeko hilo mjini Concepcion, Chile.

TETEMEKO LAUA ZAIDI YA 300 CHILE
...daraja lililobomolewa vibaya na tetemeko hilo katika mji mkuu wa Chile, Santiago.

TETEMEKO LAUA ZAIDI YA 300 CHILE
...gari lililopinduka katika njia panda ya mji mkuu wa Chile, Santiago kutokana na tetemeko hilo.




Rais wa Chile, Michelle Bachelet, amesema watu wapatao millioni mbili wameathiriwa na tetemeko kubwa la ardhi lililotokea nchini humo jana...
    (28 February 2010)
Views: 55 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

BIFU LA TERRY NA BRIDGE LAENDELEA

photos  

BIFU LA TERRY NA BRIDGE LAENDELEA
Beki wa Manchester City, Wyne Bridge (wa pili kushoto) akikataa kupeana mkono na nahodha wa Chelsea, John Terry (wa pili kulia) kabla ya mechi ya Ligi Kuu England kwenye uwanja wa Stamford Bridge, London jana. Bridge alilipa kisasi kwa Terry wakati Man City ilipoichabanga Chelsea mabao 4-2. John Terry alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wa kike wa Wyne Bridge.


HIVI NDIVYO JAMAA ALIVYOCHUNIWA!
    (28 February 2010)
Views: 82 | Maoni (7) |

 

BALOZI DAUDI MWAKAWAGO AZIKWA

Habari mbalimbali  

BALOZI DAUDI MWAKAWAGO AZIKWA
Marehemu Balozi Daudi Mwakawago, enzi za uhai wake.

BALOZI DAUDI MWAKAWAGO AZIKWA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Balozi Daudi Mwakawago wakati wa mazishi ya Mwanasiasa huyo mkongwe yaliyofanyika katika makaburi ya kisutu jijini Dar es Salaam jana.

BALOZI DAUDI MWAKAWAGO AZIKWA
Rais Kikwete kisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Seif Shariff Hamad wakati wa mazishi ya mwanasiasa mkongwe na mwanadiplomasia Marehemu Balozi Daudi Mwakawago yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana jioni. Katikati ni Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa.

Picha kwa hisani ya Issa Michuzi.
    (28 February 2010)
Views: 73 | Maoni (0) |

 

JOH MAKINI, CHID BENZ, NANI ZAIDI? FAINALI HII LEO!

photos  

JOH MAKINI, CHID BENZ, NANI ZAIDI? FAINALI HII LEO!

Na GPL Ripota
Baada ya wiki iliyopita, mrembo aliye kinara katika sanaa za maigizo, Irene Uwoya kumbwaga mwenzake Wema Sepetu kwa tofauti ya asilimia 14, sasa ndani ya nyumba, wameingia wazee wazima wa Hip Hop.

Hapa nawazungumzia mzee mzima Joh Makini a.k.a Mwamba wa Kaskazini na Rashid Makwilo a.k.a Chid Benz, ambao wanasababisha kwenye game ya Muziki wa Kizazi Kipya.

Hawa ni wakali ambao mchango wao unajulikana vyema katika sanaa hiyo hapo ya muziki wenye ladha za Kibongo.

Sasa tuambie kwa mtazamo wako, kwa jinsi ujuavyo kazi za wakali hawa, ni nani zaidi kati yao? Piga kura yako sasa, ili umwezeshe staa wako aibuke kidedea!
Pamoja saaaaana wakubwaaaaaa!!!!
    (28 February 2010)
Views: 180 | Maoni (10) |

 

UTAMBULISHO WA MULEMULE USPIME

photos  
Bendi ya Diamond Musica ‘Moto mara tatu’, usiku wa kuamkia jana ilimtambulisha rasmi kwa mashabiki wake mwanamuziki maarufu, Mulezili Boyange a.k.a Mulemule FBI.

Uzinduzi huo uliofanyika ndani ya Ukumbi wa Vatican City Sinza, jijini Dar, umati mkubwa wa mashabiki ulifurika na kuleta matumaini ya kuwa ujio wa FBI unaweza kuinyanyua bendi hiyo na kuwa tishio.

UTAMBULISHO WA MULEMULE USPIME
Kabla ya Mulemele kutambulishwa, vimwana wa Diamond walipanda jukwaani kuonesha ‘mavituz’.

UTAMBULISHO WA MULEMULE USPIME
Mulemule FBI akipewa maua na mmoja wa mashabiki baada ya kutambulishwa kuongoza Jahazi la bendi hiyo mbele ya mashabiki.

UTAMBULISHO WA MULEMULE USPIME
Shabiki huyu mwenye chupa ya bia mkononi alikuwa bonge la kituko ukumbini, cheki alivyolowesha suruali.

UTAMBULISHO WA MULEMULE USPIME
Umati wa mashabiki ukiserebuka ukumbini katika uzinduzi huo.

PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /GPL
    (28 February 2010)
Views: 16 | Maoni (0) |

 

HITMA YA MZEE KAWAWA YAFANYIKA

Habari mbalimbali  

HITMA YA MZEE KAWAWA YAFANYIKA
Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa enzi za uhai wake.

HITMA YA MZEE KAWAWA YAFANYIKA
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye hitma ya marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa jana jijini Dar. Wengine ni Mtoto wa marehemu Kawawa (kulia) na kushoto ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Mussa Salum.

HITMA YA MZEE KAWAWA YAFANYIKA
Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria Arobaini ya Simba wa Vita Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa iliyofanyika jana jijini Dar es salaam.

Picha zote kwa hisani ya Michuzi
    (28 February 2010)
Views: 25 | Maoni (0) |

 

MPO WANA MAZINGIR!?

photos  
MPO WANA MAZINGIR!?
..ubunifu katika kutunza mazingira!
    (27 February 2010)
Views: 34 | Maoni (0) |

 

WALAZAMISHWA KUFUNGA NDOA NA MBUZI

Habari mbalimbali  
WALAZAMISHWA KUFUNGA NDOA NA MBUZI

Vijana wawili waliokamatwa na polisi wakifanya mapenzi na mbuzi katika mji wa Mbucuta uliopo katikati ya nchi ya Msumbiji, wamelazimishwa kufunga ndoa ya kimila na mbuzi huyo. Tukio hilo la aina yake limetokea baada ya vijana wawili ambao majina na umri wao haukufahamika mara moja kukamatwa wakimuingilia mbuzi kwa zamu...

    (27 February 2010)
Views: 128 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Mambo ya wikiendi hayo!

photos  
Usiku wa kuamkia leo, Kamera yetu ilikuwa mtaani kama kawaida, ambapo mapaparazi wetu walijichanganya viwanja mbalimbali vya burudani kama Mtoni, Buguruni, Vatican Sinza, Mango Garden na Meridian Kinondoni. Matukio yaliyonaswa na kamera zetu ni kama ifuatavyo:
Ya kale dhahabu
Mambo ya wikiendi hayo!
Wanamuziki wa bendi ya Vijana Jazz ‘Wanapambamoto’ wakiserebuka katika onesho la bendi hiyo lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Kimboka Bar Buguruni.

Hapa kazi tu
Mambo ya wikiendi hayo!
Wanenguaji wa bendi ya Akudo Impact wakionesha umahiri wao wa kunengua, katika onesho la bendi hiyo lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni.

Kaka unauchapa usingizi abiria wanakupita
Mambo ya wikiendi hayo!
Dereva Tax anayepaki katika kituo cha Mango Garden akiwa ameutwanga usingizi majira ya saa nane usiku, huku mwenzie akiwa amejikunyata akisubiri abiria.

Mwanamke kujiweka Sop Sop

Mambo ya wikiendi hayo!
Mnenguaji wa bendi ya Diamond Musica, Hawa Nassoro akijipodoa kabla ya kwenda kwenye uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Vatican Sinza jijini
Jamani mambo ya Pwani hayooo!

Mambo ya wikiendi hayo!
Mwimbaji mahiri wa bendi ya taarabu ya Five Star, Jokha Kassim akiimba wimbo wa Babu Umefulia katika onesho la bendi hiyo lililofanyika katika ukumbi wa Equator uliopo Mtoni jijini Dar es Salaam.


PICHA: ISSA MNALLY/ GPL
    (27 February 2010)
Views: 66 | Maoni (0) |

 

'CCM bila rushwa hakuna ushindi'

Habari mbalimbali  
'CCM bila rushwa hakuna ushindi'
*MREMA NAYE ATANGAZA RASMI KUMPIGIA KAMPENI KIKWETE 2010
MBUNGE wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ameponda maelekezo ya Rais Jakaya Kikwete kwa wanasiasa kuhusu rushwa kwenye chaguzi akieleza kuwa msimamo wake huo hautekelezeki kwa kuwa CCM bila rushwa, haiwezi kushinda...
    (27 February 2010)
Views: 115 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Waislamu wajizatiti kwa Uchaguzi Mkuu

Habari mbalimbali  
Waislamu wajizatiti kwa Uchaguzi Mkuu

• Mufti aunda kamati kuwahamasisha nchi nzima
VIJANA wa Kiislamu nchini wamehamasishwa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu...
    (27 February 2010)
Views: 63 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Onyo

risasi jumamosi  
Onyo
Na Mwandishi Wetu
Madhara ya matumizi ya dawa za Kichina zinazotumika kuongeza na kupunguza maumbile ya viungo vya binadamu, yanazidi kuchukua nafasi mithili ya moto wa kifuu hapa Bongo, mbaya zaidi pale dozi yake inapokosewa na mtumiaji, Risasi Jumamosi linakupa kitu kamili...
    (27 February 2010)
Views: 1429 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Kabula George aiteka Mbeya

risasi jumamosi  
Kabula George aiteka Mbeya
Na Mwandishi Wetu
Muimbaji wa muziki wa Injili Nchini anayetesa na albamu yake ya Ushindi, Kabula George amefanikiwa kuuteka Mkoa wa Mbeya kutokana na wakazi wa huko kuguswa ile mbaya na ujumbe wa nyimbo zake zilizojaa ishara na miujiza...
    (27 February 2010)
Views: 89 | Maoni (0) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 ... 39 40 41  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com