arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Amani

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» JAMANI NIMEFURAHI
» 2009, TUCHAPE KAZI KWA ...
» Micho amgeuka Kondic Ya ...
» Nampenda sana mke wangu ...
» Barthez amfunika Ivo Ma ...
» MTAA WA KONGO JALALA LA ...
» JIMAMA FUSKA LANASWA

 

ZITO LAIBUKA

Amani  
ZITO LAIBUKA

Na Mwandishi Wetu
Wakati jamii ya muziki wa Kizazi Kipya na mashabiki wao wakiwa bado katika maombolezo ya msiba wa Julieth D. Mrina ‘Pendo’ (24), kubwa zito limeibuka kuhusu anayetajwa kuwa ni mchumba wake, Hamad Ally ‘Madee’, Amani limekusanya vielelezo...
    (18 March 2010)
Views: 2360 | Maoni (8) | Soma Zaidi

 

Aliyejifanya sekretari wa Kova

Amani  
Aliyejifanya sekretari wa Kova

Kulwa Mwaibale na Musa Mateja
Askari Polisi mmoja wa kike Faraja Jabir, anayedaiwa kujifanya ni Sekretari wa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, kwa kushirikiana na wenzake watatu wanatuhumiwa kumshushia kipigo ‘hevi’ kijana mmoja muuza samaki aitwaye Sunday John mkazi wa Tabata Kisiwani, jijini Dar es Salaam na kumjeruhi...
    (18 March 2010)
Views: 980 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

Anty, Prof Jay saa 7:00 - 9:00 usiku

Amani  
Anty, Prof Jay saa 7:00 - 9:00 usiku
Na Mwandishi Wetu
Mcheza filamu ‘seksi’ Bongo, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman ‘Gwantwa’ na Staa mwenye heshima tele kunako Muziki wa kizazi Kipya, Joseph Haule ‘Prof Jay’, hivi karibuni wamebabwa ‘laivu naiti’ kali wakijiachia kwa raha zao...
    (18 March 2010)
Views: 1058 | Maoni (5) | Soma Zaidi

 

Kigogo afanyiwa umafia

Amani  
Kigogo afanyiwa umafia

Na waandishi Wetu
Jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Jafari a.k.a Osama au Kigogo, mkazi wa Mtaa wa Itungi uliopo Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alijikuta akipatwa na aibu ya mwaka baada ya kufanyiwa umafia wa kutisha, chanzo kikidaiwa kuwa ni kukutwa na mke wa mtu...
    (11 March 2010)
Views: 3144 | Maoni (5) | Soma Zaidi

 

Wanachuo watekwa, wanusurika kuuawa

Amani  
Wanachuo watekwa, wanusurika kuuawa

Na Haruni Sanchawa
Tukio la kutekwa na kunusurika kuuawa kwa wanachuo wawili wa kike wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Biashara cha Dar es slaam City College (DACICO), kilichopo Kimara, jijini Dar es salaam, limeibua hofu kubwa miongoni mwa baadhi ya wakazi wa jiji, Amani lina kitu kamili...
    (11 March 2010)
Views: 632 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Achomwa kisu

Amani  
Achomwa kisu
Na Mwandishi Wetu
Mkazi mmoja wa Manzese Argetina, jijini Dar es Salaam, aliyetambuliwa kwa jina la Richard Epro (28), amechomwa kisu mbavuni na kijana mwenzake aliyejulikana kwa jina la Calvin Henry baada ya kukataa kumuuzia kipisi cha bangi...
    (11 March 2010)
Views: 554 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Miujiza

Amani  
Miujiza
Na Imelda Mtema
Katika hali iliyotafsiriwa kama miujiza, kijana mmoja aitwaye Ramadhan Masta, amegeuza jeneza kuwa makazi yake ya kudumu kwa kwa kile alichosema kwamba hana sehemu ya kuishi kwa sasa...
    (4 March 2010)
Views: 979 | Maoni (7) | Soma Zaidi

 

Queen Suzy afanyiwa mbaya na mpenzi wake

Amani  
Queen Suzy afanyiwa mbaya na mpenzi wake
Na Musa Mateja
Mnenguaji ‘sistaduu’ wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Suzane Chugwa ‘Queen Suzy’, hivi karibuni alifanyiwa mbaya na jamaa aliyedaiwa kuwa ni Bwana‘ake aliye pia Rapa wa Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’, Seven baada ya kupishana kauli...
    (4 March 2010)
Views: 652 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Pepo la mauti orijino komedi

Amani  
Pepo la mauti orijino komedi
Na Mwandishi Wetu
Nyuma ya matukio yasiyo ya ‘nomo’ yanayowakumba wachekeshaji wa Kundi la Orijino Komedi kumeonekana kuzungukwa na pepo wa mauti anayesaka roho za wasanii hao, Amani limejiridhisha na vielelezo lilivyo navyo...
    (4 March 2010)
Views: 1290 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

Ushirikina waanikwa

Amani  
Ushirikina waanikwa
Na Issa Mnally
Washiriki wawili ambao walikuwemo ndani ya Kijiji cha Maisha Plus, jijini Dar wameibuka na kudai kwamba, kambi ya shindano hilo ilijaa mambo ya kishirikina, fitina na majungu, Amani lilikaa nao kitako barazani...
    (4 March 2010)
Views: 852 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

HAKUNA KUPONA

Amani  

HAKUNA KUPONA

Na Mwandishi Wetu
Wabongo wanaopendelea ‘msosi’ wa kuku, hasa wa kisasa na chips, wapo katika hatari za kiafya zaidi kutokana na madai kwamba, baadhi ya wafugaji wamekuwa wakiwakuza kuku hao kwa kutumia vidonge vya kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi (ARV), Amani lina data za kutosha...
    (25 February 2010)
Views: 1443 | Maoni (12) | Soma Zaidi

 

WAIMBA INJILI 10 MABACHELA

Amani  

WAIMBA INJILI 10 MABACHELA

Wiki hii Amani Vibes ‘imeperuzi’ na kufanikiwa kubaini maisha ya baadhi ya waimbaji maarufu wa kike wa nyimbo za Injili Bongo wanaoishi ‘singo,’ aya zinazofuata zinaweka wazi kila kitu...
    (25 February 2010)
Views: 1091 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

MARIAM MIGOMBA MACHO YAKE YAZUA UTATA

Amani  

MARIAM MIGOMBA MACHO YAKE YAZUA UTATA

Kutoka mipasho, Amani Vibes wiki hii inakudondoshea presenta mkali wa program ya ladha za mwambao kinachorushwa hewani na Kituo cha Runinga cha TBC 1, Miriam Migomba, ambaye juzikati macho yake yaligeuka story kubwa among members waliokuwa eneo la tukio, Richard Bukos anakupa kitu kamili...
    (25 February 2010)
Views: 1371 | Maoni (10) | Soma Zaidi

 

MASTAA WA FILAMU FULL BURUDANI

Amani  

MASTAA WA FILAMU FULL BURUDANI

Kama kawa, lile tamasha la wasanii wa industry ya movie Bongo, litachukua nafasi Jumamosi hii pande za Viwanja vya Oasis Pub, Kinondoni, jijini Dar ambapo sambamba na burudani kedekede, Bendi ya Diamond Sound ‘Vijana Classic’, itamwaga burudani the history...
    (25 February 2010)
Views: 177 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

JINI LA SALENDA LAMVAA JOTI

Amani  

JINI LA SALENDA LAMVAA JOTI

Na Musa Mateja
*LAMTIA KIWEWE, APATA AJALI, AKIMBIZWA HOSPITALI, HOFU YAZIDI KUTANDA!

Kabla ya kituko cha Ombaomba jini aliyeyuka na mwanamke mrembo katika Daraja la ‘Salenda’ Posta, jijini Dar es Salaam kupoa, pepo huyo anadaiwa kumvaa mchekeshaji ‘5 star’ wa Kundi la Orijino Komedi, Lukas Mhuvile ‘Joti’...
    (25 February 2010)
Views: 1579 | Maoni (3) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 ... 34 35 36  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com