arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » champion

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» JIDE HOI
» MSHANGAO!
» Rais Kabila aomba wakafungw ...
» HUKUMU YA BABU SEYA!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» RAMA MLA WATU ACHARUKA ...
» ZAMANI NILIKUWA HUKU!
» She is too young to die ...
» Banjuka tu
» Bahati nasibu ya jishin ...
» Wabunge wanaswa wakijip ...
» KANZU DILI!!!

 

Hasheem kidume, arejea NBA

champion  
Hasheem kidume, arejea NBA

MEMPHIS, Marekani
TIMU ya mpira wa Kikapu ya Memphis Grizzlies imemrejesha kikosini beki wake wa kati, Hasheem Thabeet ambaye hivi karibuni alishushwa hadi katika kikosi cha timu ya Dakota Wizards inayoshiriki daraja la chini la NBA, linalojulikana kama Development League (NBDL)...
    (10 March 2010)
Views: 100 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Papic: Simba Bingwa

champion  

Papic: Simba Bingwa

Na Saleh Ally
KOCHA Mkuu wa Yanga Kosta Papic, amesema ni miujiza tu inayoweza kuwanyima Simba kupata pointi mbili katika mechi tatu ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, lakini akasisitiza anataka kumaliza mzunguko wote wa pili bila kufungwa ikiwa ni pamoja na kuwatandika Simba tena...
    (10 March 2010)
Views: 46 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Simba yakimbia jiji kuzifuata ...

champion  
Na Leah Kweka
TIMU ya Simba inalikimbia jiji leo na kuelekea Kigamboni kwenye Hotel ya Bamba Beach, kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Azam, pamoja na ule wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Lengthens ya Zimbabwe..
    (10 March 2010)
Views: 20 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Micho: Yanga wamemkosea Manji

champion  
Na Mwandishi Wetu, Addis Ababa
KOCHA wa zamani wa Yanga, Sredejovic Milutin ‘Micho’ amesema uongozi wa klabu hiyo umeshindwa kumtumia vilivyo aliyekuwa mfadhili wake mkuu, Yusuf Manji ili kuweza kupata mafanikio zaidi...
    (10 March 2010)
Views: 21 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Ongala, Boban nguvu sawa Sweden

champion  
Na Samirah Phillip
TIMU ya Gefle If ya Sweden anayochezea Haruna Moshi ‘Boban’ ilishindwa kutambiana na Sundsvall If ya Kali Ongala baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 juzi Jumapili...
    (10 March 2010)
Views: 37 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Phiri aichonga miguu ya Mgosi

champion  
Na Saleh Ally
MZAMBIA, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amesema mechi yao na Azam FC Jumapili ijayo jijini Dar es Salaam ndiyo fainali na ushindi ndiyo jibu ambalo hata hivyo haliwezi kupatikana bila ya mabao, ndiyo maana ameamua kuwageukia washambuliaji wake na kuwanoa namna ya kulenga lango bila mashala...
    (10 March 2010)
Views: 21 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Boko amtangazia vita Mgosi

champion  
Na Ahadi Kakore
MSHAMBULIAJI nyota wa Azam FC, John Boko amesema kuwa licha ya Mussa Hassan Mgosi wa Simba kuongoza katika kupachika mabao, lakini bado asitarajie kuwa atachukua kiatu cha dhahabu kiulani kwa kuwa ligi bado inaendelea...
    (10 March 2010)
Views: 11 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Chuji bado alilia safari ya Sweden

champion  
Akizungumza na Championi Jumatano, Chuji alisema bado safari yake ya kwenda Sweden haijakamilika, lakini endapo baada ya ligi mambo yatakuwa mazuri ataondoka kwenda kufanya majaribio huko, kwani lengo lake ni kucheza nje ya nchi...
    (9 March 2010)
Views: 18 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Ngassa, Tegete wazima nderemo Msimbazi

champion  
Ngassa, Tegete wazima nderemo Msimbazi
Na Wilbert Molandi
WASHAMBULIAJI Mrisho Ngassa na Jerry Tegete wa Yanga, jana waliifungia timu yao dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa katika Uwanja wa Uhuru na kuiwezesha kuzima nderemo za Simba za kutwaa ubingwa zilizokuwa zikitarajiwa kuanza mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam jana...
    (8 March 2010)
Views: 182 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Chelsea yatinga nusu fainali FA

champion  
LONDON, England
CHELSEA jana ilitinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la FA baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa robo fainali uliopigwa katika Uwanja wa Stamford Bridge...
    (8 March 2010)
Views: 36 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Twiga Stars kidedea Ethiopia

champion  
Na Saleh Ally, Ethiopia
Timu ya soka ya Wanawake ya Taifa, Twiga Stars jana ilionyesha imepania kulinda heshima ya Tanzania baada ya kuichakaza Ethiopia maarufu kama 'Lucy' kwa mabao 3-1 katika mechi ya awali ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika iliyochezwa kwenye Uwanja wake wa Addis unaochukua watazamaji wapatao 35,000...
    (8 March 2010)
Views: 17 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Wazimbabwe hatari kwa Simba sasa hadharani

champion  
Na Isaac Kijoti
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri akishukuru kikosi chake kuanzia ugenini katika mchezo wa awali wa kuwania Kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF), wapinzani wao wameweka bayana kuwa kamwe Wekundu wa Msimbazi hao wasitegemee mteremko katika mechi hiyo...
    (7 March 2010)
Views: 53 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Micho aporomosha dongo Yanga

champion  
Na Saleh Ally, Addis Ababa
KOCHA Mkuu wa Klabu ya St George ya Ethiopia, Sredejovic Milutin ‘Micho’ ameonekana kushangazwa na wachezaji wengi wa Yanga wenye viwango vya juu kuendelea kubaki katika timu hiyo.
Akizungumza jijini hapa jana, Micho raia wa Serbia aliyewahi kuinoa ...
    (7 March 2010)
Views: 82 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Dida atimuliwa Bakwata Dar

champion  
Dida atimuliwa Bakwata Dar
Na Richard Bukos
Mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachovunja mawingu kupitia Kituo cha Redio cha Times cha jijini Dar es Salaam, Khadija Shahibu ‘Dida’ hivi karibuni alitimuliwa na uongozi wa Baraza la Waislamu nchini ‘BAKWATA’, baada ya kutinga kwenye baraza hilo kudai talaka kwa mumewe...
    (3 March 2010)
Views: 361 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

KOCHA PAPIC ATIMKA YANGA

champion  
KOCHA PAPIC ATIMKA YANGA

Na Saleh Ally
KOCHA Mkuu wa Yanga, Kosta Papic amesema leo ndiyo siku yake ya mwisho kuendelea kuifundisha klabu hiyo kwa kuwa amechoshwa na dharau na manyanyaso...
    (3 March 2010)
Views: 233 | Maoni (1) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 ... 57 58 59  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com